Hakuna kitu tunachogusa, kushika wala kukanyaga – kugusa ni udanganyifu wa akili

Hakuna kitu tunachogusa, kushika wala kukanyaga – kugusa ni udanganyifu wa akili

Ndiyo, kwa maana ya kina — we do not exist, Sisi ni viumbe wa kiroho tunaopitia uzoefu wa kibinadamu.

Kila kitu tunachokiona, kugusa, au kuhisi ni tafsiri ya akili yetu juu ya mitikisiko ya nishati (energy vibrations).

Katika kiwango cha atomiki, hakuna kitu kinachogusana na kingine.
Atomi zinaonekana kuwa na umbo imara, lakini kiukweli asilimia 99.999999% ya atomu ni tupu.

Kile tunachokiita 'Matter' au 'vitu' ni (electromagnetic fields) held together by fundamental forces of nature
Hii ndiyo maana physicists say: “matter is an illusion.
Roho ni nini?

Thibitisha ipo.
 
kwa maneno yako ni kama unataka kusema unavooga maji hayagusi mwili. au ukimwaga maji kwenye unga hauloi maana chembechembe hazigusani, si ndio?? sasa kwanini sukari na chumvi vunayeyuka kwenye maji? Ukinijibu hapo na kueleweka nitakua mwanafunzi wako kuanzia leo.
CHEMISTRY: Vinayeyuka kikemikali kwa sababu molekuli zao hushikana - zinaendana (like dissolve like)

PHYSICS: Haviyeyuki kwa 100% kwa sababu ya tabia ya atomu (nguvu ya msukumo wa kieletroniki)

Si rahisi kuelewa kwa hakika kwa sababu utendaji kazi wa vidubwasha vidogo mno mithili ya "gluons" kwenye fizikia ya quantum ni tofauti na tunavyo-perceive kwenye maisha ya kawaida
 
Simply ni nadharia pana kidogo - nadharia hii moja ya idea yake kubwa huichukulia "akili/nafsi" kama software ambayo inaweza kupakuliwa, kuhamishika, kuhifadhiwa kutoka kwenye jumba moja kwenda jingine au kifaa tech kimoja kwenda kingine
Eenhe alafu
 
Mr Logikos
Tunapozungumzia "touch" au mguso, kuna viwango viwili tofauti vya kuelewa:
kimwili (macroscopic) na atomiki (atomic).

Kwamba uchukue magnet north pole na nyingine south pole itatokea repulsion at their surfaces

Kuhusu sumaku:​

Unapotumia sumaku mbili — moja ikiwa na North Pole na nyingine South Pole — na ukazisogeza karibu,
kinachotokea siyo kwamba nyuso zao zinagusana moja kwa moja,
bali kuna mwingiliano wa electromagnetic fields unaosababisha mvutano (attraction) au msukumo (repulsion).

Hata kama utaona zimegandana au kushikana, hiyo ni katika kiwango cha juu (macroscopic level),
yaani jinsi tunavyoona kwa macho.

Lakini katika kiwango cha atomi, hakuna mgusano wa moja kwa moja.

Au wewe udumbukie kwenye concentrated sulfuric acid utahisi tu mgusano sababu ya repulsion ?
Hapana,
kinachotokea si mgusano wa moja kwa moja wa atomu zako na acid, bali ni reaction ya kemikali na mabadiliko ya nishati. (energy transformation)

Molekuli za acid huvunja molekuli za ngozi yako kupitia electron exchange and molecular breakdown, si kwa "touch" ya kawaida, bali ni kupitia electromagnetic interactions.

Hisia ya maumivu ni tafsiri ya ubongo baada ya kusoma Neural signal au Electrical signal

By the way if that is the case kwanini ukifunga break kwa kasi ngozi ya miguu inachubuka sababu ya friction kama hakuna mguso wowote ?
Kuhusu kuchubuka au friction:

Unapofunga breki ghafla na ngozi ikachubuka, tunasema umehisi msuguano.

Lakini kimtazamo wa atomiki, hicho kinachoitwa "friction" ni interaction ya electromagnetic repulsion kutoka sehemu mbili zinazokaribiana sana — lakini bado hazigusani moja kwa moja.

Hii interaction inaishia kuharibu au kubadilisha hali ya mwili wa juu (kama ngozi),
na ndiyo tafsiri ya kuchubuka kwa lugha ya mwili.
Nadhani mkuu unachanganya concepts
Kwa hiyo, hakuna contradiction — bali ni tofauti ya levels of understanding
  • Ukweli wa kihisia (phenomenological truth): tunahisi tumechubuka au tumegusana.
  • Ukweli wa kimsingi (fundamental reality): hakuna kugusana moja kwa moja, bali kuna mgeuko wa nguvu kati ya electromagnetic energy.
 
Roho ni nini?

Thibitisha ipo.

Ninapotumia neno “roho” katika kuchambua hoja za kisayansi,

naliona kama neno la Kiswahili kama yalivyo maneno mengine katika lugha tofauti:
consciousness, the self, ātman, au spiritual being.

Haya ni maneno tu yanayotumiwa katika muktadha wa ulimwengu wa kimwili (physical reality), yakijaribu kuelezea sisi ni nani kwa upande wa kiroho au wa ndani (spirituality).

Hata hivyo, katika hali ya juu ya ufahamu, kile tunachokiita “roho”:
  • Sio kitu cha kudumu,
  • Sio nafsi ya pekee au binafsi,
  • Wala sio msingi halisi wa "mimi."
Badala yake, kile kilichopo ni awareness tupu – hali ya ushuhuda wa kimya inayoona kila kitu:
Mwili, akili, hisia, fikra, hata fikra ya “mimi” yenyewe.

