Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 28,297
- 68,017
- Thread starter
- #221
Hii inawezekana Kwa binti ambaye anajitambuwa na anajuwa majukumu ya wazazi wake si ya mtu mwingine.
Ulimwengu huu wa macho matatu vijana Wana mtihani mkubwa Sana.
Tuliozaliwa na kukuwa kabla ya ujio wa smartphone hilo liliwezekana, lakini sasa mambo yamebadirika Sana.
Lazima tunyooke.
Maana bila kitu hupatu mtu. Sio ndugu wala marafiki