secretarybird
JF-Expert Member
- Aug 22, 2024
- 23,984
- 51,055
- Thread starter
- #81
Mtoto anaweza kuvutiwa na kile ambacho kipo kwenye jamii/ mazingira yake kwa mfano mtoto wa mhadzabe hawezi kuvutiwa na mpira wanmiguu wakati hicho kitu hakiko katika jamii yao.Kama ni mzazi kaa na watoto wako uwasome halafu utapata majibu.
Hii inamaanisha kuwa hakuna kitu kinachokaa damuni bila hicho kitu kuwepo katika mazingira husika.
Are we together? Say yes.