Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 28,297
- 68,017
- Thread starter
-
- #221
Hii inawezekana Kwa binti ambaye anajitambuwa na anajuwa majukumu ya wazazi wake si ya mtu mwingine.
Ulimwengu huu wa macho matatu vijana Wana mtihani mkubwa Sana.
Tuliozaliwa na kukuwa kabla ya ujio wa smartphone hilo liliwezekana, lakini sasa mambo yamebadirika Sana.
Uzee haukimbiwi na wala mvi sio uzee.
Wapo watu wana 60 na hawana mvi na wapo vijana wana 30 wana mvi.
Muhimu ni kutokata tamaa ktk maisha..
Kila binadamu Mungu amemkadiria riziki yake.
Mkuu kuna watu wanatoka mvi wakiwa under 30 je nao ni wazee?Huwezi tenganisha uzee na mvi labda kama hujui maana ya uzee.
Wapo wanaowahi kuzeeka na wapo wanaochelewa ndio hicho unachokiona kuwa wengne wanawahi kuwa na mvi(kuzeeka) wengine wanachelewa
Mkuu kuna watu wanatoka mvi wakiwa under 30 je nao ni wazee?