Hakuna kitu kinaumiza kama unaamka Asubuhi na hujui utaenda wapi

Hapo ni unasema let nature decide itself
Ila naamini iko step Moja utachukua na vitu vitakaa sawa
But 10yrs dah utakuwa na misuli ya nondo to survive the situation 🙌🙌🙌🙌🙌ningechanganyikiwa
🤣Mungu mwema ila sio rahisi,Nina wazazi japo juzi kati mama ndo hivyo Tena
 
Maisha ni safari inayohitaji kuwa na subra kwa kiingereza wanaita faith, wakati huo huo ukipambana, mimi ni kijana niliyekulia kwenye maisha mazuri udogoni kupitia baba, grown up in Masaki miaka hiyo nikiwa nasoma oysterbay Pr. Sch nafuatwa na privite car shuleni, mama yangu akiwa mwalimu kwenye shule ya Mbuyuni baadae Hananasif, ghafla taa ya baba ikazimika. Tukabaki na mama ambaye ni Ticha, all the way from Masaki to Buguruni, Malapa, I remember those days wadogo zangu wakilia muda wote baada kuhamia kwenye mazingira mapya kbs ambayo hawajazoe!, to make a long story short, God has blessed me again na kazi nzuri inayonipa uhakika wa kula na kulala vizuri mimi na familia yangu wakati wote, kwangu mimi hii ni ushuhuda.🙏🏾.
 
Hongera na mungu ashukuriwe maana siyo kwa uwezo wako, wangine tulitamani Hila tulizaliwa tukakuta Giza limetanda la umasikini
 
Huko Town ilikuwa haihitajiki nauli au ulikuwa unatembea na vipi msosi
 
Usipokuwa na mishe, wewe utaitwa mwizi wa kuku za mtaani kwenu apo 😂

Yaani kuku ikipotea ......... Ni wewe
Nguo zikianuliwa ............... wewee
 
Kwahiyo mzee miezi.mitatu unaamka asubuhi unaenda town kuzurura ili uwende sawa na majirani?

Haya ndio matatizo ya kutoishi maisha yako,kama ulienda kwa ajili ya kutafuta riziki ni sahihi ila kama kwa ajili uonekane nawe unapambana dah pole sana
Bora mara kumi iwe na hy idea ya kutoka nje hata ili tuu uendane na majirani kuliko kukaa tuu ndani bila ishu yoyote, kumbuka akiwa huko nje anaweza kubahatisha chcht kuliko akiwa ndani tuu
 
Hongera na mungu ashukuriwe maana siyo kwa uwezo wako, wangine tulitamani Hila tulizaliwa tukakuta Giza limetanda la umasikini
Amiin, ni kweli kabisa nina rafiki zangu wa krb wameishia kwenye matumizi ya dawa za kulevya, baadhi yao nikiwapoteza kbs. Nilichojifunza kama mwanadamu ninayeishi Mwenyezi Mungu atuongoze tuweze kuwalea watoto wetu kwenye misingi ya dini, haijalishi ni dini ipi au dhehebu lipi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…