Hakuna kitu kinachoitwa kipaji (kuzaliwa na uwezo wa kufanya kitu fulani)

Basi Tanzania hakuna mtu mwenye kipaji na wachezaji wote wanaocheza ligi kuu ya Uingereza wana kipaji maana wachezaji wa Tanzania hawana quality ya kucheza kwenye ligi kuu ya Uingereza.

Hapo vipišŸ˜Ž.
Unakwepa kujibu swali mkuu, mie nimetaka tu kujua kipi chenye kuwafanya akina Ronaldo na Messi kuonekana bora kuzidi wenzao ambao wapo mazingira sawa na mazoezi sawa? Jibu lako pengine lingetufungua kujua kuwa pengine inawezekana wengine wakawa kama wao na kwamba hakuna upekee wala kipaji.
 
Jitihada na kutumia akili vizuri ndo kumewafanya Messi na Ronaldinho wawazididi wenzao.
Ni kama wanafunzi wanavyozidiana katika masomo ya darasani.
 
Jitihada ipi hiyo wachezaji wengine hawana ila ambayo wanayo Messi na Ronaldo kiasi cha kuwafanya wao kuwa bora zaidi ya wenzao? Kwa suala la darasani inatambulika ukisoma kwa bidii utafanya vizuri katika masomo yako na wale wasiozingatia masomo kwa kusoma kwa bidii wanakuwa wanashika mkia wanazidiwa na wale wenye kusoma kwa bidii, sasa unataka kuniambia kwamba wechezaji wengine hawana jitihada na hawatumii vizuri akili ndio maana hawana viwango sawa na Messi na Ronaldo?
 
Football is not kipaji Ila uwezo wa kufikiri mzuri ukiwa uwanjani .

Kipaji hakipo na hakijawahi duniani watu tunatofautiana katika kufikiri.

Ndo maana hata tukiwa tunafanya Kazi moja tunalipwa mshahara mmoja utofauti wangu na wako utakuwa katika kufikiri.

Messi na Ronaldo wanauwezo mzuri wa kufikiri kichwan na wanaongeza practice
 
Cc UHURU JR
 
Kwanza mkuu umewahi kucheza mpira? Mnaposema uwezo mzuri wa kufikiri(kwenye football) mnakuwa mnamaanisha nini?
 
Jitihada na kutumia akili vizuri ndo kumewafanya Messi na Ronaldinho wawazididi wenzao.
Ni kama wanafunzi wanavyozidiana katika masomo ya darasani.
Kakojoe ulalee kijanaaa... Vipaji vipo ndo maana duniani kuna Messi mmoja tuu wapo wengi walishafanya jitihada..mazoezi kibao kumzidiii messi ila wapi. Bhasi na wew anzaa kuimbaaa😃😃achilia mbali mpira jifunze kupayuka utoe single hata moja ndo utajua Vipaji vipo na jitihada binafsi zinafata.
 
Nauliza kuwa Tanzania Kuna mtu ana kipaji cha mpira wa miguu? Kama yupo nitajie jina lake.
 
Hebu naomba mtu ajiulize kwamba kwa nini wachezaji wengi wanaocheza katika ligi kuu nchini Hispania (laliga) hasa Barcelona wana uwezo mkubwa sana wa kucheza kuliko wacheza wanaocheza NBC Premier league.

Je, sababu ni kwamba hapa Tanzania hakuna watu wanazaliwa na kipaji cha mpira?

Vincenzo Jr
 
Huyo Thomas Ulimwengu ukimpeleka ligi daraja la kwanza nchini Uingereza anakaa benchi hadi makalio yanaota malengelenge na watu wanaomweka benchi ni wale mnaowaita hawana kipaji šŸ˜‚.
Kwahiyo hapo mkuu ndio una maanisha nini? Ndio maana mimi nikataka ujibu kuhusu Messi na hao wachezaji wenzake kwenye hizo ligi bora.

Mkuu hii mada hukujipanga umekimbilia tu kuja kupinga vipaji bila kuwa na hoja.
 
Haya, huko ulaya Messi pekee ndiye mwenye kipaji au Kuna wengine wenye kipaji kama yeye.
 
Hebu naomba mtu ajiulize kwamba kwa nini wachezaji wengi wanaocheza katika ligi kuu nchini Hispania (laliga) hasa Barcelona wana uwezo mkubwa sana wa kucheza kuliko wacheza wanaocheza NBC Premier league.

Je, sababu ni kwamba hapa Tanzania hakuna watu wanazaliwa na kipaji cha mpira?

Vincenzo Jr
Halafu pia ujiulize kwanini hiyo ligi ya laliga ina wachezaji hadi kutoka mataifa mengine?
 
Haya tujikite katika club ya Barcelona ambayo wachezajiwake wengi ni wahispania na wana uwezo mkubwa.

Chukua mchezaje mmoja mwenye kipaji hapa Tanzania halafu mshindanishe na mchezaje wa FC ambaye unadhani hana kipaji halafu uone.

Usije ukasema wachezaji wote wa FC Barcelona wana vipaji.
 
Back
Top Bottom