Hakuna kitu kinaleta Stress kama kuota Mvi au upara halafu bado hujajipata

Babu yake Babu babu Yule Babu yake Sasa ndio alianza biashara. Kujiringanisha nao NI kulazimisha stress .
 

Kanuni za Afrika ni ngumu sana Mkuu.
Kuajiriwa tuu Watu wanaangalia vitu vingi ikiwemo Physical appearance ya MTU.
Hata kwenda kuchumbia ni vivyohivyo.

Ni kweli Upara na mvi ni ishu ya kijenetiki lakini huwezi kuvitenganisha na kuzeeka.
Kipara na Mvi ni sehemu ya uzee.
 
Mkuu unanigusa,kipara kimeanza kuniota mwishoni mwa mwaka jana na umri (nina 30 to 40 yrs of old) umesonga,hata gari sina nimeishia kuwa na familia ya wake wawili na mji mmoja,kibaruani kazi tembo mshahara sungura,naishia kujishangaa tu.

Kwa mwanadamu hakuna mafanikio makubwa zaidi ya kuwa na familiΓ .
 
πŸ˜€πŸ˜€
Tuulize sisi wenye vipara alafu moja na mbili haikai.
Au kuwa Jobless uone utaelewa nazungumzia nini.
Utatamani ubandike nywele na gundi kichwani
Itakuwa vizuri iwapo ungetujuza kwamba, pamoja na mvi zako, umepiga hatua gani kimaisha?

Familia

Makazi

Kazi/kipato

Kama hivyo vyote vitatu hauna, basi vilevile hauna vigezo vya kutoa ushauri kwa vijana kwa sababu hujafika sehemu nzuri kimaisha ambayo unaweza kupigia mfano.
 

Huwezi kunielewa kama haupo kundi hili
 
Kweli Ila MAISHA ni zaidi ya kipara na mvi .

Jamii zenye fikra duni Kama Africa ndo huwa zinajikita kutazama mwonekano wa MTU habari za yule mfupi au yule mnene sijui mrefu sana Mara Ana sura personal and some shit stuff huwa zinaongolewa na low minded peoples and not civilized peoples.
 
Mkuu unanigusa,kipara kimeanza kuniota mwishoni mwa mwaka jana na umri (nina 30 to 40 yrs of old) umesonga,hata gari sina nimeishia kuwa na familia ya wake wawili na mji mmoja,kibaruani kazi tembo mshahara sungura,naishia kujishangaa tu.
Yaani maisha taiti harafu unaongeza na mke wa pili duuu aliyekuloga kafa
 
Ni kweli kabisa
Ila linapokuja suala la kazi na kuajiriwa umri ni kigezo muhimu sana ili uajiriwe.
Umri utakaoutaja lazima waajiri waulinganishe na Physical appearance yako.
Kuliko vyeti ambavyo unaweza kuchakachua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…