secretarybird
JF-Expert Member
- Aug 22, 2024
- 23,984
- 51,055
- Thread starter
- #401
Christiano Ronaldo ambaye hana kipaji anaweza kuzidiwa uwezo na Feisal Salum ambaye ana kipaji?KIPAJI
Christiano Ronaldo ambaye hana kipaji anaweza kuzidiwa uwezo na Feisal Salum ambaye ana kipaji?KIPAJI
Ngoja nikutumie mkuu🤣😂Kaka ambaye ni miongoni mwa wachoraji wakubwa nchini na uliyejifunza uchoraji kwa siku mbili tu mbali na hongera zangu kwako. 🙏🏾Tupia hapa kazi kadhaa ulizochora ili kutuInspire sie tunaopambana kujifunza kuchora kwa miaka kenda bila mafanikio.
Kwan Ronaldo hana kipajiChristiano Ronaldo ambaye hana kipaji anaweza kuzidiwa uwezo na Feisal Salum ambaye ana kipaji?
Hahaha basi nitafutie mchezaji ambaye hana kipaji katika timu ya taifa ya Ufaransa.Kwan Ronaldo hana kipaji
sie kuna jamaa alikuwa anakula chapati 6 za jero jero na maharage bakuli moja kubwaa then anashushia na maji kidumu cha lita 5Kama nawewe Great Thinker wa jf kazi ipo.
Unakili wazi kuwa uliambiwa kuchora ni kipaji sio? Basi wewe ukapata hasira ya kujifunza zaidi hadi ukawa bora sio?
Sasa kuna dogo wangu anaye nifuata kabla hata hajaanza kusoma chekecheka alikuqa akiona karamu yyte iwe ya wino au mkaa basi anachora wanyama anaowajua.
Baada ya kufika la pili tu alikuwa na uwezo wa kuchora kwa bora mno! Niambie huyu ni kipaji au alijifunza? Alijifunizia wapi wakati wakubwa zake hakuna mchoraji?
Maswali uliyouliza majibu yake yote unayo unadhani wana liadha wote wako tu huko Olympic?
Kuna jamaa wanafunguka kana kwamba wana motor mguuni na hutawaona wanafanya mazoezi popote pale!!
Uelewe hata yule aliyengudua mpira nae anakipaji hicho.
Kuhusu kula wewe hata iweje huwezi maliza kg1 ya mchele yaani mchele ununuliwe then upikwe uwe wali halafu jamaa mmoja tu na nusu ya maharage anakula ana maliza.
Kuna jamaa3 tu walikuwa wanakula mbuzi mzima (kienyeji) mkubwa sio wachezaji wa mpira sio wachezaji wa mieleka jamaa wanakula sio poa
Hebu tuwekee hapa hizo picha zako ulizochora tuone kama kweli huna kipajiHabari ya muda Great Thinkers!!
Wakuu nimegundua kuwa hakuna kitu kinachoitwa kipaji (talent) katika Dunia hii.
Wazungu hupenda kutumia dhana au neno kipaji wakimaanisha mtu kuzaliwa akiwa tayari ana uwezo wa kufanya kitu fulani kwa mfano kucheza mpira, kuimba, kukimbia. Wamefanya na wanafanya hivi ili tujikatie tamaa ya kufanya mambo makubwa kama gunduzi za kisayansi na mengine mengi.
Binafsi nilishawahi kujaribu kukatishwa tamaa na jamaa mmoja, hii ni mara baada ya kuona mimi najaribu kuchora. Jamaa aliniambia wewe wala usihangaike maana huna kipaji cha kuchora,maneno haya yalininipa hasira ya kupambana zaidai ndiyo maana leo hii mimi ni miongoni mwa wachoraji wakubwa hapa Tanzania (hii ni mara baada ya kugundua kuwa hukuna kipaji duniani)
Hakuna mtu aliyezaliwa akiwa tayari na uwezo wa kufanya jambo fulani (kipaji), watu wote wanazaliwa sawa lakini namna ya kufikiria ndiyo humfanya moja afanye jambo fulani kwa urahisi kuliko mwingine.
