secretarybird
JF-Expert Member
- Aug 22, 2024
- 23,984
- 51,055
- Thread starter
- #41
Kipaji ni nini?Kuna utofauti wa KIPAJI na JUHIDI ....Hivyovyote vinauwezo wa kukupa mafanikio
Tuanzie hapo kwanza.
Kipaji ni nini?Kuna utofauti wa KIPAJI na JUHIDI ....Hivyovyote vinauwezo wa kukupa mafanikio
Hahaha 😂SIKU ZOTE NIMEKUA NASEMA KAMA NISINGEKUA NAFANYA. HIKI NACHO KIFANYA BASI MPIRA WA MIGUU NDIO UNGELIPA BILL ZANGU ZOTEEE.
KWENYE MGUU WANGU WA KUSHOTO MUNGU ALIWEKA KIPAJI CHA AJABU CHA KUSAKATA KABUMBU NILITABILIWA KUFANYA MAKUBWA.
ILIKUCHUKUA SEKUNDE KADHAA MPIRA UKIWA MGUUNI KULITHIBITISHA HILO MIMI NILI UDHARAU MPIRA WA MIGUU
NILIKUA NA MIKIMBIO SKILLS AMBAZO NILIKUA NA KASI YAKUWAPITA WATU KAMA WAMESIMAMA
KUNA VIPAJI MZEE KAMA MWINGINE ANAVYO KILEMU MASOMO KAMA KASUMU MWINGINE ANASOMA NA KUELEWA
Yule ni kipaji nahakika humfikii mkifanya TOURNAMENT 😊Tangu siku kwanza au aliimprove kidogo kidogo?
Na mtu anazaliwa kabisa akiwa tayari ana uwezo wa kufanya jambo/ kitu fulani? Huu ni uwongo wa kiwango cha standard gauge.Talents zipo. Na unaanza kuziona ukiwa Shule. Kuna binadamu hata usome vipi, huwezi kuwapita kwa sababu wana uwezo mkubwa (talent) kwenye hilo eneo kukuzidi wewe.
Unachokizungumzia wewe ni "to get better" at something. Yani kwamba kila mtu akiweka juhudi katika kitu chochote basi anaweza akawa bora zaidi kuliko alivyokua mwanzo.
Sasa ukitaka kujua tumeumbwa tofauti huku duniani na vipaji vipo na ni "real", nenda kwenye competition za vitu unavyoamini kuwa wewe una talents navyo, uone katika hicho hicho unachojiamini nacho, wenzako wanakifanya katika scale gani!
Sio kweli kila mtu ana Atlanta yakeHoja yangu ni kuwa watu wanazaliwa wakiwa wanafanana yaani hakuna mtu anayezaliwa akiwa na uwezo wa kufanya kitu fulani.
Eti mkuu tumeaminishwa kuwa mtu amezalowa akiwa na uwezo wa kuendesha gari wakati gari lenyewe linegunduliwa juzi tu.Una kitu mkuu! Usikilizwe.
Mkuu usikubali kuambiwa mtu anazaliwa akiwa na uwezo wa kuchora wakati kuchorwa kwenye we kuligunduliwa baada ya binadamu kuwepo duniani. (1) UNAANGAMIA KWA KUKOSA MAARIFA "ALIYEGUNDUA GARI NI BAADA YA MUNGU KUMPA FACILITIES ZOTE + NA SHAHUKU YA KUTOA KILICHOPO NDANI YAKE "gar"
Eti mtu fulani ana amezalowa na kipaji cha kuendesha gari kwa Kasi wakati gari lenyewe linegunduliwa juzi. (2) ACHA KUWA RESULTS ORIENTED, JARIBU KUJIFUNZA MCHAKATO UPOJE!! Rudia kusoma point namba 1,utaielewa namba 2.
Sasa jiulize wale watu waliozaliwa miaka ya 1600's hapa Tanzania wakiwa na kipaji cha kuendesha gari walifanyeje. Rudia point namba 1, hawa kilichopo ndani yao ni kuendesha gari, na kipaji mara nyingine ili ukijue unacho "MSUKUMO WA NJE NI MUHIMU",HAPA NDIPO ANAOPOKUJA MTU MWENYE KIPAJI CHA UGUNDUZI WA MAGARI. Mf. Unakipaji cha kuangalia mpira,baada ya msukumo wa nje yaani kipaji cha Messi anabyocheza "unajikuta unavutiwa" ACHA KUKAZA FUVU,MTOA KIPAJI NI MUNGU "UNAZALIWA NACHO"
Yeye amekuwa vizuri kwenye kuchora kwa sababu hicho ndicho anachokifikiria zaidi katika ubongo wake.Yule ni kipaji nahakika humfikii mkifanya TOURNAMENT 😊
Je, kipawa ni nini? Au kipaji ni nini?Ngoja nikuuliza.
