secretarybird
JF-Expert Member
- Aug 22, 2024
- 23,984
- 51,055
- Thread starter
- #61
Brazil wako vizuri kwa sababu soka kwao ni kama sehemu ya utamaduni. Mbrazil haipiti siku bila kuwaza mpira na Wana practice tofauti na wachina na wahindi ambao wao wanawaza mambo mengine.Hiyo hutokea tu
Brazil Kuna vipaji vya mpira
India ni watu dhaifu miwili Yao haina minguvu utawakuta kwenye taaluma au uigizaji
Mtu angekuwa anazaliwa na uwezo fulani basi kungekuwa na wahindi footballers wakubwa, wahadzabe footballers wakubwa duniani, wachina footballers wakubwa 😎