chamaclotus
JF-Expert Member
- Apr 19, 2019
- 1,079
- 2,273
Vip mkuu kuhusu sisi ambao tumezaliwa tukakuta nyumbani Kuna ukwasi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
majaliwa mbona hana mvi😂😂nasikia anashinda saluni?na wengi waliozaliwa miaka ya 80-85 wengi wamejaa mvi ni piko tu zinawasaidia
Babu yake Babu babu Yule Babu yake Sasa ndio alianza biashara. Kujiringanisha nao NI kulazimisha stress .Uwezo wa kung'amua mazingira yako ni muhimu sana kutiliwa mkazo katika malezi ya watoto. Unakuta mtu yeye ndio first generation educated kwenye ukoo na uzao wa kwanza kuishi mjini... Anajilinganisha kimafanikio na watu ambao Babu zao walizaliwa mijini, na biashara aliamza Babu yake Babu.... Kujitafutia stress tuu
wakuria wakenya ni wazuriJifunzeni Kwa wakurya, miaka 18 u meshaoa, una watoto wawili ndipo unaendelea na utafutaji.
Maisha ni Kupambana, muhimu Uzima,
Hakuna stress kubwa kama Binti wa 12 yrs kujazwa mimba.
Mwanaume hapati mimba, hivyo Kwa sie wanaume hakuna kitu inaitwa stress, tupambane.
Kipara na mvi ni swala la genetic and not about being broke or jobless and other related stuffs.
Maisha hayana kuwahi wala kuchelewa kitu muhimu ambacho MTU anabidi kukipigania to all his lifetime ni kuhakikisha unakuwa sober all the time Kwa kukubali kujifunza kila siku, kujizuia na aina yoyote ya uraibu Kama Pombe, madawa, ngono and etc.
Ukijifunza hivi vitu
Movement vs progress
Speed vs direction.
Watz tupo katika movement Ila hatuna progress we live fucking life paycheck to paycheck and hand to mouth life.
As well tuna speed ya kuharakia mambo Ila hatuna direction yoyote Kuwa wapi tinahitaji kufika na nini tunataka katika MAISHA yetu.
Ikiwa MTU atapata stress Kwa kupata kipara na mvi basi huyo MTU atakuwa hajitambui na hajui anahitaji nini katika aya Maisha .
Na unfortunately Africans wanaishi Kwa kuongozwa na macho ya watu na sio kutoka ndani and this is problem why we are still broke day to day.
Fact..!Formula ya Bongo kujipata ni miaka 50 msidanganyike, kinyume cha hapo hayo ni majizi tu.
Vijana msikate tamaa, hakuna tajiri yoyote Africa ambaye ni self made millionaire ambaye yuko under 50, hakuna.
Mkuu unanigusa,kipara kimeanza kuniota mwishoni mwa mwaka jana na umri (nina 30 to 40 yrs of old) umesonga,hata gari sina nimeishia kuwa na familia ya wake wawili na mji mmoja,kibaruani kazi tembo mshahara sungura,naishia kujishangaa tu.
Itakuwa vizuri iwapo ungetujuza kwamba, pamoja na mvi zako, umepiga hatua gani kimaisha?😀😀
Tuulize sisi wenye vipara alafu moja na mbili haikai.
Au kuwa Jobless uone utaelewa nazungumzia nini.
Utatamani ubandike nywele na gundi kichwani
Ndevu nazo zinakuwa na mvi...Unaanza kujitetea unaonekana umedanganya umri....kuota mvi, kuwa upara baadae unashangaa nywele za kifuani nazo zinakuwa nyeupe aisee ni srtess juu ya stress
Hata kama umejipata vinashtua, utajikuta unapaka black kifuani 😆 😆 😆
kuota mvi, kuwa upara baadae unashangaa nywele za kifuani nazo zinakuwa nyeupe aisee ni srtess juu ya stress
Hata kama umejipata vinashtua, utajikuta unapaka black kifuani 😆 😆 😆
Itakuwa vizuri iwapo ungetujuza kamba, pamoja na mvi zako, umepiga hatua gani kimaisha?
Familia
Makazi
Kazi/kipato
Kama hivyo vyote vitatu hauna, basi vilevile hauna vigezo vya kutoa ushauri kwa vijana kwa sababu hujafika sehemu nzuri kimaisha ambayo unaweza kupigia mfano.
Ndevu nazo zinakuwa na mvi...Unaanza kujitetea unaonekana umedanganya umri....
Kweli Ila MAISHA ni zaidi ya kipara na mvi .Kanuni za Afrika ni ngumu sana Mkuu.
Kuajiriwa tuu Watu wanaangalia vitu vingi ikiwemo Physical appearance ya MTU.
Hata kwenda kuchumbia ni vivyohivyo.
Ni kweli Upara na mvi ni ishu ya kijenetiki lakini huwezi kuvitenganisha na kuzeeka.
Kipara na Mvi ni sehemu ya uzee.
pole broo
Yaani maisha taiti harafu unaongeza na mke wa pili duuu aliyekuloga kafaMkuu unanigusa,kipara kimeanza kuniota mwishoni mwa mwaka jana na umri (nina 30 to 40 yrs of old) umesonga,hata gari sina nimeishia kuwa na familia ya wake wawili na mji mmoja,kibaruani kazi tembo mshahara sungura,naishia kujishangaa tu.
Inavyoonekana kaingiza miss mapema sanaKwa hii mindset yako mleta mada, niseme tu; umekwisha.
Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
Ni kweli kabisaKweli Ila MAISHA ni zaidi ya kipara na mvi .
Jamii zenye fikra duni Kama Africa ndo huwa zinajikita kutazama mwonekano wa MTU habari za yule mfupi au yule mnene sijui mrefu sana Mara Ana sura personal and some shit stuff huwa zinaongolewa na low minded peoples and not civilized peoples.
,😂😂😂😂😂Role model wangu kwenye kupambana na mvi na kipara.Sijali.View attachment 2889451
Kwa hii mindset yako mleta mada, niseme tu; umekwisha.
Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app