Hivi wale watoto wanaokaa na mama zao na kusikiliza umbea wa mama zao na kukariri mazungumzo yale yote tuseme na wao wanavipaji vya kukariri umbea? Kama ndivyo kwa nini darasani wanashindwa kukariri kile anachokisema mwalimu wakati anafundisha wakati umbea wote ana uwezo wa kuukariri?
Mtu ukipenda kitu fulani na akaanza kukifikiria wakati wote unaweza kuibua namna nzuri ya kuifanya tofauti na watu wengine.
#mtu hazaliwi na kipaji.
Mpaka anafanya gunduzi mbali mbali kwenye mizagamuo vumbuzi EVER kutokea.Yeye amekuwa vizuri kwenye kuchora kwa sababu hicho ndicho anachokifikiria zaidi katika ubongo wake.
Vivyo hivyo mtu anayefikiria zaidi kujamiiana atakuwa mtundu katika mchezo huo.
Je, kwa nini Brazil na bara la Amarika kwa ujumla lina wachezaji wanye uwezo wa kuuchezea mpira kuliko bara la Afrika na Asia.Sio kweli kila mtu ana Atlanta yake
Ni kugundua na kuendeleza
Tuko tofauti
Kwenye mziki Kuna waimbaji wengi ila tuzi anachukua labda diamond
Kwenye football ku milion of footballers ila Huwa anachukua tuzo Mesi
Unakuta darasa Lina wanafunzi 200 kila anaongoza John
Kuna wengine wanafanya au wanajaribu mara 10 hadi anapatia wakati mtu mwingine jambo hilo hilo analirudia mara 1000 ili kupata matokea sawa na huyu wa kujaribu mara 10. Hapo huoni kuwa huyu mwenye kujaribu mara 10 ana kipaji?Umechelewa kujua Mkuu, binafsi naamini katika kujaribu/ kufanya mara nyingi hence unakua expert
Mkuu China pamoja na India pamoja na idadi kubwa ya watu wao hawajawahi kuwa na mchezaji mzuri wa mpira wa miguu. Au watu wenye vipaji vya mpira hawazaliwi kwao?Mpaka anafanya gunduzi mbali mbali kwenye mizagamuo vumbuzi EVER kutokea.
Vumbuzi adimu ever za minyanduo ni kipaji Cha watanzania ukiacha usimba na uyanga.
Sasa kama aliziliwa na uwezo huo ambao mnauita kipaji kwa nini arudie mara kumi. Mara Moja ingetosha.Kuna wengine wanafanya au wanajaribu mara 10 hadi anapatia wakati mtu mwingine jambo hilo hilo analirudia mara 1000 ili kupata matokea sawa na huyu wa kujaribu mara 10. Hapo huoni kuwa huyu mwenye kujaribu mara 10 ana kipaji?
Usiposhughulisha akili lazima utatumia jitihada kubwa kwenye Kila kitu.Je, kipawa ni nini? Au kipaji ni nini?
Kipaji ni uwezo wa asili wa kutenda mambo makubwa na yenye matokeo bora kwa kutumia nguvu na rasilimali ndogo ukilinganisha na watu wengine.
Hiyo hutokea tuJe, kwa nini Brazil na bara la Amarika kwa ujumla lina wachezaji wanye uwezo wa kuuchezea mpira kuliko bara la Afrika na Asia.
Pia kwa nini India na China hawana wachezaji wakubwa wa mpira au watu wenye vipaji hivyo hawazaliwi kule?
Naomba jibu langu.
Lakini Aziz K hawezi kuwa bora kuliko messi na wote wanafanya mazoezi wote wanaufikiria mpiraMessi yuko vizur kwenye football kwa sababu Kila muda anafikirika kuhusu mpira na anatafuta namna ya kuwa Bora Kila muda.
Ni kama wewe ulipokuwa hunaanza na kukupenda mpira ulikuwa huna uwezo wa kukariri majina ya wachezaji lakini baada ya kuanza kuupenda kushabikia mpira ukaweza kukariri majina ya wachezaji kwa muda mfupi bila kutumia jitihada kwani Kila muda hayo majina yanajirudia rudia yenyewe kwenye kichwa chako.
Kuna watu wanafanya mazoezi ya kitu chochote kwa mfano mpira kwa hisia wakiwa wamelala na hao watu wanakuwa na uwezo mkubwa pindi wanapofanya actual exercise sasa mfano wa watu hao ndo Messi.