Father of All
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 7,672
- 9,039
Nimeshindwa mimi. Hutaki msaada.Soma Hadi mwisho, kutoka kwangu ilinifanya nipate mishe had Leo nipo kitu kilichonisahidia kwenda mjin nikakutana na mishe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimeshindwa mimi. Hutaki msaada.Soma Hadi mwisho, kutoka kwangu ilinifanya nipate mishe had Leo nipo kitu kilichonisahidia kwenda mjin nikakutana na mishe
🤣Mungu mwema ila sio rahisi,Nina wazazi japo juzi kati mama ndo hivyo TenaHapo ni unasema let nature decide itself
Ila naamini iko step Moja utachukua na vitu vitakaa sawa
But 10yrs dah utakuwa na misuli ya nondo to survive the situation 🙌🙌🙌🙌🙌ningechanganyikiwa
Msaada unakaribishwa mkuuNimeshindwa mimi. Hutaki msaada.
Hongera na mungu ashukuriwe maana siyo kwa uwezo wako, wangine tulitamani Hila tulizaliwa tukakuta Giza limetanda la umasikiniMaisha ni safari inayohitaji kuwa na subra kwa kiingereza wanaita faith, wakati huo huo ukipambana, mimi ni kijana niliyekulia kwenye maisha mazuri udogoni kupitia baba, grown up in Masaki miaka hiyo nikiwa nasoma oysterbay Pr. Sch nafuatwa na privite car shuleni, mama yangu akiwa mwalimu kwenye shule ya Mbuyuni baadae Hananasif, ghafla taa ya baba ikazimika. Tukabaki na mama ambaye ni Ticha, all the way from Masaki to Buguruni I remember those days wadogo zangu wakilia muda wote baada kuhamia kwenye mazingira mapya kbs ambayo hawajazoe!, to make a long story short, God has blessed me again na kazi nzuri inayonipa uhakika wa kula na kulala vizuri mimi na familia yangu wakati wote, kwangu mimi hii ni ushuhuda.🙏🏾.
Mungu akutie nguvu chochote utakachofanya kifanikiwe mostly biashara🤣Mungu mwema ila sio rahisi,Nina wazazi japo juzi kati mama ndo hivyo Tena
Ni mkoa hiyo ndugu ilikuwa unajua mikoani town center haiko mbali sana na mitaa yake kama nusu saa kwa mguu umefikaHuko Town ilikuwa haihitajiki nauli au ulikuwa unatembea na vipi msosi
Usipokuwa na mishe, wewe utaitwa mwizi wa kuku za mtaani kwenu apo 😂Yaani unaamka halafu hauna mishe zozote au mishe ulikuwa nazo zinegoma aisee inapain sana.
Nilipitia hii hali basi bwana nilipopanga chumba unaona vyumba vya majirani zako Wanaamka Mapema wanaenda mishe kurudi jioni Mimi nipo tu
Hii hali ilinitesa sana kutokuwa na mishe full no respect mtaani yaani unaona kabisa hapa hii kwakuwa sina mishe
Basi bwana, nikaona nisiwe boya nikaanza nami kuamka mapema naoga na vaa vizuri naondoka kumbuka sina kazi yoyote hapo naenda mjini
Naenda zangu mjini kuzurura kumbuka kama hauna mishe jua linachelewa kuzama hatari
Mimepiga hiyo kitu kama miezi mitatu heshima nilipokuwa nakaa ikarejea kidogo, mabinti walikuwa wengi hapo napoishi wakawa wananiambia eeh sikuizi umepata mishe hongera Mimi najibu si unajua tena, kumbe wangejua nazurura tu mjini huko
Nifupishe, katika kuzurura kwangu nikapata Dili hilo Dili ikanipa Hela kidogo hiyo Hela nikaona fursa huko huko mjini nikatembea nayo
Tutoke maghetoni vijana Dunia Haina huruma na mtu asiyekuwa na shughuli ya kumwingizia kipato
Kama ushapitia hali hii pita hapa toa experience yako ilikuwaje
Mungu awapiganie Wote wanaoamka Asubuh halafu sehemu ya kwenda hawana wapate mishe🙏🏿🙏🏿🙏🏿
Ndo nn
Mwanangu ilianza vizuri Hadi nikaingiwa roho ya huruma ila kufika hapa nimechekaa kwa sauti 🤣🤣🤣🤣🤣Tutoke maghetoni vijana Dunia Haina huruma na mtu asiyekuwa na shughuli ya kumwingizia kipato
Mwaka Mmoja tu mkuu wengine hiyo kupigika ndo yashakua maisha yetu tunashkuru mungu tu Kwa kila hali.Haya maisha Acha tu 😭 😭. Nimewahi kupigika karibu mwaka mzima.
Ila Mungu ni wetu sote
🤣🤣 Ndio hivyo Mzee kweli mtaa hauna huruma kabisa na majobless au nakoseaMwanangu ilianza vizuri Hadi nikaingiwa roho ya huruma ila kufika hapa nimechoka kwa sauti 🤣🤣🤣🤣🤣
Acha hizo mkuuNimekuahidi kukusaidia kutafuta kazi sasa unaanza stories!!! Haya kalagabaho.
Uko SAHIHI mkuu na mishe huwa zinapatikana kwa kutembea na si kukaa home🤣🤣 Ndio hivyo Mzee kweli mtaa hauna huruma kabisa na majobless au nakosea
Amen ndo hivyo mkuu😅Mungu akutie nguvu chochote utakachofanya kifanikiwe mostly biashara
"Tayana phone accessories"
"Tayana cosmetics"n.k
Bora mara kumi iwe na hy idea ya kutoka nje hata ili tuu uendane na majirani kuliko kukaa tuu ndani bila ishu yoyote, kumbuka akiwa huko nje anaweza kubahatisha chcht kuliko akiwa ndani tuuKwahiyo mzee miezi.mitatu unaamka asubuhi unaenda town kuzurura ili uwende sawa na majirani?
Haya ndio matatizo ya kutoishi maisha yako,kama ulienda kwa ajili ya kutafuta riziki ni sahihi ila kama kwa ajili uonekane nawe unapambana dah pole sana
Kweli muhimu Sana ku network na watu na jamii kwa ujumlaNivizuri sana ku network
Amiin, ni kweli kabisa nina rafiki zangu wa krb wameishia kwenye matumizi ya dawa za kulevya, baadhi yao nikiwapoteza kbs. Nilichojifunza kama mwanadamu ninayeishi Mwenyezi Mungu atuongoze tuweze kuwalea watoto wetu kwenye misingi ya dini, haijalishi ni dini ipi au dhehebu lipi.Hongera na mungu ashukuriwe maana siyo kwa uwezo wako, wangine tulitamani Hila tulizaliwa tukakuta Giza limetanda la umasikini