Hakuna kitu kinaumiza kama unaamka Asubuhi na hujui utaenda wapi

Baki hapohapo ulipo....
 
Kwani huna akili usijue pa kwenda? Nenda popote katafute badala ya kukaa na kulalamika lalamika. Tumia kichwa na mikono yako utakuja nishukuru siku moja mwanangu.
 
Wengine tumepitia hiyo Hali mpk SS imetuzoea
Tupo tu hatuna namna
 
Umesoma Uzi wote mkuu?
Yep. Unasema eti ulikuwa ukiamka asubuhi kwa kuigiza wenzako kwenda kuzurura. Utazururaje kama mnyama? Hata wanyama tunawaonea kusema wanazurura wakati wanatafuta chakula. Umenielewa mwanangu?
 
Ila hao wengi walishajipanga pesa wanrkula sn ht haziwafikii walengwa
Labda Kwa ambayo ndo walijua wanaanza au Hawana muda mrefu
 
Yep. Unasema eti ulikuwa ukiamka asubuhi kwa kuigiza wenzako kwenda kuzurura. Utazururaje kama mnyama? Hata wanyama tunawaonea kusema wanazurura wakati wanatafuta chakula. Umenielewa mwanangu?
Ndio ni kuzurula sbb huna Cha kufanya
 
Ndio ni kuzurula sbb huna Cha kufanya
Acha kuzurura uanze kwenda kutafuta. Nitakupa mfano, kwanini usianze hata kujitolea badala ya kuzurura? Ukifanya hivyo, niamini, utaanza kupata matunda. Kama uko serious, nitumie anwani yako na qualifications nikuunganishe leo leo na sehemu ya kuanzia.
 
Reactions: apk
Kazi ni kipimo cha utu
 
Mkuu Nina zaidi ya 10 yrs kitaa😃🙌
Yaani tushajitolea tukachoka,tukajaribu bness zikagoma , application za kazi tukachoka
SS ni kutulia kuona inakuwaje
 
Acha tu
10 yrs kitaa ni vile tu,tuna wazazi wanajiweza laa sivyo 🙌
Hapo ni unasema let nature decide itself
Ila naamini iko step Moja utachukua na vitu vitakaa sawa
But 10yrs dah utakuwa na misuli ya nondo to survive the situation 🙌🙌🙌🙌🙌ningechanganyikiwa
 
Mkuu Nina zaidi ya 10 yrs kitaa😃🙌
Yaani tushajitolea tukachoka,tukajaribu bness zikagoma , application za kazi tukachoka
SS ni kutulia kuona inakuwaje
Nimekuahidi kukusaidia kutafuta kazi sasa unaanza stories!!! Haya kalagabaho.
 
Hapa Dar wakiona unapendeza tuu wataanza kukupeleleza wajue kazi unayofanya aisee kweli nimeamini heshima kazi

Ila mkuu ulifail wapi wakati kazi za ulinzi zipo kibao tangia enzi na enzi kigezo uwe timamu na mwenye nia ya kazi
 
Daaaah siku Moja nikiwa Sina mishe nikaamua kwenda kujitolea kweny ofisi Moja....nkakatuna na mfanyakazi Amefanya KAZI miaka 10 Cha ajabu ananiomba mim nauli Ile Hali Sina hata mia mfukoni.....
🤣 Duh kwahyo ukakimbia kabisa au uliendelea kupiga kazi
 
Hapa Dar wakiona unapendeza tuu wataanza kukupeleleza wajue kazi unayofanya aisee kweli nimeamini heshima kazi

Ila mkuu ulifail wapi wakati kazi za ulinzi zipo kibao tangia enzi na enzi kigezo uwe timamu na mwenye nia ya kazi

akili hiyo hata sikuwaza aisee maana kama kichwa Kilichanganyikiwa hivi
 
Kwani huna akili usijue pa kwenda? Nenda popote katafute badala ya kukaa na kulalamika lalamika. Tumia kichwa na mikono yako utakuja nishukuru siku moja mwanangu.
Soma Hadi mwisho, kutoka kwangu ilinifanya nipate mishe had Leo nipo kitu kilichonisahidia kwenda mjin nikakutana na mishe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…