Bin Kisafuru
Senior Member
- Oct 4, 2018
- 109
- 161
Ni wivu tu anaoSasa wamezalishwa dada zako...
Wewe unakuja kutoa ushauri humu wadada waache tamaa...
Why usiwaite uwape huo ushauri??..
Sometimes maji hufata mkondo...
Je wamama wakubwa wote kwenu waliolewa?? Mama wadogo wote wako kwenye ndoa?
Binti hawezi tulia na kusubiri kuolewa iwapo mama zake wote walizaa bila kuolewa....au Kaka zake wote wanazalisha wadada bila ndoa
Bado wewe
sensible advise, but it's too LATE, wamejifungua salama, so far so GOOD!Nilichogundua wanaume wa Tanzania waongo waongo tu. Dada zangu wote mbona hamjawaoa mmeishia kuwapa Mimba tu.
Yaani wanaume ni waongo Sana mlikuwa mnawapeleka guest na Magari, leo hii dada zangu wanatembea kwa Miguu kwenda Kliniki (clinic)
Wanaume ambao wapo serious na hawana mpango wa kuwachezea watoto wa watu na kuwafanya single mothers wapo wachache Mno. Nimeyatafakari haya Maisha ya mahusiano nimebaki Kupata mshangao Sana.
Ushauri: tulieni na punguzeni tamaa za vitu vidogo ukiona Mtu ana gari acha shobo haimaniishi hiyo gari yake ndo upendo. Hasa hawa wanawake wa zama hizi ambao hawajausoma huu mchezo vizuri.
Hamna mwanangu, sema Jamaa kaandika kwa uchungu ππBado wewe
Imasikitisha sana lkn nawe umejitasmini kwanza ujazalishs mtoto wa mtu uko kwaoNilichogundua wanaume wa Tanzania waongo waongo tu. Dada zangu wote mbona hamjawaoa mmeishia kuwapa Mimba tu.
Yaani wanaume ni waongo Sana mlikuwa mnawapeleka guest na Magari, leo hii dada zangu wanatembea kwa Miguu kwenda Kliniki (clinic)
Wanaume ambao wapo serious na hawana mpango wa kuwachezea watoto wa watu na kuwafanya single mothers wapo wachache Mno. Nimeyatafakari haya Maisha ya mahusiano nimebaki Kupata mshangao Sana.
Ushauri: tulieni na punguzeni tamaa za vitu vidogo ukiona Mtu ana gari acha shobo haimaniishi hiyo gari yake ndo upendo. Hasa hawa wanawake wa zama hizi ambao hawajausoma huu mchezo vizuri.
Inauma na utaanza kuona huyo mdogo wako au mwanao ana umeme mdogo kichwani ππ.Hamna mwanangu, sema Jamaa kaandika kwa uchungu ππ
Wana tako?Nilichogundua wanaume wa Tanzania waongo waongo tu. Dada zangu wote mbona hamjawaoa mmeishia kuwapa Mimba tu.
Yaani wanaume ni waongo Sana mlikuwa mnawapeleka guest na Magari, leo hii dada zangu wanatembea kwa Miguu kwenda Kliniki (clinic)
Wanaume ambao wapo serious na hawana mpango wa kuwachezea watoto wa watu na kuwafanya single mothers wapo wachache Mno. Nimeyatafakari haya Maisha ya mahusiano nimebaki Kupata mshangao Sana.
Ushauri: tulieni na punguzeni tamaa za vitu vidogo ukiona Mtu ana gari acha shobo haimaniishi hiyo gari yake ndo upendo. Hasa hawa wanawake wa zama hizi ambao hawajausoma huu mchezo vizuri.
nanunua gun, atakaye mzoea ana kula chuma manInauma na utaanza kuona huyo mdogo wako au mwanao ana umeme mdogo kichwani ππ.
Maana wao huwaza ndoa tu, akiahidiwa ndoa ndoa anadungwa mimba, ndoa ndoa anadungwa nyingine.
Baba mtu ndo kataa ndoa pro max anaumia ndani kwa ndani tu.
Ume ongea kirahisi Sana, mwanetu wa kataa ndoa huyoπPole sana mkuu