secretarybird
JF-Expert Member
- Aug 22, 2024
- 23,984
- 51,055
- Thread starter
- #101
Utofauti uko wapi.Mazoezi hayakwepeki Ili mwili uwe na utimamu.
Ila utofauti upo.
Utofauti uko wapi.Mazoezi hayakwepeki Ili mwili uwe na utimamu.
Ila utofauti upo.
Tazama vizuri namna yao ya uchezaji....juhudi na kipaji vinajionyesha.Utofauti uko wapi.
Utakuwa huelewi dhana ya neno kipaji! Kwani huko kuchorachora panzi wewe ulifundishwa na mtu au ulianza tu kuchora mara baada ya kujua kushika kalamu? Kama la mwisho ndiyo jibu basi hicho ndicho kipaji! Ndiyo maana unaona hata Messi alianza kucheza matambara mtaani baada ya kuonekana ana kipaji cha mpira akachukuliwa kwenda kwenye academy ili kukuza hicho kipaji. Pia unaona kuna watu wasiokuwa na kipaji wanalazimishwa kufanya jambo lakini mwisho wa siku wanachemka! Chukulia mfano wa mtoto wa mchambuzi fulani wa mpira hapa nchini (jina kapuni), amelazimishwa kucheza mpira mpaka kupelekwa kwenye academy za maana lakini wapiiii kwa vile hana kipaji cha mpira ameshindwa kufurukuta! Hivyo kipaji mtu anazaliwa nacho bali ujuzi ule wa kusomea hicho siyo kipaji!Habari ya muda Great Thinkers!!
Wakuu nimegundua kuwa hakuna kitu kinachoitwa kipaji (talent) katika Dunia hii.
Wazungu hupenda kutumia dhana au neno kipaji wakimaanisha mtu kuzaliwa akiwa tayari ana uwezo wa kufanya kitu fulani kwa mfano kucheza mpira, kuimba, kukimbia. Wamefanya na wanafanya hivi ili tujikatie tamaa ya kufanya mambo makubwa kama gunduzi za kisayansi na mengine mengi.
Binafsi nilishawahi kujaribu kukatishwa tamaa na jamaa mmoja, hii ni mara baada ya kuona mimi najaribu kuchora. Jamaa aliniambia wewe wala usihangaike maana huna kipaji cha kuchora,maneno haya yalininipa hasira ya kupambana zaidai ndiyo maana leo hii mimi ni miongoni mwa wachoraji wakubwa hapa Tanzania (hii ni mara baada ya kugundua kuwa hukuna kipaji duniani)
Hakuna mtu aliyezaliwa akiwa tayari na uwezo wa kufanya jambo fulani (kipaji), watu wote wanazaliwa sawa lakini namna ya kufikiria ndiyo humfanya moja afanye jambo fulani kwa urahisi kuliko mwingine.
Hebu jiulize haya maswali na uyatafakari kwa kina.
-Je, kama mpira wa miguu usingegunduliwa Messi angekuwa na kipaji cha nini?
-Kusingekuwa na mchezo wa riadha Usain Bolt angekuwa na kipaji gani.
-Je, Kuna kipaji cha kujamiiana?
-Kuna kipaji cha kula?
-Kuna kipaji cha kunywa pombe?
-kwa nini walokole wana uwezo wa kukariri mistari ya bibilia na kuichambua lakini wanashindwa kukariri quotations kutoka kwenye vitabu vya fasihi wakati yote ni maandishi?
Cc Monetary doctor Poor Brain uzuri_hatujuani.
Bye bye 👋.
Pia tazama Kila mmoja alianza kucheza lini, akiwa na umri gani na katika mazingira gani kisha uje na majibu.Tazama vizuri namna yao ya uchezaji....juhudi na kipaji vinajionyesha.
Ushakuza mtoto wa muhadzabe ukaona havutiwi na mpira,?Mtoto anaweza kuvutiwa na kile ambacho kipo kwenye jamii/ mazingira yake kwa mfano mtoto wa mhadzabe hawezi kuvutiwa na mpira wanmiguu wakati hicho kitu hakiko katika jamii yao.
Hii inamaanisha kuwa hakuna kitu kinachokaa damuni bila hicho kitu kuwepo katika mazingira husika.
