Sir John Roberts
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 12,835
- 23,584
Juzi hapa kuna boda boda kaniitikia sawa mzee kimoyo moyo nikasema anamaanisha mzee au mzee ile ya kihuni.ila uzee umefika 40 + siyo kijana shababi tena naona.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
OMG mbavu zangu duh nimecheka sana wallah ukizingatia nina kipara ila ni cha uzeeni hiki 😂 😂 😂 😂 😂Kwema Wakuu!
Ni Stress hapa!
Ni sonona hapa! Kihoro kinakaba kama pumu huku. Yaani hapa mambo sio mambo.
Kuna Watu wanakuambia umri ni number tuu lakini huko ni kufarijiana tuu!
Hakuna kitu kinauma na kuleta mfadhaiko na mtagusano kulinafsi kama kuona jua lile linazama halafu wewe mambo bilabila.
Nywele kunyonyoka kama mbwakoko mzee. Alafu ukicheki huna mbele wala nyuma sio Pouwa Washikaji.
Mvi kukuota wakati unaishi chumba kimoja sio lelemama ndugu zangu.
Fikiria mvi hizi hapa alafu huna hata mke wala mtoto. Kiumri ni miaka labda 35 hivi. Shida ni kuwa mpaka muda moja na mbili haikai.
Kila ukikumbuka ile kauli ya kusema nikiwa mkubwa nitafanya bla! Blah! Blah! Unapiga ngumi ukutani.
Nani akutake na mvi zako Budah! Yaani huna pesa alafu umejaza mvi kichwani. Ni binti gani yupo tayari kukubali kuwa nawe?
Binti gani atakubali kuwa na wewe na kipara chako na hauna Maisha.
wanasema vijana ndio huona maono bwashee! Wazee wenye mvi na vipara huota ndoto tuu. Yaani kila unaloliwaza kuna asilimia 70 kuwa ni ndoto uotayo ya alinacha.
Kipara sio shida. Shida ni pale huna mbele wala nyuma. Nyie ni mateso bila chuki. Hujui tawi gani ushike.
Yaani Upara na mvi vinakukuta ni Jobless mamaaaa! Hujui ufanye nini unafikiri Daah!
Unakipara chako kinamea polepole, au unamvi zako alafu huna pesa mbona lazima uwe introvert tuu. Yaani ndio ile unajikita mkimya maana nini sasa utaongea. Na hawa vijana wa 2000 hawana salia mtume, hawajui la muhazini wala mnadi Swala. Watakuona Babu yao ilhali hata miaka 40 huijui.
Utani utani wa kijinga na maneno ya kukutania vitazidi kushamiri.
Automatically kijiweni utaanza kupotea na utakuwa mtu wa kuwa bize for nothing.
Usiombe hiyo hali ikukute mazee! Kwanza hata ukienda vibaruani lazima uzinguliwe na matajiri kwa sababu wanajua huna chaguo, alafu mbaya zaidi lazima wakuzungushe kwenye malipo. Alafu ukijaribu kuwa mshari wanakuambia hayo mambo waachiw vijana ilhali wewe mwenyewe ndio kwanza upo miaka 35. Kudadadeki! Innalilah wainalilah Rajuun!
Chochote ukitaka kukifanya ukiwa kipara au mvi tena kwa mtaji mdogo lazima kikutie unyonge, Watu watakuwa wanakuona kama Budah fulani hivi.
Napendekeza, ukiwa below miaka 30 na umetoka familia maskini, kisha bado hauna ramani kivile.
Miaka 20- 30 ndio umri wako wa kujaribu kufanya kazi zózote na kujiweka sawa. Ndio umri wa kutafuta Pisikali moja uzae nayo yaani uanzishe familia ukiwa bado unamuonekano mzuri.
Usibeti kuwa ngoja utafute pesa Kwanza, huko ni kubet Ndugu yangu. Unaweza ukapata pesa au usipate. Lakini kwa umri wa miaka 20-30 huwezi kukosa Mwanamke mzuri wa kuanza naye familia akuzalie watoto angalàu mmoja au wawili.
Ili hata mambo yakibuma na mkeo akakuzingua uwe unafaida ya mtoto au watoto.
