Hakuna kitu kinachoitwa kipaji (kuzaliwa na uwezo wa kufanya kitu fulani)

Wapo wenye vipaji ila kipaji chake ni kikubwa kuwazidi wengine, au yeye anafikiria vizuri sana kuliko hao wengine?
Kwa hiyo kumbe kuana mtu mwenye kipaji kidogo na mwenye kipaji kikubwa!

Unataka kusema mtu mwingine kazaliwa na kipaji halafu mwingine kazaliwa na nusu kipaji?

Bora ungesema mtu akizaliwa na kipaji automatic uwezo wake uankuwa mkubwa tu.
 
Kauli ya kwamba mtu anazaliwa akiwa anajua kufanya kitu fulani au akiwa na kipaji fulani mie sipendi kuitumia, ila nakubali uwepo wa vipaji.

Hiyo statement yako hapo juu ni jibu tosha kwamba kipaji ni kitu ambacho hakipo,. na ndiyo maana umekiri kwamba hupendi kutumia kauli ya "Mtu kuzaliwa akiwa na kipaji fulani......
 
Habari ya muda Great Thinkers!!

Wakuu nimegundua kuwa hakuna kitu kinachoitwa kipaji (talent) katika Dunia hii.

Wazungu hupenda kutumia dhana au neno kipaji wakimaanisha mtu kuzaliwa akiwa tayari ana uwezo wa kufanya kitu fulani kwa mfano kucheza mpira, kuimba, kukimbia. Wamefanya na wanafanya hivi ili tujikatie tamaa ya kufanya mambo makubwa kama gunduzi za kisayansi na mengine mengi.

Binafsi nilishawahi kujaribu kukatishwa tamaa na jamaa mmoja, hii ni mara baada ya kuona mimi najaribu kuchora. Jamaa aliniambia wewe wala usihangaike maana huna kipaji cha kuchora,maneno haya yalininipa hasira ya kupambana zaidai ndiyo maana leo hii mimi ni miongoni mwa wachoraji wakubwa hapa Tanzania (hii ni mara baada ya kugundua kuwa hukuna kipaji duniani)

Hakuna mtu aliyezaliwa akiwa tayari na uwezo wa kufanya jambo fulani (kipaji), watu wote wanazaliwa sawa lakini namna ya kufikiria ndiyo humfanya moja afanye jambo fulani kwa urahisi kuliko mwingine.

Hebu jiulize haya maswali na uyatafakari kwa kina.

-Je, kama mpira wa miguu usingegunduliwa Messi angekuwa na kipaji cha nini?
-Kusingekuwa na mchezo wa riadha Usain Bolt angekuwa na kipaji gani.
-Je, Kuna kipaji cha kujamiiana?
-Kuna kipaji cha kula?
-Kuna kipaji cha kunywa pombe?
-kwa nini walokole wana uwezo wa kukariri mistari ya bibilia na kuichambua lakini wanashindwa kukariri quotations kutoka kwenye vitabu vya fasihi wakati yote ni maandishi?

Cc Monetary doctor Poor Brain uzuri_hatujuani.

Bye bye 👋.
Kusema kuwa hakuna kitu kinachoitwa kipaji, ni sawa na kusema kuwa binadamu hana ubongo. Naomba sana uache kuvamia mada ambazo ziko nje ya uwezo wa akili yako, ili usije ukaanza kupotosha watu humu jukwaani.
Kipaji hakipo iwapo tu unaweza ukathibistitsha kuwa binadamu hana ubongo
 
Basi Kila mtu ana kipaji maana Kila mtu ana ubongo.

Kipaji si ubongo bana!
 
KIPAJI KINATOKANA NA AKILI, NA AKILI IKO KWENYE UBONGO

QOUTE KUTOKA KWA MWALIMU NYERERE
"UJINGA NI MARADHI LAKINI UPUMBAVU NI KIPAJI"
SWALI
UPUMBAVU UNAPATIKANA WAPI, KWENYE MACHO?
 
Ila Nyerere amewadanganya watanzania sana eti aliwaambia "uwongo ni kipaji la ilivyo kwa Urefu na ufupi".

Tangu lini Urefu na ufupi vimekuwa vipaji?🤣😂. Cha kusikitisha watanzania walimwelewa na kuamini alichowaambia.
 
