Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe jiulize ni waafrika wangapi umewaona wamejipata wakiwa na miaka zaidi ya 45, lazima uongelee mambo halisi yaliyopo kwenye ground sio narrative
Inasemekana kuna madem wanapenda sana kipara
Ova
Unae ongea narrative ni wewe, unataka kutuaminisha kuwa hakuna wabongo wanao tusua maisha katika 45, 50?Wewe jiulize ni waafrika wangapi umewaona wamejipata wakiwa na miaka zaidi ya 45, lazima uongelee mambo halisi yaliyopo kwenye ground sio narrative
Et nywel zimenyonyoka kama mbwakoo, Amehlo nitakutazamaje mimi tena boss wangu na ninadhalilishwa hivi !!.
Ujue vijana msio na uzoefu wa maisha (mnayajua maisha kwa kuandika andika tu) mnafikiri kuna tofaut kubwa sana kati ya 25's -35's.
The difference is sooo minor.. tulia uone sasa. The gap too short..leo uko 25's ndio wengine mmetola toka chuo, ghafla tu unajikuta 35.. unajikita seriously umeanza kupambana at 30, boooom!! 35 hii hapa. Usicheke cheke hapa dogo Intelligent businessman ..
Unae ongea narrative ni wewe, unataka kutuaminisha kuwa hakuna wabongo wanao tusua maisha katika 45, 50?
Unachokiwaza ndo unachopata katika MAISHAUnafanya hao yote unagongwa na boda boda una kuwa kiwete [emoji12][emoji12]
Nakuelewa kiongozi
ukichanganya na yale matarajio kuwa ukiwa 20s mpaka 30s utakua mtu flani halafu maisha yanakwambia rudisha mpira mazoezini cha ndimu wakati wenzio washachukua kombe la club bingwa na wengine wameenda majuu wana UEFA inauma kishenzi! Lazima uwe mnyonge ukiwaza umekuja duniani kuujaza ukoo ibrahim unaskia kitu kama kiazi kipo kwenye koo unakimeza
Aisee kuna kipindi kinyozi alinishawishi kutumia magic kwa sababu nikinyolea mashine natokwa vipele balaa. Huyo aliniharibu kidevu, ila kichwa nacho naona sio za kuhesabu tena🤣Hizo siyo mvi za uzee ni mtindo wa maisha tu na wengine za kurithi.
Ukiwa unanyowa Ndevu Kwa magic tarajia hilo kidevu kujaa mvi.
Wewe jomba acha kupanik. Maisha hayana kanuni maalum hasa huku Afrika. Kijana anamaliza chuo akiwa na miaka 24 huku mkononi akiwa na invoice ya deni la HESLB. Unadhani itamchukua miaka mingapi kujipata? Sio rahisi kama unavyodhani. Cha muhimu ni kupambana kwanza kumudu zile basic needs. Mambo mengine yote ni majaliwa ya Mungu. Pia kusema kukimbilia kuoa ni upuuzi wa hali ya juu. Wengi waliofanya hivyo wameishia kutelekeza watoto kwa bibi zao. Mtibeli acha kujifananisha na watu wengine. Kila mtu na riziki yake. Mvi na kipara ni mambo tu ya maumbile.. kuna mdogo wangu hata 30yrs hajafikisha ila ana mvi za kutosha.
😁😁😁 nakuelewa mkuu.Unachokiwaza ndo unachopata katika MAISHA
Exactly..msisitizo wangu ni kwamba , mazingira kwa asilimia kubwa hayampi advantagw huyu mtoto wa miaka 25 afanikiwe kirahis ndio maana wengi hujikuta 30 hio hapa na bado hawajafanya kitu.Sasa tatizo linaanzia upo miaka 35 alafu usiwe tofauti na wa miaka 25 ndio mtoto hapo ulipo.
Msi tutishe kuhusu maisha, mlicho tuzidi ni simu Kali za kupigia Picha.Et nywel zimenyonyoka kama mbwakoo, Amehlo nitakutazamaje mimi tena boss wangu na ninadhalilishwa hivi !!.
Ujue vijana msio na uzoefu wa maisha (mnayajua maisha kwa kuandika andika tu) mnafikiri kuna tofaut kubwa sana kati ya 25's -35's.
The difference is sooo minor.. tulia uone sasa. The gap too short..leo uko 25's ndio wengine mmetola toka chuo, ghafla tu unajikuta 35.. unajikita seriously umeanza kupambana at 30, boooom!! 35 hii hapa. Usicheke cheke hapa dogo Intelligent businessman ..
Exactly..msisitizo wangu ni kwamba , mazingira kwa asilimia kubwa hayampi advantagw huyu mtoto wa miaka 25 afanikiwe kirahis ndio maana wengi hujikuta 30 hio hapa na bado hawajafanya kitu.
Mi wala silii mkuu, mwez may tu hapo nakunja 35 yangu kiroho safiii na sina majuto nayo hata chembe. Hata chembe yan japo sijafanikiwa bado ila siko huko unakokuzungumzia.. japo nimeku mind sana hapo kwenye kipara..
Hata usichanganyikiwe mkuu. Tatizo wengi wanahangaika kutafuta mafanikio kama kipaumbele wakisahau kwamba mafanikio ni just a product.. ni matokeo tu , results from just any serious process.Nakuelewa kiongozi
ukichanganya na yale matarajio kuwa ukiwa 20s mpaka 30s utakua mtu flani halafu maisha yanakwambia rudisha mpira mazoezini cha ndimu wakati wenzio washachukua kombe la club bingwa na wengine wameenda majuu wana UEFA inauma kishenzi! Lazima uwe mnyonge ukiwaza umekuja duniani kuujaza ukoo ibrahim unaskia kitu kama kiazi kipo kwenye koo unakimeza
Kipara ka Sahani ya bati😄😄🤒Exactly..msisitizo wangu ni kwamba , mazingira kwa asilimia kubwa hayampi advantagw huyu mtoto wa miaka 25 afanikiwe kirahis ndio maana wengi hujikuta 30 hio hapa na bado hawajafanya kitu.
Mi wala silii mkuu, mwez may tu hapo nakunja 35 yangu kiroho safiii na sina majuto nayo hata chembe. Hata chembe yan japo sijafanikiwa bado ila siko huko unakokuzungumzia.. japo nimeku mind sana hapo kwenye kipara..
na kwa huzuni kubwa mno unatamani uhamie porini wasikokujuaAutomatically unajikuta kundi la introvert kilazima😂😂