Hakuna kitu kinauma humu kama kuona mwenzako anachangamkiwa na mwanamke, utatamani ardhi ipasuke

Hivi kumbe ananyemelea mali zangu?? Sasa anataka kummendea bibi yake? Dunia inaelekea wapi hii?
 
Kumbe ndio utundu wa humu unavyofanyika sio.
 
Wanaume wana tabia hiyo utashangaa umechukiwa tu kumbe nyuzi za kusifia wengine muwege mnasema
 
Kumbeee nilkuwa sijui wengine mpaka wanaenda kunisemea kwa Mganga wameshawahi nikula wanazani ataniacha pyeeeee nimebana mpaka penalty
Kuna id humu huwa inanitaja kila kona yaan uzi hata haunihusu nishatajwa kwa siku naweza tajwa hata Mara kumi unakuwa unaona anataka ukaribu na umpe attention yako tu
 
Ukiendelea hivi ukizeeka utakuwa umeadvance kwenye uchawi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…