Hakuna kitu kinauma humu kama kuona mwenzako anachangamkiwa na mwanamke, utatamani ardhi ipasuke

Hakuna kitu kinauma humu kama kuona mwenzako anachangamkiwa na mwanamke, utatamani ardhi ipasuke

huyo mrembo ni mzee mkuu,achana nae..najua ni yule anayepeleka compliments love mfululizo kwa ASPIRIN,nilikuona unacheza na chaki kwenye nyuzi zake,hahah pole sana mkuu,though watu wengi wa humu wasikuumize kichwa,wapo total different na uyaonapo majina yao...jiamini!
Hivi kumbe ananyemelea mali zangu?? Sasa anataka kummendea bibi yake? Dunia inaelekea wapi hii?
 
Mbinu zao ni kama ifuatavyo!.
Huwa wanakuwa active ili kupata attention
Sasa unakuta Wanatengeneza ukaribu Na wanawake wenyewe..ili kupata namba Na mawasiliano!
Asilimia kubwa ya mademu wa Jf wameliwa kwa stahili hiyo.
Unadhan garl mwenzako anaku Pm mnafikishan mpaka kwenye kupeana namba Na kutumiana pics. Hapo ndipo kuna assist!

Hii nyingine SIWEZI itaja maana nitawaumbua
Ila poleni woteeee mnaopata wivu
Kumbe ndio utundu wa humu unavyofanyika sio.
 
Wanaume wana tabia hiyo utashangaa umechukiwa tu kumbe nyuzi za kusifia wengine muwege mnasema
 
huyo mrembo ni mzee mkuu,achana nae..najua ni yule anayepeleka compliments love mfululizo kwa ASPIRIN,nilikuona unacheza na chaki kwenye nyuzi zake,hahah pole sana mkuu,though watu wengi wa humu wasikuumize kichwa,wapo total different na uyaonapo majina yao...jiamini!
Ukiendelea hivi ukizeeka utakuwa umeadvance kwenye uchawi
 
Back
Top Bottom