Hebu jiulize haya maswali na uyatafakari kwa kina.
-Je, kama mpira wa miguu usingegunduliwa Messi angekuwa na kipaji cha nini?
-Kusingekuwa na mchezo wa riadha Usain Bolt angekuwa na kipaji gani.
-Je, Kuna kipaji cha kujamiiana?
-Kuna kipaji cha kula?
-Kuna kipaji cha kunywa pombe?
-kwa nini walokole wana uwezo wa kukariri mistari ya bibilia na kuichambua lakini wanashindwa kukariri quotations kutoka kwenye vitabu vya fasihi wakati yote ni maandishi?
Cc Monetary doctor Poor Brain uzuri_hatujuani.
Bye bye 👋.
Kauli ya kwamba mtu anazaliwa akiwa anajua kufanya kitu fulani au akiwa na kipaji fulani mie sipendi kuitumia, ila nakubali uwepo wa vipaji.Hakuna mtu aliyezaliwa akiwa anajua kuendesha Baiskeli,. ila ukiwachukua watu 10 na kuwashindanisha kwenye mchezo wa kuendesha baiskeli mmojawapo ataonekana bora kuliko wengine.
Je, hapo utakua sahihi ukisema huyo aliyeshinda amezaliwa na kipaji cha kuendesha baiskeli?
Haya, ngoja nipachike😀😅Hebu tuwekee hapa hizo picha zako ulizochora tuone kama kweli huna kipaji
Huo ni ulafi😁😅sie kuna jamaa alikuwa anakula chapati 6 za jero jero na maharage bakuli moja kubwaa thenanashushia na maji kidumu cha lita 5
Mimi nakutajia tu kibu denisHahaha basi nitafutie mchezaji ambaye hana kipaji katika timu ya taifa ya Ufaransa.
Nitafutie mmoja tu.
Sio kipaji?Huo ni ulafi😁😅
Hahaha 😂, tena ulafi wa kulogwa.Sio kipaji?
Hapo awali nilimjibu bird,kuwa hata mapacha walozaliwa toka mfuko mmoja wanaweza fanana sura lkn tabia ni tofauti, we utajiuliza ni kwanini?, Naweza jibu kiimani zaidi,ni kwamba ni hili tutambuane kupitia hizo tofauti,kwa hiyo iko hivyo,na huo utofauti ndo upelekea hata katika fani yoyote , mtu kubobea upande fulani, mfano daktari fulani kubobea upande wa ngozi tu au mwingine upande wa kinywa na meno tu,nk nk,jua tu kwamba utofauti lazima uwepo baasi.Mkuu swali ambalo linatakiwa kujibiwa kwamba ni kitu gani ambacho hufanya mchezaji mmoja kuonekana bora kuliko wenzake na hali ya kwamba watu wapo katika mazingira sawa na hufanya mazoezi sawa?
Kumbuka mwanzoni mlisema aliyezaliwa na kipaji akifanya mazoezi sawa na asiye na kipaji basi mwenye kipaji anakuwa na ufanisi mkubwa haya FEISAL SALUM amezaliwa na kipaji na anapiga mazoezi na CHRISTIANO RONALDO hajazaliwa na kipaji na anafanya mazoezi kama FEI TOTO.Hapo awali nilimjibu bird,kuwa hata mapacha walozaliwa toka mfuko mmoja wanaweza fanana sura lkn tabia ni tofauti, we utajiuliza ni kwanini?, Naweza jibu kiimani zaidi,ni kwamba ni hili tutambuane kupitia hizo tofauti,kwa hiyo iko hivyo,na huo utofauti ndo upelekea hata katika fani yoyote , mtu kubobea upande fulani, mfano daktari fulani kubobea upande wa ngozi tu au mwingine upande wa kinywa na meno tu,nk nk,jua tu kwamba utofauti lazima uwepo baasi.
