Hakuna kitu kibaya kwenye hii Dunia kama “hopes”

Nakazia: Utapeli, uwe wa biashara, mapenzi, kuibiana, kutumiana na namna ingine yeyote ya manipulation, chanzo chake ni hopes.
Swindlers, conmen, thieves, fraudsters ili wakuibie, wakule mbususu, wanufaike na wewe uwe mwanamke/mwanaume lazima kwanza wakutengenezee "hopes" ndio watimize lengo lao. 😊

Hopes na tamaa dugu moja katika kufanikisha mtu kutapelika. 😊
 
Ukiangalia mitandaoni mashabiki wengi wa Asenyali ni millennials na gen Z wachache walioanza kufuatilia mpira baada ya kumaliza form six.
Ni kweli, binafsi nimeanza kusikia hiyo issue ya arsenal bado nasoma, kaka yangu ulikuwa humwambii kitu, mpaka kuna mbwa aliletwa nyumbani akapewa jina la wenger😁
 
Exactly
 
Ukiangalia mitandaoni mashabiki wengi wa Asenyali ni millennials na gen Z wachache walioanza kufuatilia mpira baada ya kumaliza form six.
Labda the latest millennials! Millennials sugu hawawezi kushabikia timu ya juzijuzi kuinukia soka la ushindani.Ukitaja Liverpool,Man United,West Ham, Leeds na wengine sawa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…