Hakuna kitu kibaya kwenye hii Dunia kama “hopes”

Kutapelika.
Nakazia hapo. 😥
 
Labda the latest millennials! Millennials sugu hawawezi kushabikia timu ya juzijuzi kuinukia soka la ushindani.Ukitaja Liverpool,Man United,West Ham, Leeds na wengine sawa.
Angalia celebrities wanaoishabikia Arsenal, kuna uwezekano vijana wengi waliozaliwa 80's walianza kufuatilia mpira wakati ambao Arsenal ilikua inafanya powa.
 
Ni kweli, binafsi nimeanza kusikia hiyo issue ya arsenal bado nasoma, kaka yangu ulikuwa humwambii kitu, mpaka kuna mbwa aliletwa nyumbani akapewa jina la wenger😁
Kama itatokea tena trend kama hii ya kucheza fainali ya UEFA kila baada ya miaka 20 bas Arsenyo watacheza fainali nyingine 2046 ambapo Millennials wengi watakua na miaka 66 wakiwa wamebakiza miaka minne ya kuishi kwa mujibu wa life expectancy ya Mtanzania.
 
Parefu kishenz
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…