Sasa unapouliza kwanini mchezaji wa hapa tz ni tofauti na wa kule ulaya,sababu ni kwamba mazingira yetu na wao kwanza kielimu yako tofauti,pili kiuchumi,tatu sera,mfano sisi tunakuza kipaji mtu ameshakuwa mkubwa,,lkn wanaanza wakiwa watoto kwanza wanagundua vipaji vyao,then wanaendelezwa hadi ukubwani,kwa akili ya kawaida tu mtu utaona hapo lazima utofauti uwepo,,kiutendaji nk nk,,naishia hapo 🫵🫵🙏🙏🙏
CCM inaaminisha watu vitu vya ajabu Mkuu 😀😅Uko sahihi, hakuna kipaji, tunazidiana uwezo tu kama ilivyo kwenye akili, mwingine aaonekana mwenye upeo mkubwa mwingine mdogo.
Mfano kama ulivyoeleza; Mpira na vitu vingine vingi, tunabuni sisi wanadamu, lakini inaonekana kipaji/talent iko ndani yako in nature.
Je kama visingewekwa/visingekuwepo ingekuwaje??
Hoja yako naiunga mkono✌
Jamaa anatumia nguvu kukataa kipaji ila anaruka ruka na kuji contradict tu.Hapo awali nilimjibu bird,kuwa hata mapacha walozaliwa toka mfuko mmoja wanaweza fanana sura lkn tabia ni tofauti, we utajiuliza ni kwanini?, Naweza jibu kiimani zaidi,ni kwamba ni hili tutambuane kupitia hizo tofauti,kwa hiyo iko hivyo,na huo utofauti ndo upelekea hata katika fani yoyote , mtu kubobea upande fulani, mfano daktari fulani kubobea upande wa ngozi tu au mwingine upande wa kinywa na meno tu,nk nk,jua tu kwamba utofauti lazima uwepo baasi.
Sasa unapouliza kwanini mchezaji wa hapa tz ni tofauti na wa kule ulaya,sababu ni kwamba mazingira yetu na wao kwanza kielimu yako tofauti,pili kiuchumi,tatu sera,mfano sisi tunakuza kipaji mtu ameshakuwa mkubwa,,lkn wanaanza wakiwa watoto kwanza wanagundua vipaji vyao,then wanaendelezwa hadi ukubwani,kwa akili ya kawaida tu mtu utaona hapo lazima utofauti uwepo,,kiutendaji nk nk,,naishia hapo 🫵🫵🙏🙏🙏
Kungekuwa na messi na Ronaldo wengi yani tungekuwa na wachezaji wenye kiwango bora sawa na hao wachezaji, ni kitu gani sasa kinachofanya wachezaji wengine wasiwe na kiwango sawa na hao wakina Messi na Ronaldo?Uko sahihi, hakuna kipaji, tunazidiana uwezo tu kama ilivyo kwenye akili, mwingine aaonekana mwenye upeo mkubwa mwingine mdogo.
Mfano kama ulivyoeleza; Mpira na vitu vingine vingi, tunabuni sisi wanadamu, lakini inaonekana kipaji/talent iko ndani yako in nature.
Je kama visingewekwa/visingekuwepo ingekuwaje??
Hoja yako naiunga mkono✌
Basi Tanzania hakuna mtu mwenye kipaji na wachezaji wote wanaocheza ligi kuu ya Uingereza wana kipaji maana wachezaji wa Tanzania hawana quality ya kucheza kwenye ligi kuu ya Uingereza.Kungekuwa na messi na Ronaldo wengi yani tungekuwa na wachezaji wenye kiwango bora sawa na hao wachezaji, ni kitu gani sasa kinachofanya wachezaji wengine wasiwe na kiwango sawa na hao wakina Messi na Ronaldo?