Hakuna kitu kinachoitwa kipaji (kuzaliwa na uwezo wa kufanya kitu fulani)

Hakuna kitu kinachoitwa kipaji (kuzaliwa na uwezo wa kufanya kitu fulani)

Binadamu mmoja ana bando la vipaji. Mfano kuimba,kukimbia,kubuni mitindo mbalimbali,Kuchora n.k
Acha uwongo mkuu, hakuna mtu anaezaliwa na uwezo wa kufanya kitu toka tumboni, wote tunakuwa sawa then tukishazaliwa factors mbalimbli ndo zinatufanya tutofautiane katika ufansi wa kufanya mambo.
 
Kwa mfano ukizaliwa kwenye jamii isiyojua chochote kuhusu mchezo wa mpira wa miguu (hawajui kama Kuna mchezo huo) na mtoto mwenye kipaji cha mpira akazaliwa katika jamii hiyo, je naye atakuwa anaufikiria mpira ilihali hajawahi kuuona wala kuusikia?

Cc Infropreneur
Kipaji cha Mpira alicho nacho kitajitokeza kwa staili nyingine hata kama Mpira haujagunduliwa kwa mfano atakuwa anapiga makopo kana kwamba ni Mpira na atakapoona kuna kero anakutana nazo kwenye kupiga hayo makopo basi Kipaji chake kitamsukuma aanze kufikiri solution ya hizo kero usishangae yeye ndio akagundua Mpira ili kukiridhisha na kukishibisha Kipaji chake!

Kipaji ni kama njaa kinatafuta chakula chake kwa udi na uvumba!
 
Hapa sasa umenichkesha hadi machozi yemenitoka.
 
Ata ndege Hufundishwa kupaa.
Lazima kwanza uwe na makali ya maarifa ya uwezo wako; pili, ujasiri wa kuthubutu; Tatu, imani kufanya.
 
Ni wewe Tu unayo muona
Kipaji ni kufanya kitu au jambo katika ubora na ufanisi zaidi Kwa urahisi bila kuumia
Vipaji vipo na watu wana vipaji
Wewe huwezi kuwa Bora kwenye football kama mesi
mess mbona Mimi namuona Hana kitu ?
 
Mchezaji yupi wa soka asiyefanya mazoezi huyo, physical bod fitness inapatikanaje bila ya kufanya mazoezi? Muwe mnaacha hadithi za vijiweni.

Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.

Ndugu yangu mimi sio mwanakijiwe naongea facts. Hii article inaongelea jinsi maisha ya Messi yanavyoharibu chipukizi katika team ya Barcelona. Jamaa haji mazoezini lakini ana-perform vijana wakimuiga wanapotea kwenye game.
 
Jamie Vardy $ Shaggy nao hawakuwa na vipaji kwa majukumu yao ya awali kabla ya kuwa Football Striker na Reggae Dance Singer?

Ubinadamu ni kaziThe humanity is work.
View attachment 3333387View attachment 3333388
Huyu alifanya bidii kujifunza wapo wenye kipaji
Hiyo bidii ndiyo kipaji chenyewe sasa, kwanini Wazungu huangalia vitu wapendavyo kuvifanya sana Watoto udogoni kisha huwapeleka shule kusomea hivyo vitu hadi ukubwani na wakibobea kuvifanya kwa ufanisi huviitaje?

Kwanini wasiwaache tu waendelee kuvifanya wenyewe bila ya kuelekezwa na kuongozwa wakiamini ni vipaji na watakuwa navyo kwa ubora zaidi kuliko wakipelekwa kusomea na kwa muda mrefu tu?

Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.
 
Ngoja nikuuliza.

Hivi wale watoto wanaokaa na mama zao na kusikiliza umbea wa mama zao na kukariri mazungumzo yale yote tuseme na wao wanavipaji vya kukariri umbea? Kama ndivyo kwa nini darasani wanashindwa kukariri kile anachokisema mwalimu wakati anafundisha wakati umbea wote ana uwezo wa kuukariri?

Mtu ukipenda kitu fulani na akaanza kukifikiria wakati wote unaweza kuibua namna nzuri ya kuifanya tofauti na watu wengine.

#mtu hazaliwi na kipaji.
Mimi nimeelezea maisha ya masomo nilisoma na Zawadi Mdoe. Huyu jamaa alikuwa haandiki notes akimsikiliza mwalimu imetoka. Baba na mama yake walikuwa maprofesa SUA,alikuwa top 3 form four na form six. Kwa sasa ni Profesor Norway. Hii inaonesha mfumo wa elimu ni mbovu maana sio kila mtu ana kipaji cha elimu. Huku ujerumani kuna wanaosoma masomo ya utafiti() na kuna amabao wanasoma masomo ya vitendo(Beruf Schule). Na wanawatenga kabisa

Wewe utaendelea kubisha mimi naamini na nimeshuhudia kila mtu anazaliwa na kipaji. Na inabidi ujaribu kila kitu kujua kipaji chako. Ndio maana kila mtu ana urahisi wa kufanya jambo A na ugumu wa kufanya jambo B. Kipaji ni pale mtu anapokuwa na urahisi wa kufanya au kutekeleza fani fulani. Kuna kazi hata ukaze vipi kama hauna kipaji hauwezi kutoboa. Kazi kama Architect mwenye kipaji anakuwa juu kuliko wewe. Na ndio maana huku Ulaya watoto wanaruhusiwa kujaribu kila kitu ili wajue kipaji chao mapema.
 
Bado siamini kama mtu anazaliwa akiwa na uwezo wa kitu fulani.

Mtu aliyezaliwa akiwa na uwezo kwenye masuala ya architecture akizaliwa bushi hicho kipaji chake ataenda kukifanyia kazi wapi?

Natambua kuwa huko ulaya watoto wanaruhusiwa kujarib vitu mbalimbli ili kujua ufansi wao uko katika kitu gani lakini kuwa na ufansi kwenye vitu hivyo hakumaanishi kuwa waliozaliwa na uwezo huo bali Kuna other factors.
 
Hakuna cha mwenye kipaji ni illusions tupu.
Inamaana huyu naye hakuwa na kipaji aliyefanya majaribio ya kutengeneza mwanga wa balbu zaidi ya mara 1,000?
Kama alikuwa na kipaji kwanini ilimgharimu mara nyingi kwa muda mrefu kutengeneza mwanga wa balbu aliyetengeneza pekee duniani?

View attachment 3333341
Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.
Kipawa -Jinias - Hali ya juu ya utendaji.....Hapa ndipo yanapozaliwa madaraja na ukuu wa Watu.
Kasome post yangu ya pili kumjibu mleta mada Kuna jibu lako pale.

Utaalamu wa kutenda mambo fulani yaani kuliona Jambo ktk vipande vyake vyote kabla hujalifikia kilaza wa field hiyo atabakia kushangazwa tu.
 
Kwa mfano mtu aliyetengeneza balbu aua aliyegundua moto alijaribu mara ngapi? Kama alijaribu zaidi ya mara Moja basi hajazaliwa na uwezo huo.
nikuulize swali hilo wazo la kitu kinachoitwa balbu alilitoa wapi? na kwanini kati ya watu wote duniani ye ndo alikuja na wazo hilo?, nikuulize nani alimpa akili edison ya kwamba kuna kitu kinaitwa balbu? najua edison alipata wazo la balbu baada ya rafiki yake kuvumbua gari lakin nikwanini ni edison tu na si mwingine?
 
Back
Top Bottom