Hakuna kitu kinachoitwa kipaji (kuzaliwa na uwezo wa kufanya kitu fulani)

secretarybird

JF-Expert Member
Joined
Aug 22, 2024
Posts
23,984
Reaction score
51,055
Habari ya muda Great Thinkers!!

Wakuu nimegundua kuwa hakuna kitu kinachoitwa kipaji (talent) katika Dunia hii.

Wazungu hupenda kutumia dhana au neno kipaji wakimaanisha mtu kuzaliwa akiwa tayari ana uwezo wa kufanya kitu fulani kwa mfano kucheza mpira, kuimba, kukimbia. Wamefanya na wanafanya hivi ili tujikatie tamaa ya kufanya mambo makubwa kama gunduzi za kisayansi na mengine mengi.

Binafsi nilishawahi kujaribu kukatishwa tamaa na jamaa mmoja, hii ni mara baada ya kuona mimi najaribu kuchora. Jamaa aliniambia wewe wala usihangaike maana huna kipaji cha kuchora,maneno haya yalininipa hasira ya kupambana zaidai ndiyo maana leo hii mimi ni miongoni mwa wachoraji wakubwa hapa Tanzania (hii ni mara baada ya kugundua kuwa hukuna kipaji duniani)

Hakuna mtu aliyezaliwa akiwa tayari na uwezo wa kufanya jambo fulani (kipaji), watu wote wanazaliwa sawa lakini namna ya kufikiria ndiyo humfanya moja afanye jambo fulani kwa urahisi kuliko mwingine.

Hebu jiulize haya maswali na uyatafakari kwa kina.

-Je, kama mpira wa miguu usingegunduliwa Messi angekuwa na kipaji cha nini?
-Kusingekuwa na mchezo wa riadha Usain Bolt angekuwa na kipaji gani.
-Je, Kuna kipaji cha kujamiiana?
-Kuna kipaji cha kula?
-Kuna kipaji cha kunywa pombe?
-kwa nini walokole wana uwezo wa kukariri mistari ya bibilia na kuichambua lakini wanashindwa kukariri quotations kutoka kwenye vitabu vya fasihi wakati yote ni maandishi?

Cc Monetary doctor Poor Brain uzuri_hatujuani.

Bye bye 👋.
 
Binafsi nilishawahi kujaribu kukatishwa tamaa na jamaa mmoja, hii ni mara baada ya kuona mimi najaribu kuchora. Jamaa aliniambia wewe wala usihangaike maana huna kipaji cha kuchora,maneno haya yalininipa hasira ya kupambana zaidai ndiyo maana leo hii mimi ni miongoni mwa wachoraji wakubwa hapa Tanzania

SOMA TENA ZAIDI YA MARA NNE ULICHOKIANDIKA.
 
Kipaji kipo ni kutafuta, Messi hafanyi mazoezi kama Ronaldo ila ni mzuri kisoka. Mimi nilisoma na jamaa alikuwa anasolve maswali kwa kufikiria na kupata majibu. Alikuwa haandiki notes na anafaulu darasani. Matokeo ya form four na form six alikuwa top 3 ya Tanzania. UD kamaliza Chemical Engineering akiwa na GPA kubwa(Alikuwa mwanafunzi bora UDSM). Leo hii jamaa ni professor Norway. Huyu jamaa alikuwa hatumii nguvu nyingi kwenye kusoma. Yaani ukimpa swali jipya anakaa anafikiria ana-solve na analipata.
 
Kipaji ni kufanya kitu au jambo katika ubora na ufanisi zaidi Kwa urahisi bila kuumia
Vipaji vipo na watu wana vipaji
Wewe huwezi kuwa Bora kwenye football kama mesi
Messi yuko vizur kwenye football kwa sababu Kila muda anafikirika kuhusu mpira na anatafuta namna ya kuwa Bora Kila muda.

Ni kama wewe ulipokuwa hunaanza na kukupenda mpira ulikuwa huna uwezo wa kukariri majina ya wachezaji lakini baada ya kuanza kuupenda kushabikia mpira ukaweza kukariri majina ya wachezaji kwa muda mfupi bila kutumia jitihada kwani Kila muda hayo majina yanajirudia rudia yenyewe kwenye kichwa chako.

