Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,926
- 95,626
Ungekuwa na chura ningetuma!Tuma tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ungekuwa na chura ningetuma!Tuma tu
Hivi kumbe ananyemelea mali zangu?? Sasa anataka kummendea bibi yake? Dunia inaelekea wapi hii?huyo mrembo ni mzee mkuu,achana nae..najua ni yule anayepeleka compliments love mfululizo kwa ASPIRIN,nilikuona unacheza na chaki kwenye nyuzi zake,hahah pole sana mkuu,though watu wengi wa humu wasikuumize kichwa,wapo total different na uyaonapo majina yao...jiamini!
Wife unanikwaza ujue...Shida na raha akianzisha uzi wa kumsifia kidume na wewe anzisha wa kumsifia Sky Eclat babu Asprin atakuelewa tu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ungekuwa na chura ningetuma!
Sio kila kitu lazma mlalamike jamani vingine mjifunze kupitia kwa wengine
Fuata nyendo zetu [emoji124][emoji124][emoji124]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mwezi wa 12 siredi ya nguvu itawajia hapa
[emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16]
Yaan hali yangu inazid kuwa mbaya[emoji23]
Anakusanya data kawa researcher[emoji23]
Nime mwambia akae kimya
Kumbe ndio utundu wa humu unavyofanyika sio.Mbinu zao ni kama ifuatavyo!.
Huwa wanakuwa active ili kupata attention
Sasa unakuta Wanatengeneza ukaribu Na wanawake wenyewe..ili kupata namba Na mawasiliano!
Asilimia kubwa ya mademu wa Jf wameliwa kwa stahili hiyo.
Unadhan garl mwenzako anaku Pm mnafikishan mpaka kwenye kupeana namba Na kutumiana pics. Hapo ndipo kuna assist!
Hii nyingine SIWEZI itaja maana nitawaumbua
Ila poleni woteeee mnaopata wivu
[emoji109] [emoji111] [emoji106][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Badae bhana[emoji112][emoji112][emoji124][emoji124]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ukufwe tu,hakuna namna[emoji125][emoji125]
Kuna id humu huwa inanitaja kila kona yaan uzi hata haunihusu nishatajwa kwa siku naweza tajwa hata Mara kumi unakuwa unaona anataka ukaribu na umpe attention yako tuKumbeee nilkuwa sijui wengine mpaka wanaenda kunisemea kwa Mganga wameshawahi nikula wanazani ataniacha pyeeeee nimebana mpaka penalty
Mi ndio maana nimeifunga pm ya G najua tabia za humu watu huwa wanawashwa ahhaa,Ukiwa na bae jf wanamfata pm wanasema huyo demu nimeshamkula hafai
Watu tumekaba mpaka penalty
Ikatokea nikamkamata mmoja nitageuka kunguru nimnyeeee kila sku
Ukiendelea hivi ukizeeka utakuwa umeadvance kwenye uchawihuyo mrembo ni mzee mkuu,achana nae..najua ni yule anayepeleka compliments love mfululizo kwa ASPIRIN,nilikuona unacheza na chaki kwenye nyuzi zake,hahah pole sana mkuu,though watu wengi wa humu wasikuumize kichwa,wapo total different na uyaonapo majina yao...jiamini!
HhhhaaaaaaaMbn umejiqoute wasije sema id yangu imeunganishwa
Ahhahahahaha[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Hiyo yote ni miandiko yangu eeh?
Abiria chunga mzigo wakoMi ndio maana nimeifunga pm ya G najua tabia za humu watu huwa wanawashwa ahhaa,
Mbona sipati notification? Anadhani wote madume ama@Shunie
Sakayo
Raynavero
Dinazarde
Miss Natafuta
Hao nliowataja wote ni wadada members msiwaogope pamoja na kuwa kwao active.
Ila kwa kauli yako ina ukweli pia hasa hawa wadada wanaoingia na kujifanya wanatafuta wachumba wengi ni madume wenzenu kama Giree