Hakuna kitu tunachogusa, kushika wala kukanyaga – kugusa ni udanganyifu wa akili

Hakuna kitu tunachogusa, kushika wala kukanyaga – kugusa ni udanganyifu wa akili

halisia ni (electrical signals) zinazotafsiriwa na ubongo kupitia milango ya fahamu kama vile macho, masikio, pua, ulimi na ngozi.

Uhalisia ni halisia pepe (virtual).

Asili ya mazingira yetu katika kiwango cha quantum inaonesha (subatomic particles) zina tabiaya kuwa mawimbi (waves) unapokuwa huyaangalii (perceive),
lakini hubadilika na kuonekana kama chembe halisi unapoyaangalia unavyotafsiri (perceive).

Fikiria hili:

Ndio na hapana.
Jinsi unavyohisi, unavyotafsiri (perceive), na unavyofikiria — hiyo ndiyo huunda uhalisia wako binafsi kwa wakati uliopo.(reality)

Lakini la, kile unachokitamani (wish) kimejengwa katika mawazo yako, si katika hali halisi ya sasa. Kinaweza kuwa halali kihisia, lakini si uhalisia kwa wakati uliopo.
Kwenye ku wish (nashindwa kusema kutamani maana haileti maana ninayoikusudia)
Wish ile ambayo unaweza kuitafsiri Kama Manifesting/Manifestation.

Hii unaizungumzia vipi?

Fikiria hili:
Naam; huwa inanifikirisha sana, kwamba uhalisia Halisi ni upi?

Je? Tunaamka toka ndotoni ama tunaamka kutoka kwenye uhalisia kuingia ndotoni?

Kwamba inafaa iangaliwe kinyume: tunayoona ndio Maisha halisi ni ndoto huku ndoto ikiwa ndio uhalisia wenyewe?

Kuamini/Believe ni nini?

Kwanini ni muhimu kuamini/kujiamini ili jambo fulani liende lilivyokusudiwa?

Mfano: mtu aliyepata ajali na kupoteza mobility yake, kwenye recovery anatakiwa aanze upya kujifunza kutembea, kuongea, kula etc… sasa huyu mtu hasipoweka kuamini/kujiamini mbele kwenye perception yake ni ngumu kurejesha mobility yake in its original state ama itachukua muda mrefu sana na kwa ugumu mkubwa….Kwanini?
 
"Nini tofauti kati ya ndoto na uhalisia huu tunaouishi?"

Naam;
huwa inanifikirisha sana, kwamba uhalisia Halisi ni upi?

Uhalisia tunaouita “halisi” ni tafsiri ya electrical signals zinazotolewa na milango yetu ya fahamu (macho, masikio, ngozi, pua na ulimi) na kutafsiriwa na ubongo.

Hii ina maana tunachokiita “kweli” ni kile tu ambacho fahamu zetu zinaweza kudecode ndani ya range ndogo sana ya electromagnetic spectrum.

Kwaiyo
uhalisia Halisi ni upi?
Uhalisia halisi ni huu tunao experience kwnye maisha ya kila siku physical realty (3D), Lakini hilo halimaanishi kwamba ndoto siyo halisia.

Maisha ni uhalisi na ndoto ni halisia(real),
lakini ndoto sio uhalisia(Reality) kwnye low (low-dimensional physical reality).

Je? Tunaamka toka ndotoni ama tunaamka kutoka kwenye uhalisia kuingia ndotoni?
fikiria hili:
Mtazamaji (observer) wa uhalisia ni nani?
Na unaposema "kuamka," unamaanisha nini?
 
Kwamba inafaa iangaliwe kinyume:
Tunayoona ndio Maisha halisi ni ndoto huku ndoto ikiwa ndio uhalisia wenyewe?
Katika quantum level, vitu havipo kama tunavyoviona hadi pale vinapotazamwa — hali inayoonesha kuwa mtazamaji (conscious observer) huunda uhalisia.

Ndoto ni ubongo wako ukikutengenezea uhalisia fulani katika dimension ya juu (higher dimension), wakati ambapo hutumii mwili wako wa kawaida uliopo kwenye physical reality yani (3D).

Maisha ni uhalisia unaotokana na mazingira ya kimwili ambayo unayapitia kupitia mwili wako na ubongo katika ulimwengu wa (three-dimensional physical reality).
 
Kuamini/Believe ni nini?
ni (head chemist) wa ubongo (mind)— ndiye anayechochea mchakato wa kuunda halisia.

Kwanini ni muhimu kuamini/kujiamini ili jambo fulani liende lilivyokusudiwa?
Kuamini ni msingi wa kila halisia unaotengenezwa na ubongo wako kuwa uhalisia.
Ubongo hauwezi kuunda njia mpya za neva (neural pathways) bila “ruhusa” kutoka kwenye imani ya ndani ya mtu.