Kuna watu wanafanya mazoezi ya kitu chochote kwa mfano mpira kwa hisia wakiwa wamelala na hao watu wanakuwa na uwezo mkubwa pindi wanapofanya actual exercise sasa mfano wa watu hao ndo Messi.
 
Kipaji kipo ni kutafuta, Messi hafanyi mazoezi kama Ronaldo ila ni mzuri kisoka. Mimi nilisoma na jamaa alikuwa anasolve maswali kwa kufikiria na kupata majibu. Alikuwa haandiki notes na anafaulu darasani. Matokeo ya form four na form six alikuwa top 3 ya Tanzania. UD kamaliza Chemical Engineering akiwa na GPA kubwa(Alikuwa mwanafunzi bora UDSM). Leo hii jamaa ni professor Norway. Huyu jamaa alikuwa hatumii nguvu nyingi kwenye kusoma. Yaani ukimpa swali jipya anakaa anafikiria ana-solve na analipata.
Ngoja nikuuliza.

Hivi wale watoto wanaokaa na mama zao na kusikiliza umbea wa mama zao na kukariri mazungumzo yale yote tuseme na wao wanavipaji vya kukariri umbea? Kama ndivyo kwa nini darasani wanashindwa kukariri kile anachokisema mwalimu wakati anafundisha wakati umbea wote ana uwezo wa kuukariri?

Mtu ukipenda kitu fulani na akaanza kukifikiria wakati wote unaweza kuibua namna nzuri ya kuifanya tofauti na watu wengine.

#mtu hazaliwi na kipaji.
 
Unachora Rada Kama wezi au unachora Nini ?

Unazungumziaje Jambo ambalo wewe unatumia miaka kumi kulielewa na miaka Saba kulimudu huku Kuna mwenzio anatumia wiki.
Nilitumia siku tatu tu kujifunza kuchora. Nilikuwa nikitembea njiani najenga picha akilini kama nachora.

Kila kitu hutafutiwa suluhisho akikini na unapofikira kufanya kitu fulani usifikirie kufanya kama mtu fulani fikiria kufanya kwa namna ya tofauti na hicho ndicho Messi anakifanya then akichanganya na mazoezi kidogo mambo yanakuwa moto.
 
Binafsi nilishawahi kujaribu kukatishwa tamaa na jamaa mmoja, hii ni mara baada ya kuona mimi najaribu kuchora. Jamaa aliniambia wewe wala usihangaike maana huna kipaji cha kuchora,maneno haya yalininipa hasira ya kupambana zaidai ndiyo maana leo hii mimi ni miongoni mwa wachoraji wakubwa hapa Tanzania

SOMA TENA ZAIDI YA MARA NNE ULICHOKIANDIKA.
Mkuu usikubali kuambiwa mtu anazaliwa akiwa na uwezo wa kuchora wakati kuchora kwenyewe kuligunduliwa baada ya binadamu kuwepo duniani.

Eti mtu fulani amezaliwa na kipaji cha kuendesha gari kwa Kasi wakati gari lenyewe linegunduliwa juzi.

Sasa jiulize wale watu waliozaliwa miaka ya 1600's hapa Tanzania wakiwa na kipaji cha kuendesha gari walifanyeje.
 
Ch
Habari ya muda Great Thinkers!!

Wakuu nimegundua kuwa hakuna kitu kinachoitwa kipaji (talent) katika Dunia hii.

Wazungu hupenda kutumia dhana au neno kipaji wakimaanisha mtu kuzaliwa akiwa tayari ana uwezo wa kufanya kitu fulani kwa mfano kucheza mpira, kuimba, kukimbia. Wamefanya na wanafanya hivi ili tujikatie tamaa ya kufanya mambo makubwa kama gunduzi za kisayansi na mengine mengi.

Binafsi nilishawahi kujaribu kukatishwa tamaa na jamaa mmoja, hii ni mara baada ya kuona mimi najaribu kuchora. Jamaa aliniambia wewe wala usihangaike maana huna kipaji cha kuchora,maneno haya yalininipa hasira ya kupambana zaidai ndiyo maana leo hii mimi ni miongoni mwa wachoraji wakubwa hapa Tanzania (hii ni mara baada ya kugundua kuwa hukuna kipaji duniani)

Hakuna mtu aliyezaliwa akiwa tayari na uwezo wa kufanya jambo fulani (kipaji), watu wote wanazaliwa sawa lakini namna ya kufikiria ndiyo humfanya moja afanye jambo fulani kwa urahisi kuliko mwingine.

