Hakuna kitu tunachogusa, kushika wala kukanyaga – kugusa ni udanganyifu wa akili

Meerkat

Senior Member
Joined
Sep 3, 2017
Posts
195
Reaction score
314
Katika kiwango cha atomu, wazo la "kugusa" (touch) ni udanganyifu.

Atomu nyingi zina nafasi tupu, zikiwa na kiini kizito katikati na wingu la elektroni.

Unapojaribu kugusa kitu, elektroni katika atomu zako na atomu za kitu hicho zinakataa kukaribiana (repel each other)

kwa sababu ya nguvu ya sumakuumeme.(electromagnetic force)

Kwa kuwa zote zina chaji hasi, hazijawahi kugusana moja kwa moja.

Unachokihisi kama kugusa ni msukumo wa kielektroni kati ya atomu zako na atomu za kitu hicho.

Kwa uhalisia, "kugusa" ni mwingiliano wa nguvu zisizoonekana(invisible forces),
si chembechembe kukutana kimwili.

Tunadhani Tunashika, Lakini Kiuhalisia Hatugusi Chochote, hakuna kitu kinachogusana na kingine.

Fikiria hili: hata unapotembea, hukanyagi ardhi kimwili
 
unaweza kumshawishi mshua kuwa hata ile kupatikana kwako kuwa HAZIKUGUSANA!? ALIKUWA KAMA ANAPIGA NYETO YANI!? 😁
 
Dogo jiheshimu,
Tena kuwa na heshima
Usiwe mjinga Uhuru uliotumia wewe kutype ndiyo niliotumia Mimi, tunareply sometimes kufurahisha jukwaa sasa wee kanyaga miwaya
He! vitisho tena? kaka wewe hii mada huiwezi hata ukiwa mkali kiasi gani! we zungumzia mashoga habari za kina Manara sijui Ali kamwe huko tamba Tu!
 
Back
Top Bottom