Lakini umechelewa kuanzisha familia kwa kubet kuwa unatafuta pesa Kwanza. Alafu umri umesogea, kipara na mvi zile alafu pesa hujapata. Ndugu yangu umekwisha!
This is Africa. Kanuni za huku ni za kipekee. Fanya kile ambacho unauhakika nacho kwa sasa na sio kubet kuwa unatafuta pesa kwanza kama vile uko Ulaya.
Elewa, huku Afrika unaweza ukawa na Juhudi, bidii na akili lakini bado maisha yakakupasua tuu. Lakini kwa Ulaya hilo haliwezekani.
Usijidanganye hapo na vishughuli vyako vya kujitafutia ambavyo vinakuingizia mia mbili mia tatu na kujipa moyo kuwa mambo yakikaa vizuri ndio utaanzisha familia. My friend, unajidanganya. Kwa Afrika labda uwe umeajiriwa tena serikalini ndio unaweza kufikiri kwa namna hiyo.
Biashara inabadilika muda wowote. Ni bora ibadilike ulishapata watoto tena na mke mzuri ambaye hata mkiachana haitalalia upande wako.
Uzee unatísha wazee! Uzee ambao haujajipata sio pouwa ndugu zanguni. Wanaosema Fainali uzeeni wanajua wanasema nini ndugu zanguni.
Tuombe Mungu atupe akili ya kutumia baraka zake lakini pia atupe uwezo wa kufanya mambo kwa wakati ili tusijetaabika.
Mwenye mvi nimemaliza.
Robert Heriel
Taikon wa Fasihi
Kwa sasa Dar es salaam
Kujipata maana yake nini?Amesema 'kipara bila kujipata'
I dont think you got my point!Ukate tamaa, embu toka kwenye hiyo Comfort Zone unayo ikumbatia, Watanzania tunapenda kuwa polished sana ukweli hamtaki kuambiwa.
Wewe unaona ni sawa kijana ana miaka 35 yupo kwa baba na mama kula ugali wa shikamoo, ataweza kuwa na familia, mtoto na maendeleo.
I have clearly understood you in psychological point of view and that's why I have responded accordingly.I dont think you got my point!
😀😀😀 Dalili zimeanza.Juzi hapa kuna boda boda kaniitikia sawa mzee kimoyo moyo nikasema anamaanisha mzee au mzee ile ya kihuni.ila uzee umefika 40 + siyo kijana shababi tena naona.
Kwema Wakuu!
Ni Stress hapa!
Ni sonona hapa! Kihoro kinakaba kama pumu huku. Yaani hapa mambo sio mambo.
Kuna Watu wanakuambia umri ni number tuu lakini huko ni kufarijiana tuu!
Hakuna kitu kinauma na kuleta mfadhaiko na mtagusano kulinafsi kama kuona jua lile linazama halafu wewe mambo bilabila.
Nywele kunyonyoka kama mbwakoko mzee. Alafu ukicheki huna mbele wala nyuma sio Pouwa Washikaji.
Mvi kukuota wakati unaishi chumba kimoja sio lelemama ndugu zangu.
Fikiria mvi hizi hapa alafu huna hata mke wala mtoto. Kiumri ni miaka labda 35 hivi. Shida ni kuwa mpaka muda moja na mbili haikai.
Kila ukikumbuka ile kauli ya kusema nikiwa mkubwa nitafanya bla! Blah! Blah! Unapiga ngumi ukutani.
Nani akutake na mvi zako Budah! Yaani huna pesa alafu umejaza mvi kichwani. Ni binti gani yupo tayari kukubali kuwa nawe?
Binti gani atakubali kuwa na wewe na kipara chako na hauna Maisha.
wanasema vijana ndio huona maono bwashee! Wazee wenye mvi na vipara huota ndoto tuu. Yaani kila unaloliwaza kuna asilimia 70 kuwa ni ndoto uotayo ya alinacha.
Kipara sio shida. Shida ni pale huna mbele wala nyuma. Nyie ni mateso bila chuki. Hujui tawi gani ushike.
Yaani Upara na mvi vinakukuta ni Jobless mamaaaa! Hujui ufanye nini unafikiri Daah!
