Hebu mcheki Jason statham hapo, unaona mwanaume akiwa na body zuri akivaa tisheti inavyomkaa, basi na g Akivaaa inamkaa Kama hivyoKweli akili zako wazijua mwenyewe.
Hivi hapa anaetakiwa kuandika siredi ni nani? (Nasisitiza).Baby
Wallah anavutiaHebu mcheki Jason statham hapo, unaona mwanaume akiwa na body zuri akivaa tisheti inavyomkaa, basi na g Akivaaa inamkaa Kama hivyo
Sasa anijie mtu kavaa inakuwa Kama tisheti imetundikwa kwenye mti Kwanzaa ntasonyaaaaaaaaaaaaaaa View attachment 786483
sometime ashipumbazwe na drama za jf.Kupenda ni vzuri, lakini si lazima unaye mpenda na yeye akupende. Hizo ni hisia hazilazimishwi
Mnao fungua nyuzi fungueni tu celebrate mapenzi mubashara
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahahahaha halaf tabia ya kutumia id moja mmeanza mpaka mnamchanganya kichwa
Wazee ni hazina ujue, wakongwe huwa wana ujana ndani yao, ushahidi chunguza hao shaibu na ajuza kwa avatar kama hutamwona kijana hensum akimwimbia kwa gitaa mrembo wake[emoji125]Tatizo ni ID na avatar yako.....badilisha ID yako na avatar ivutie kama Daby, Iceman 3D, Mr Miller, tamuuuu na wengineo. Sasa unakuwa na avatar ya vikongwe kama yangu utafatwa na nani zaidi ya kubaki kuita uwapendao mashemeji tu! [emoji144]
Mkipendana sana kufanana lazimaBaby tumeanza kufanana eeh? Mpaka watu wanajua id moja ati
AhahahaaaaaaEeee acha kujiqoute
HahahKuna id flan hivi Siku hizi sioni nimeikumbuka nikachekaa tu
Achana nao baby wangu sisi ngoja tufurahie life tuu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Najibebisha niacheni
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Mkipendana sana kufanana lazima
Waswahili walisema kizuri kula na wenzio,Nitamtaja siku moja, pm nimeweka kufuli mkimtaka mnaandika hapa hapa wote tunasoma,, navyoyapenda Yale mabody acha tu
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Achana nao baby wangu sisi ngoja tufurahie life tuu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hahaha, we acha tu mkuu maana ninavotamani kukutana na mrembo mmoja humu... Lakini kila siku naona anasababisha moyo wangu unayumba.
Unapendaje I'd fake aisee??!! Mbona mimi siweziKupenda ni vzuri, lakini si lazima unaye mpenda na yeye akupende. Hizo ni hisia hazilazimishwi
Mnao fungua nyuzi fungueni tu celebrate mapenzi mubashara
Daah kumbe tupo wengi aiseeh wenye kupenda vitu hivyo, iceman wangu mwenyewe naupenda mwili wake balaah kama umeshaona series ya the last ship yule Tom Chandler (Erick Dan) basi copy paste sema yule mzungu huyu muafrika,Akili yangu ishajiset kuwa mwanaume aliejaa jaa kwa mazoezi anavutia halaf ana nguvu Kama kunibeba hivi, kunilinda, pia nadhani movie zimeniharibu Wale ma sterring huwa wanavutia pia wana miili iliyojaa kwa mazoezi sasa naonaga Wale waadada wanaoigiza nao wanafaidi kweli, hebu angalia movie zote mastar wengi wao wana mvuto ajabu, sasa nami naonaga hata nipate angalau wa kufanana nao .hata nikiwa kitandani nahisi Kama nipo na Dolf au Jason statham
Akili zangu nazijua mwenyewee
Teh teh tehHivi hapa anaetakiwa kuandika siredi ni nani? (Nasisitiza).
Huyo huwa anasema wanawake wa jf hamtaki kumchuna[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Baby we mwenyewe unaruka ruka kama maharage. Mara Miss Natafuta Mara Demiss na now nina roho ivoo