Hakuna kitu kinachoitwa kipaji (kuzaliwa na uwezo wa kufanya kitu fulani)

Nimesoma Uzi wako na nimesoma mitazamo ya wengine juu ya Hoja yako, nilichogundua ni kwamba, watu wanashindwa kutambua kuwa Kila mtu hapa duniani amezaliwa Kwa dhumuni Fulani.
Kinachotokea ni kwamba mwengine anawahi kujua dhumuni lake la yeye kuwepo duniani Yani amezaliwa aje kushughulika na kitu gani? kama ni ku entertain ni katika eneo gani na wengine huchukua safari ndefu ktk maisha Yao Hadi kujigundua.
Kwaiyo hapo maswali ni:
Je unalijua kusudi lako
Muda gani umetumia kujua kusudi lako
Ni wewe mwenyewe umegundua kusudi au Kwa msaada wa watu waliokuzunguka.
Kikubwa JE mazingira yako yanamchango gani ktk kujua kusudi lako.
Kusudi lako ndio Kipaji chako, Kwa maana ulizaliwa uishi ktk eneo Hilo.
 
Vipaji vipo lkn lazima ufanye juhudi ili kukuza kipawa chako.... wazungu husema without practice talent is dead
Mfano Messi ana kipawa cha kucheza mpira ila angeamua kuwa boda boda inamana talent yake ingedumaa na kufa kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…