Unakipara chako kinamea polepole, au unamvi zako alafu huna pesa mbona lazima uwe introvert tuu. Yaani ndio ile unajikita mkimya maana nini sasa utaongea. Na hawa vijana wa 2000 hawana salia mtume, hawajui la muhazini wala mnadi Swala. Watakuona Babu yao ilhali hata miaka 40 huijui.
Utani utani wa kijinga na maneno ya kukutania vitazidi kushamiri.
Automatically kijiweni utaanza kupotea na utakuwa mtu wa kuwa bize for nothing.
Usiombe hiyo hali ikukute mazee! Kwanza hata ukienda vibaruani lazima uzinguliwe na matajiri kwa sababu wanajua huna chaguo, alafu mbaya zaidi lazima wakuzungushe kwenye malipo. Alafu ukijaribu kuwa mshari wanakuambia hayo mambo waachiw vijana ilhali wewe mwenyewe ndio kwanza upo miaka 35. Kudadadeki! Innalilah wainalilah Rajuun!
Chochote ukitaka kukifanya ukiwa kipara au mvi tena kwa mtaji mdogo lazima kikutie unyonge, Watu watakuwa wanakuona kama Budah fulani hivi.
Napendekeza, ukiwa below miaka 30 na umetoka familia maskini, kisha bado hauna ramani kivile.
Miaka 20- 30 ndio umri wako wa kujaribu kufanya kazi zózote na kujiweka sawa. Ndio umri wa kutafuta Pisikali moja uzae nayo yaani uanzishe familia ukiwa bado unamuonekano mzuri.
Usibeti kuwa ngoja utafute pesa Kwanza, huko ni kubet Ndugu yangu. Unaweza ukapata pesa au usipate. Lakini kwa umri wa miaka 20-30 huwezi kukosa Mwanamke mzuri wa kuanza naye familia akuzalie watoto angalàu mmoja au wawili.
Ili hata mambo yakibuma na mkeo akakuzingua uwe unafaida ya mtoto au watoto.
Lakini umechelewa kuanzisha familia kwa kubet kuwa unatafuta pesa Kwanza. Alafu umri umesogea, kipara na mvi zile alafu pesa hujapata. Ndugu yangu umekwisha!
This is Africa. Kanuni za huku ni za kipekee. Fanya kile ambacho unauhakika nacho kwa sasa na sio kubet kuwa unatafuta pesa kwanza kama vile uko Ulaya.
Elewa, huku Afrika unaweza ukawa na Juhudi, bidii na akili lakini bado maisha yakakupasua tuu. Lakini kwa Ulaya hilo haliwezekani.
Usijidanganye hapo na vishughuli vyako vya kujitafutia ambavyo vinakuingizia mia mbili mia tatu na kujipa moyo kuwa mambo yakikaa vizuri ndio utaanzisha familia. My friend, unajidanganya. Kwa Afrika labda uwe umeajiriwa tena serikalini ndio unaweza kufikiri kwa namna hiyo.
Biashara inabadilika muda wowote. Ni bora ibadilike ulishapata watoto tena na mke mzuri ambaye hata mkiachana haitalalia upande wako.
Uzee unatísha wazee! Uzee ambao haujajipata sio pouwa ndugu zanguni. Wanaosema Fainali uzeeni wanajua wanasema nini ndugu zanguni.
Tuombe Mungu atupe akili ya kutumia baraka zake lakini pia atupe uwezo wa kufanya mambo kwa wakati ili tusijetaabika.
Mwenye mvi nimemaliza.
Robert Heriel
Taikon wa Fasihi
Kwa sasa Dar es salaam
mkapa hakuzaliwa nacho kilisababishwa na mambo mawiliKipara au mvi??
I didn't even reply psychologically as you think! My point is, don't discourage young people by telling them that there is a certain age, and if you haven't achieved this and that, then you are finished. My motto is to keep trying and trying and never give up! And you...? You are talking about living with parents. Totally two different views.I have clearly understood you in psychological point of view and that's why I have responded accordingly.
Madini hayaKipara na mvi ni swala la genetic and not about being broke or jobless and other related stuffs.