Mengine alikuwa anaongea kama utani; kunogesha hotuba ili watu wasichoke kumsikiliza.
Mfano;
'atachapwa viboko, 12 siku anaingia, 12 siku anatoka akmwonyeshe mkewe.......
 
Lakini watanzania waliamini na kumeza hivyo hivyo.
 
Habari ya muda Great Thinkers!!

Wakuu nimegundua kuwa hakuna kitu kinachoitwa kipaji (talent) katika Dunia hii.

Wazungu hupenda kutumia dhana au neno kipaji wakimaanisha mtu kuzaliwa akiwa tayari ana uwezo wa kufanya kitu fulani kwa mfano kucheza mpira, kuimba, kukimbia. Wamefanya na wanafanya hivi ili tujikatie tamaa ya kufanya mambo makubwa kama gunduzi za kisayansi na mengine mengi.

Binafsi nilishawahi kujaribu kukatishwa tamaa na jamaa mmoja, hii ni mara baada ya kuona mimi najaribu kuchora. Jamaa aliniambia wewe wala usihangaike maana huna kipaji cha kuchora,maneno haya yalininipa hasira ya kupambana zaidai ndiyo maana leo hii mimi ni miongoni mwa wachoraji wakubwa hapa Tanzania (hii ni mara baada ya kugundua kuwa hukuna kipaji duniani)

Hakuna mtu aliyezaliwa akiwa tayari na uwezo wa kufanya jambo fulani (kipaji), watu wote wanazaliwa sawa lakini namna ya kufikiria ndiyo humfanya moja afanye jambo fulani kwa urahisi kuliko mwingine.

Hebu jiulize haya maswali na uyatafakari kwa kina.

-Je, kama mpira wa miguu usingegunduliwa Messi angekuwa na kipaji cha nini?
-Kusingekuwa na mchezo wa riadha Usain Bolt angekuwa na kipaji gani.
-Je, Kuna kipaji cha kujamiiana?
-Kuna kipaji cha kula?
-Kuna kipaji cha kunywa pombe?
-kwa nini walokole wana uwezo wa kukariri mistari ya bibilia na kuichambua lakini wanashindwa kukariri quotations kutoka kwenye vitabu vya fasihi wakati yote ni maandishi?

Cc Monetary doctor Poor Brain uzuri_hatujuani.

Bye bye 👋.
Kwa kifupi jamaa unamaanisha "wakati mwingine jitihada huzidi kudra" wazungu housema "practice make it perfect"
labda tukubaliane hivyo.
Ila ishu ya kipaji ipo na ni kweli ila sio njia pekee ya kufanikiwa kwenye kila jambo, lakini ikitumika vizuri ndio njia Bora zaidi ya kufanikiwa kwenye kila jambo ulimwenguni.
Vipaji vingi havigunduliwi watu wengi huzaliwa na kulazimika kuendeshwa na mazingira na mfumo wa mazoea hivyo fursa ya kujua vipaji vyao inakufa na vipaji vyao hupotea kabisa.
Lakini kwa Sababu Mwanadamu ana kipaji cha asili cha kua the "most intelligent being", anaweza kutengeneza nidhamu akajifunza na kufanyia jambo lolote mazoezi na akalimudu vyema.
Hivyo kuhitimisha,
Mafanikio ni jambo ambalo ni lengo kuu hapa duniani ( kusudi kuu la uumbaji) linaweza kufikiwa kwa njia kuu mbili zikiungana pamoja au Moja ikitumika kwa usahihi na ukamilifu kuzidi nyingine. Na njia hizo ni
1. Tunu aliyopewa mtu kabla ya kuzaliwa ( Zawadi kutokwa kwa Mungu, inayorithishwa kwa vizazi "kipaji") tuiite "Kudra"
2. Hatua zinazochukuliwa na mtu juu ya jambo analolipenda na kufidia nakisi ya kile ambacho hakukipokea kama Zawadi kutokwa kwa Mungu kwa mara ya kwanza lakini akiwekeza kwa bidii huwa kwa maana uumbaji huendelea na juhudi zikifanikiwa huleta kudra. hali hii tuiite "Jitihada"
Jibu ni Moja tu " Mafanikio"
Njia za kulifikia jibu hilo ni zaidi ya Moja na zote zinakubalika.
Japo " Kipaji" huvutia wengi kwa mapokeo ya wengi kwa vitu vya kutokwa kwa Mungu vina ukuu kuliko vya kutengeneza kibinadamu "Jitihada"

Kwa waliosoma Simultaneous equations kwenye algebra/Hesabu naamini mtanielewa vyema zaidi.
 
