Hakuna kitu kinauma humu kama kuona mwenzako anachangamkiwa na mwanamke, utatamani ardhi ipasuke

Hakuna kitu kinauma humu kama kuona mwenzako anachangamkiwa na mwanamke, utatamani ardhi ipasuke

Thank you baby, nakuombea Mungu urudi salama mechoka kukaa home mwenyewe jamani I really missing you lovely.
Kafungueni uzi bhana,huku tuacheni wenye malalamiko [emoji23][emoji23][emoji23][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
Usjali mama ngona tufunge kabsa mizigo hii nikiondoka huku naacha pori jeupe kabsaa.

Then back to you my baby
 
Back
Top Bottom