Maisha hayana kuwahi wala kuchelewa kitu muhimu ambacho MTU anabidi kukipigania to all his lifetime ni kuhakikisha unakuwa sober all the time Kwa kukubali kujifunza kila siku, kujizuia na aina yoyote ya uraibu Kama Pombe, madawa, ngono and etc.
Ukijifunza hivi vitu
Movement vs progress
Speed vs direction.
Watz tupo katika movement Ila hatuna progress we live fucking life paycheck to paycheck and hand to mouth life.
As well tuna speed ya kuharakia mambo Ila hatuna direction yoyote Kuwa wapi tinahitaji kufika na nini tunataka katika MAISHA yetu.
Ikiwa MTU atapata stress Kwa kupata kipara na mvi basi huyo MTU atakuwa hajitambui na hajui anahitaji nini katika aya Maisha .
Na unfortunately Africans wanaishi Kwa kuongozwa na macho ya watu na sio kutoka ndani and this is problem why we are still broke day to day.
Keep trying is not a bad thing but whoever plan to achieve, should have time bound when setting goals. There is a time and age you should have to establish family and have children no matter what. . So if just want to relax and live in comfort zone or need to be encouraged or motivated then the success will not be part of you. Success need hard work, aggressiveness and strategic plan.I didn't even reply psychologically as you think! My point is, don't discourage young people by telling them that there is a certain age, and if you haven't achieved this and that, then you are finished. My motto is to keep trying and trying and never give up! And you...? You are talking about living with parents. Totally two different views.
I'm puzzled as to why grasping such a straightforward concept proves challenging for you. It appears your teacher faced difficulties, given that even your English is muddled; you translate words and sentences directly from Swahili to English. My question: Is conveying to someone that they are not performing well and advising them not to give up considered a truthful expression?Keep trying is not a bad thing but whoever plan to achieve, should have time bound when setting goals. There is a time and age you should have to establish family and have children no matter what. . So if just want to relax and live in comfort zone or need to be encouraged or motivated then the success will not be part of you. Success need hard work, aggressiveness and strategic plan.
And because of your narrow mind you can't even see in front of your nose, I haven't mean that you used psychology to reply rather I meant with my psychology experience I can understand what kind of person you are from your text.
So you want to say those guys who are still living at their parents home in the age of 35 yrs still you need to polish them instead of telling them the truth.
My Motto is to Play smart, strategies and work on time/ just before dedline.
Stop intimidation, English is not my mother tongue I can't stand and be proud of it. What I see from you is total failure, you have lost focus and you need others to fail as well. Your a big losser, bullshit.I'm puzzled as to why grasping such a straightforward concept proves challenging for you. It appears your teacher faced difficulties, given that even your English is muddled; you translate words and sentences directly from Swahili to English. My question: Is conveying to someone that they are not performing well and advising them not to give up considered a truthful
It's evident that your improficiency in English is a testament to your linguistic ineptitude so as your IQ. Still: Is conveying to someone that they are not performing well and advising them not to give up considered a truthful?Stop intimidation, English is not my mother tongue I can't stand and be proud of it. What I see from you is total failure, you have lost focus and you need others to fail as well. Your a big losser, bullshit.
Ni shida kama huyo jamaa macho_mdiliko ni wale diaspora wanaolala nje hawana maisha upara na mvi zimemjaa kichani anastress balaa na kurudi bongo naona aibu kwa kuwa hana kitu ndio maana anataka kuonewa huruma.Upara noma sana ukukute huna hela za kunyoa dongo kila siku weeeh ukaacha nywele ziote ukikaa mguu sawa hiyo kichwa inaonekana kama Passo, zile side mirror ndio nywele za pembeni alafu roof top ndio uwaraza wenyewe mtu akikuona asubuhi anafikiri unamiliki Hyatt regency hotel, mchana upara unashusha maji kama chemchem ya mlima Kilimanjaro. Kweli upara hela
Kweli mtibeli ila vijana sio kama atutaki kuanzisha familia issues ni uchumi.
Hii inawezekana Kwa binti ambaye anajitambuwa na anajuwa majukumu ya wazazi wake si ya mtu mwingine.Alafu kanuni ya mahusiano iliyosahihi kwa kiasi kikubwa ni kuanzia mahusiano ukiwa hauna chochote na sio lolote.