Kwa mfano, mtu aliyepata ajali na kupoteza uwezo wa kutembea — kama haamini kuwa anaweza kurudia kutembea, mwili wake haupati mwongozo wa kuanza kujijenga tena,

kwa sababu tayari ubongo wake unafanya kazi ya kutengeneza uhalisia mpya kwamba haiwezekani kutembea tena.
 
So it is safe to say Reality is the outcome of how we feel/perceive/think/wish?

Kwenye ku wish (nashindwa kusema kutamani maana haileti maana ninayoikusudia)
Wish ile ambayo unaweza kuitafsiri Kama Manifesting/Manifestation.

Hii unaizungumzia vipi?

So it is safe to say Reality is the outcome of Manifesting/Manifestation?

Swali lako sasa kwa kiswahili nadhani litakuwa hivi
Kwa hiyo, ni sahihi kusema kwamba uhalisia ni matokeo ya kudhihirisha (manifesting)?

ni kweli,
uhalisia ni matokeo ya kile ambacho ni halisia ndani ya akili yako (Mind).

Kupitia bidii, juhudi, na kujitahidi, kile kilichokuwepo ndani kinadhihirika (manifestation) katika maisha yako halisi jinsi unavyotamani yawe.
 
Shukran kwa elimu.

Kwahiyo binaadam na kila kimzungukacho ni wazo tu lililo kwenye mchakato wa kujitambua (experience itself)?
 
ni (head chemist) wa ubongo (mind)— ndiye anayechochea mchakato wa kuunda halisia.

Kuamini ni msingi wa kila halisia unaotengenezwa na ubongo wako kuwa uhalisia.
Ubongo hauwezi kuunda njia mpya za neva (neural pathways) bila “ruhusa” kutoka kwenye imani ya ndani ya mtu.
Hapo peusi zaidi, please elezea zaidi. Ruhusa kutoka kwa Nani?

Ni ubongo unajiendesha wenyewe randomly ama unaelekezwa namna ya kujiendesha with limited functioning? Na Nani/nini?!

Ama ubongo unauwezo wa kutambua na kujiongoza kwa kufuata kanuni zilizopo tayari au unajiongoza kadiri zinavyoibuka (as it goes along)?

Kwa mfano, mtu aliyepata ajali na kupoteza uwezo wa kutembea — kama haamini kuwa anaweza kurudia kutembea, mwili wake haupati mwongozo wa kuanza kujijenga tena,

kwa sababu tayari ubongo wake unafanya kazi ya kutengeneza uhalisia mpya kwamba haiwezekani kutembea tena.
Ni kwamba ubongo hauwezi kutambua mazingira ya kuhitaji kujisimamia, hasa kwa kulazimika? Survival mode instincts?

Ama ubongo unaenda na vile mtu/mbebaji wake “anajisikia” kwa wakati huo? Hisia (Intuition?)

Kwani si imekua ikiaminika kwamba complexion ya ubongo ni pamoja na uwezo wake wa kutambua mazingira na uhitaji wake na kuuongoza mwili/mtu kwenda kwenye usahihi zaidi?

Command za kuuongoza zinatoka wapi? ( kwa maana ya sehemu/chemical gani?

Imani inatoka wapi? Nini kinamuongoza mtu kuamini/kujiamini?

Imani ndio material ilotumika kumuumba Binadamu ama Imani ndio ufunguo wa kumuongoza Binadamu?

Kwanini ni lazima tuamini kwanza?
 
Katika kiwango cha atomu, wazo la "kugusa" (touch) ni udanganyifu.

Atomu nyingi zina nafasi tupu, zikiwa na kiini kizito katikati na wingu la elektroni.

Unapojaribu kugusa kitu, elektroni katika atomu zako na atomu za kitu hicho zinakataa kukaribiana (repel each other)

kwa sababu ya nguvu ya sumakuumeme.(electromagnetic force)

Kwa kuwa zote zina chaji hasi, hazijawahi kugusana moja kwa moja.

Unachokihisi kama kugusa ni msukumo wa kielektroni kati ya atomu zako na atomu za kitu hicho.

Kwa uhalisia, "kugusa" ni mwingiliano wa nguvu zisizoonekana(invisible forces),
si chembechembe kukutana kimwili.

Tunadhani Tunashika, Lakini Kiuhalisia Hatugusi Chochote, hakuna kitu kinachogusana na kingine.

Fikiria hili: hata unapotembea, hukanyagi ardhi kimwili

KILA MTU ATACHANGANYIKIWA KWA WAKATI WAKE. NI SUALA LA MUDA TU.
 
Back
Top Bottom