Hebu jiulize haya maswali na uyatafakari kwa kina.

-Je, kama mpira wa miguu usingegunduliwa Messi angekuwa na kipaji cha nini?
-Kusingekuwa na mchezo wa riadha Usain Bolt angekuwa na kipaji gani.
-Je, Kuna kipaji cha kujamiiana?
-Kuna kipaji cha kula?
-Kuna kipaji cha kunywa pombe?
-kwa nini walokole wana uwezo wa kukariri mistari ya bibilia na kuichambua lakini wanashindwa kukariri quotations kutoka kwenye vitabu vya fasihi wakati yote ni maandishi?

Cc Monetary doctor Poor Brain uzuri_hatujuani.

Bye bye 👋.
chai
 
Majibu
Je, kama mpira wa miguu usingegunduliwa Messi angekuwa na kipaji cha nini?-Angekuwa na kipaji cha michezo mingine ambayo imeshagunduliwa
-Kusingekuwa na mchezo wa riadha Usain Bolt angekuwa na kipaji gani.--Angekuwa na kipaji cha kumfukuza mnyama mfano fisi na kumkamata angalia Bushmen kama Wahadzabe
-Je, Kuna kipaji cha kujamiiana?-----Nenda ule mkoa flani nawahifadhi kuchafuana sio jambo jema.
-Kuna kipaji cha kula?----Nenda hospitali kuna ugonjwa unaitwa Prader-Willi syndrome huwa unaridhiwa na watu wa aina hii wanakuwa wanene sana.
-Kuna kipaji cha kunywa pombe?-Nenda ule mkoa flani pombe kwao ni sehemu ya jadi hata mgeni ukienda unaonjeshwa kwanza bahati nzuri ni wachapakazi sana na wafanya biashara wakubwa nawahifadhi umeshawaelewa
-kwa nini walokole wana uwezo wa kukariri mistari ya bibilia na kuichambua lakini wanashindwa kukariri quotations kutoka kwenye vitabu vya fasihi wakati yote ni maandishi?--Wana uwezo huo kwasababu kwanza wamejenga interest hawezi kariri fasihi maana haimfikishi mbinguni
NYONGEZA
Vipaji vipo hata ufaulu mkubwa darasani ni kipaji kama sio wewe soma sana lakini familia yenu kama geneticaly hawako hivo utaloweka hadi miguu kwenye ndoo usiku usilale kusoma hadi asubuhi lakini sana sana utaambulia Grade C.Mwenzako anasoma hadi saa nne usiku analala anapata Grade A

Albert Eistein mwanasayansi Nguli aliyeibadilisha dunia alikuwa hafanyi majaribio yeyote alikuwa akilala akiamka anaweka formular na inakuwa kweli

Hebu wewe jaribu kumuiga Diamond kuimba kama utamfikia.
Pia nikuambie kitu unaweza kuwa na kipaji ila usijue likatokea jambo likahuisha kipaji chako watu wakashangaa.Mfano mzuri mhe Mbunge rafiki yangu Erick Shigongo alisomea mambo ya medical lakini kumbe alikuwa na kipaji cha uandishi kilikuja kufumuka baadae kabisa.
Zingatia maneno haya Bright,Genius,Talented,Dull.
Hakuna mtu duniani asiye na kipaji cha aina yake hata ujinga ni kipaji pia ujue hilo MUNGU ametuumba tofauti kwa makusudi maalum.
 
Attachments

  • Screenshot 2025-05-14 072133.png
    Screenshot 2025-05-14 072133.png
    629.7 KB · Views: 39
Vipaji vipo mkuu, kuna watu kwa namna walivyozaliwa, miili yao inawapa urahisi wa kufanya jambo fulani kwa wepesi kuliko wengine.

Kama huyo Hussein Bolt, ni jamaa ana ngoroko ndefu, Steve Nyerere hata atrain vipi uwezo wa Bolt hatafikia. Hiyo kuchora tu wewe umejifunza lakini kuna wengine tangu udogo wao hahangaiki kuchora na hajajifunza wala kufunzwa na mtu.

Vipaji vipo mkuu, kuna vitu wewe hutaweza kuvifanya hata ukijifunza kwa muda ila wapo wanaovifanya pasi na mazoezi.
 
Back
Top Bottom