Ila mi nataka mtu anidhihirishie uwepo wa kipaji.

Kama kungekuwa na uwezo wa kuzaliwa nao wa kufanya jambo fulani basi naamini Messi, Ronaldinho na Neymar wangekuwa na styles za kucheza zinazofanana maana waliumbwa mahususi kwa ajili ya kuja kucheza soka.

Na pia kungekuwa na kipaji basi nchi kama India au china zingekuwa na wachezaji wa mpira maana mungu si mbaguzi kwamba asifanye watu wenye uwezo fulani waziliwe sehemu fulani.

Na swali ambalo napenda kuuliza ni je, Tanzania tuna wachezaji wenye vipaji na kama wapo kwa nini ukilinganisha uwezo wao na wachezaji wa kutoka bara la ulaya au Amarika wa Tanzania kwa nini wana uwezo mdogo?
 
Huo unao uita "uwezo mzuri wa kufikiri" walio nao Messi na Ronaldo na wakajipambanua dhidi ya wachezaji wengine ndio KIPAJI chenyewe mkuu.......
Football is not kipaji Ila uwezo wa kufikiri mzuri ukiwa uwanjani .

Kipaji hakipo na hakijawahi duniani watu tunatofautiana katika kufikiri.

Ndo maana hata tukiwa tunafanya Kazi moja tunalipwa mshahara mmoja utofauti wangu na wako utakuwa katika kufikiri.

Messi na Ronaldo wanauwezo mzuri wa kufikiri kichwan na wanaongeza practice
 
Huo unao uita "uwezo mzuri wa kufikiri" walio nao Messi na Ronaldo na wakajipambanua dhidi ya wachezaji wengine ndio KIPAJI chenyewe mkuu.......
Kipaji cha uwezo mzuri wa kufikiri au kipaji cha kucheza mpira.
 
Ila mi nataka mtu anidhihirishie uwepo wa kipaji.

Kama kungekuwa na uwezo wa kuzaliwa nao wa kufanya jambo fulani basi naamini Messi, Ronaldinho na Neymar wangekuwa na styles za kucheza zinazofanana maana waliumbwa mahususi kwa ajili ya kuja kucheza soka.

Na pia kungekuwa na kipaji basi nchi kama India au china zingekuwa na wachezaji wa mpira maana mungu si mbaguzi kwamba asifanye watu wenye uwezo fulani waziliwe sehemu fulani.

Na swali ambalo napenda kuuliza ni je, Tanzania tuna wachezaji wenye vipaji na kama wapo kwa nini ukilinganisha uwezo wao na wachezaji wa kutoka bara la ulaya au Amarika wa Tanzania kwa nini wana uwezo mdogo?
Kinacho wapambanua Yamini au Mbape dhidi ya wachezaji wengine pale La Liga ndio KIPAJI chenyewe
Kukataa kwamba KIPAJI hakipo ni kukataa kwamba Messi na Ronaldo hawajajipambanua dhidi ya uwezo wa chezaji wengine
Na KIPAJI sio uniform .... Ni unique

KIPAJI ni Kama Mambo mengine tu mkuu, Kuna factor nyingi za kuzingatia, huwezi kulinganisha professionalism ya uendeshaji mpira ya Spain na Tz halafu ukategemea kupata matokeo sawa

Na haya Mambo yatakuchangaya zaidi pale unapochanganya na hekaya za imani yako ya Mungu
Hakuna mtu "ameumbwa" kuwa Fulani Wala HAKUNA Mungu sijui Hana upendeleo Wala mwenye upendeleo
 
Kwa nini wenye vipaji hapa Tanzania ukiwalinganisha na wenye vipaji Spain was Spain wanakuwa mbele.

Au wakati mwingine mnayemwita hana kipaji kule Spain anamzidi mnayemwita ana kipaji hapa Tanzania.

Shida ni nini hasa.
 
Back
Top Bottom