Shida na raha
JF-Expert Member
- Aug 8, 2014
- 3,773
- 3,471
- Thread starter
-
- #81
Hahahahaha, hawangalii mapengo wanachungulia wallet.Tuseme ukweli tu, hivi Shida na raha kwa mapengo kama hayo uliyonayo, mwanamke gani atakukubali?
Safi hapoMkuu endelea kujipendekeza kwa hao hao kaa mbali na JOLIE JOLIE [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji7][emoji137]
Ooh! Kumbe. Maana nilikuwa sikusomi somi nkajua wajanja wa mjini washaniwahiMimi mbona sijamdondokea bado mtu boo boo. Labda nianze na wewe.
[emoji11][emoji11][emoji7]
Hapana. Labda wewe uwawahiOoh! Kumbe. Maana nilikuwa sikusomi somi nkajua wajanja wa mjini washaniwahi
Itakua Mungu kapanga kufa na huo ugonjwa.Acha wivu mkuu. Utakufa na presure.
Baby vipi mbona sikusomi??? Utaniuwa mimi.Hapana. Labda wewe uwawahi
[emoji11][emoji11]
Na nye sasa tunataka siredi its time[emoji7]
Baby[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Braza huo msemo ulikuwa unaulazima sana kwani?
Yes my loveBaby
Missing you baby wanguYes my love
[emoji4]
Mtoa Mada nimekuelewa tuko pamoja ktk hili, habari za kamalondo mkuuAcha nitiririke moja kwa moja.
Ni hivi imetokea umeanzisha ukaribu na dem humu JF ukawa unajikomba komba lakini kwa bahati mbaya unaona kama vile hakuchangamkii.
Kibaya zaidi mara paaa unaona dem kamuanzishia mshikaji uzi wa kumpenda hapo ndo utajua kwamba 'Zanzibar ina Rais ila Tanganyika haina na yote ni Tanzania'.
Kwa hiyo dada zangu nawaomba humu, ukiniona mimi najipendekeza kwako kubali japo kwa kunidanganya ili upate nafasi ya kunichuna.
Naona kuna watu hajanielewa, ni hivi kwa mfano unampenda Demiss halafu unamkuta kaanzisha uzi wa Mr Tunguli moyo wako unajisikiaje?
Na ndio maana unakuta mtu anaandamwa na ma I'd mapya mapya kila siku, kumbe kisa kupendwa. Niwatakie mfungo mwema kwa wale wafungao.
[emoji23][emoji23]Kwa uliyoyaandika ingependeza zaid kama ungekuwemo toka "majuzi".
Ms chura upo?Nimekuelewa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Baby we mwenyewe unaruka ruka kama maharage. Mara Miss Natafuta Mara Demiss na now nina roho ivooBaby vipi mbona sikusomi??? Utaniuwa mimi.
Missing you mpenziMissing you baby wangu
Koh koh koh[emoji26][emoji26]Missing you mpenzi
Bado kidogo namaliza tuu narudi tu enjoy life mama
Nipo Mr Mpenda ChuraMs chura upo?