Are we together? Say yes.
Mtoto wanhuyo mchambuzi kipaumbele chake siyo kucheza mpira ndiyo maana akili yake haiko huko.Utakuwa huelewi dhana ya neno kipaji! Kwani huko kuchorachora panzi wewe ulifundishwa na mtu au ulianza tu kuchora mara baada ya kujua kushika kalamu? Kama la mwisho ndiyo jibu basi hicho ndicho kipaji! Ndiyo maana unaona hata Messi alianza kucheza matambara mtaani baada ya kuonekana ana kipaji cha mpira akachukuliwa kwenda kwenye academy ili kukuza hicho kipaji. Pia unaona kuna watu wasiokuwa na kipaji wanalazimishwa kufanya jambo lakini mwisho wa siku wanachemka! Chukulia mfano wa mtoto wa mchambuzi fulani wa mpira hapa nchini (jina kapuni), amelazimishwa kucheza mpira mpaka kupelekwa kwenye academy za maana lakini wapiiii kwa vile hana kipaji cha mpira ameshindwa kufurukuta! Hivyo kipaji mtu anazaliwa nacho bali ujuzi ule wa kusomea hicho siyo kipaji!
Eeh zenye umri kama bibi zakeAnataka zile za kumleta yeye, siyo?
Atavutiwa vipi wakati hajawahi kuuona hata siku Moja.Ushakuza mtoto wa muhadzabe ukaona havutiwi na mpira,?
Ngoja tusubiri, labda Kuna maajabu.Eeh zenye umri kama bibi zake
Hicho Ndio kipaji!Nilitumia siku tatu tu kujifunza kuchora. Nilikuwa nikitembea njiani najenga picha akilini kama nachora.
Kila kitu hutafutiwa suluhisho akikini na unapofikira kufanya kitu fulani usifikirie kufanya kama mtu fulani fikiria kufanya kwa namna ya tofauti na hicho ndicho Messi anakifanya then akichanganya na mazoezi kidogo mambo yanakuwa moto.
Kuna Jamaa alifeli kabisa form four kwa kupata division 4. Alianza kusoma Certificate, Diploma na Bachelor Degree akipata A+ za kutosha na akiwa first no kwa wastani wa GPA. Alipomaliza chuo kikuu X alibakizwa pale pale chuoni kupata tutorial lectures na hadi sasa ni Mwalimu mkubwa tu wa chuo kikuu X nchini kwenye sciences faculty ingawa form 4 hakufaulu vizuri zaidi kwenye masomo hayo hayo ya sayansi.Kama nawewe Great Thinker wa jf kazi ipo.
Unakili wazi kuwa uliambiwa kuchora ni kipaji sio? Basi wewe ukapata hasira ya kujifunza zaidi hadi ukawa bora sio?
Sasa kuna dogo wangu anaye nifuata kabla hata hajaanza kusoma chekecheka alikuqa akiona karamu yyte iwe ya wino au mkaa basi anachora wanyama anaowajua.
Baada ya kufika la pili tu alikuwa na uwezo wa kuchora kwa bora mno! Niambie huyu ni kipaji au alijifunza? Alijifunizia wapi wakati wakubwa zake hakuna mchoraji?
Maswali uliyouliza majibu yake yote unayo unadhani wana liadha wote wako tu huko Olympic?
Kuna jamaa wanafunguka kana kwamba wana motor mguuni na hutawaona wanafanya mazoezi popote pale!!
Uelewe hata yule aliyengudua mpira nae anakipaji hicho.
Kuhusu kula wewe hata iweje huwezi maliza kg1 ya mchele yaani mchele ununuliwe then upikwe uwe wali halafu jamaa mmoja tu na nusu ya maharage anakula ana maliza.
Kuna jamaa3 tu walikuwa wanakula mbuzi mzima (kienyeji) mkubwa sio wachezaji wa mpira sio wachezaji wa mieleka jamaa wanakula sio poa
Kwa hiyo nilizaliwa na uwezo wa kuchora?Hicho Ndio kipaji!
