Hakuna kitu kinauma humu kama kuona mwenzako anachangamkiwa na mwanamke, utatamani ardhi ipasuke

Hakuna kitu kinauma humu kama kuona mwenzako anachangamkiwa na mwanamke, utatamani ardhi ipasuke

Acha nitiririke moja kwa moja.
Ni hivi imetokea umeanzisha ukaribu na dem humu JF ukawa unajikomba komba lakini kwa bahati mbaya unaona kama vile hakuchangamkii.
Kibaya zaidi mara paaa unaona dem kamuanzishia mshikaji uzi wa kumpenda hapo ndo utajua kwamba 'Zanzibar ina Rais ila Tanganyika haina na yote ni Tanzania'.

Kwa hiyo dada zangu nawaomba humu, ukiniona mimi najipendekeza kwako kubali japo kwa kunidanganya ili upate nafasi ya kunichuna.
Naona kuna watu hajanielewa, ni hivi kwa mfano unampenda Demiss halafu unamkuta kaanzisha uzi wa Mr Tunguli moyo wako unajisikiaje?
Na ndio maana unakuta mtu anaandamwa na ma I'd mapya mapya kila siku, kumbe kisa kupendwa. Niwatakie mfungo mwema kwa wale wafungao.
Mtoa Mada nimekuelewa tuko pamoja ktk hili, habari za kamalondo mkuu
 
Back
Top Bottom