Ali switch akili yake na kuanza kusoma kwa strategy tofauti hata akafikia alichokikusudia.Kuna Jamaa alifeli kabisa form four kwa kupata division 4. Alianza kusoma Certificate, Diploma na Bachelor Degree akipata A+ za kutosha na akiwa first no kwa wastani wa GPA. Alipomaliza chuo kikuu X alibakizwa pale pale chuoni kupata tutorial lectures na hadi sasa ni Mwalimu mkubwa tu wa chuo kikuu X nchini kwenye sciences faculty ingawa form 4 hakufaulu vizuri zaidi kwenye masomo hayo hayo ya sayansi.
Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.
Hakuna cha mwenye kipaji ni illusions tupu.Unachora Rada Kama wezi au unachora Nini ?
Unazungumziaje Jambo ambalo wewe unatumia miaka kumi kulielewa na miaka Saba kulimudu huku Kuna mwenzio anatumia wiki.
Mkuu kwani neno 'kipaji' kwako unalielewaje?Habari ya muda Great Thinkers!!
Wakuu nimegundua kuwa hakuna kitu kinachoitwa kipaji (talent) katika Dunia hii.
Wazungu hupenda kutumia dhana au neno kipaji wakimaanisha mtu kuzaliwa akiwa tayari ana uwezo wa kufanya kitu fulani kwa mfano kucheza mpira, kuimba, kukimbia. Wamefanya na wanafanya hivi ili tujikatie tamaa ya kufanya mambo makubwa kama gunduzi za kisayansi na mengine mengi.
Binafsi nilishawahi kujaribu kukatishwa tamaa na jamaa mmoja, hii ni mara baada ya kuona mimi najaribu kuchora. Jamaa aliniambia wewe wala usihangaike maana huna kipaji cha kuchora,maneno haya yalininipa hasira ya kupambana zaidai ndiyo maana leo hii mimi ni miongoni mwa wachoraji wakubwa hapa Tanzania (hii ni mara baada ya kugundua kuwa hukuna kipaji duniani)
Hakuna mtu aliyezaliwa akiwa tayari na uwezo wa kufanya jambo fulani (kipaji), watu wote wanazaliwa sawa lakini namna ya kufikiria ndiyo humfanya moja afanye jambo fulani kwa urahisi kuliko mwingine.
Hebu jiulize haya maswali na uyatafakari kwa kina.
-Je, kama mpira wa miguu usingegunduliwa Messi angekuwa na kipaji cha nini?
-Kusingekuwa na mchezo wa riadha Usain Bolt angekuwa na kipaji gani.
-Je, Kuna kipaji cha kujamiiana?
-Kuna kipaji cha kula?
-Kuna kipaji cha kunywa pombe?
-kwa nini walokole wana uwezo wa kukariri mistari ya bibilia na kuichambua lakini wanashindwa kukariri quotations kutoka kwenye vitabu vya fasihi wakati yote ni maandishi?
Cc Monetary doctor Poor Brain uzuri_hatujuani.
Bye bye 👋.
Huyu alifanya bidii kujifunza wapo wenye kipajiKuna Jamaa alifeli kabisa form four kwa kupata division 4. Alianza kusoma Certificate, Diploma na Bachelor Degree akipata A+ za kutosha na akiwa first no kwa wastani wa GPA. Alipomaliza chuo kikuu X alibakizwa pale pale chuoni kupata tutorial lectures na hadi sasa ni Mwalimu mkubwa tu wa chuo kikuu X nchini kwenye sciences faculty ingawa form 4 hakufaulu vizuri zaidi kwenye masomo hayo hayo ya sayansi.
Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.
Hahaha 😂 watakuambia alikuwa na kipaji.Hakuna cha mwenye kipaji ni illusions tupu.
Inamaana huyu naye hakuwa na kipaji aliyefanya majaribio ya kutengeneza mwanga wa balbu zaidi ya mara 1,000?
Kama alikuwa na kipaji kwanini ilimgharimu mara nyingi kwa muda mrefu kutengeneza mwanga wa balbu aliyetengeneza pekee duniani?
View attachment 3333341
Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.
Hatari sana Mkuu.Ali switch akili yake na kuanza kusoma kwa strategy tofauti hata akafikia alichokikusudia.
Halafu mtu anakuambia kuwa hicho ni kipaji.