Kwa hiyo, Roho ni Nini?​

“Roho” ni neno la Kiswahili linalojaribu kuelezea dhana ya nafsi ya ndani.
Lakini kwa mtazamo wangu, roho kama kitu halisi, kisichobadilika, haipo.

Kuhusu “Thibitisha Ipo”​

Swali la “Thibitisha ipo” linakuwa batili pale tunapogundua kuwa dhana ya “roho” yenyewe ni dhana tu – sio kitu halisi, bali ni kiwakilishi cha uelewa wa muda.
 
Katika kiwango cha atomu, wazo la "kugusa" (touch) ni udanganyifu.

Atomu nyingi zina nafasi tupu, zikiwa na kiini kizito katikati na wingu la elektroni.

Unapojaribu kugusa kitu, elektroni katika atomu zako na atomu za kitu hicho zinakataa kukaribiana (repel each other)

kwa sababu ya nguvu ya sumakuumeme.(electromagnetic force)

Kwa kuwa zote zina chaji hasi, hazijawahi kugusana moja kwa moja.

Unachokihisi kama kugusa ni msukumo wa kielektroni kati ya atomu zako na atomu za kitu hicho.

Kwa uhalisia, "kugusa" ni mwingiliano wa nguvu zisizoonekana(invisible forces),
si chembechembe kukutana kimwili.

Tunadhani Tunashika, Lakini Kiuhalisia Hatugusi Chochote, hakuna kitu kinachogusana na kingine.

Fikiria hili: hata unapotembea, hukanyagi ardhi kimwili
Nakuunga mkono.

Lakini kwamza naomba uniambie, umewezaje kuandika kwa kifaa ulichotumia hapa bila kukigusa?
 
Kwa hivyo wapiga nyeto hawagusi?
 
kwa maneno yako ni kama unataka kusema unavooga maji hayagusi mwili. au ukimwaga maji kwenye unga hauloi maana chembechembe hazigusani, si ndio?? sasa kwanini sukari na chumvi vunayeyuka kwenye maji? Ukinijibu hapo na kueleweka nitakua mwanafunzi wako kuanzia leo.

Nitajitahidi kulijibu kwa hatua na uwazi, ili tuelewane vizuri.

Ni kweli maji huonekana kugusa mwili, maji huingia kwenye unga, na chumvi au sukari huyeyuka ndani ya maji.

Lakini swali la msingi linalojadiliwa hapa si matokeo ya macho au hisia, bali ni kinachoendelea katika kiwango cha atomu na subatomic – yaani,

je, chembechembe halisi hugusana kweli?

1. Kwanini maji yanaonekana kugusa mwili?​

Kama nilivyosema awali, “kugusa” ni hisia (sensation) inayotokana na nguvu ya kielektroni (electromagnetic repulsion).

Unapoguswa na maji, elektroni katika molekuli za maji zinakutana na elektroni katika ngozi yako – zinakataa kukaribiana,
kwa hiyo unapokea msukumo wa nguvu, si mguso wa moja kwa moja wa chembe kwa chembe.

2. Kwanini unga hulowana na sukari huyeyuka?​

Hii inahusisha mwingiliano wa kemikali na mvuto wa molekuli.

Kwa mfano, molekuli za maji ni dipolar – zina upande wenye chaji hasi na chaji chanya.

Zinavutana na molekuli za sukari au chumvi, na kuvunja muundo wake kupitia mchakato wa solvation/hydration.

Lakini hata hapa, kinachoendelea si atomu kugusana moja kwa moja, bali ni kuingiliana kwa nguvu za elektroni na mvuto wa molekuli (intermolecular forces).

Kwa kifupi​

Kugusana kwa atomu moja kwa moja hakutokei.
Kinachotokea ni mwingiliano wa nguvu, si kugusana kwa maana ya chembe kuingia ndani ya chembe nyingine.

Na hili si wazo langu, bali ni kanuni ya msingi katika Quantum Electrodynamics (QED) – ambapo inajulikana kwamba elektroni hazina nafasi ya kugusa kwa kuwa daima zinapishana kwa nguvu zinazokataa ukaribu.

​

Kwamba uchukue magnet north pole na nyingine south pole itatokea repulsion at their surfaces

Au wewe udumbukie kwenye concentrated sulfuric acid utahisi tu mgusano sababu ya repulsion ?

By the way if that is the case kwanini ukifunga break kwa kasi ngozi ya miguu inachubuka sababu ya friction kama hakuna mguso wowote ?

Nadhani mkuu unachanganya concepts
Kwa mujibu wa mada nilivyoelewa, ukitumbukia kwenye sulfuric acid kitakachotokea ni kazi ya Ubongo lakini kwenye “reams of reality” bado WEWE haudhuriki.

Same na kuchubuka nyayo.
 
Bange bange ‼️ zimesababisha mimi nisote bange bange’!
 
Mr Logikos
Tunapozungumzia "touch" au mguso, kuna viwango viwili tofauti vya kuelewa:
kimwili (macroscopic) na atomiki (atomic).
Rudia kusoma message yangu ya mwanzo kabisa nimekuuliza wewe ni atom au ni mkusanyiko wa billions of atoms ?

Kwahio element mbili hydrogen na oxygen na ile covalent bond ya kutengeza maji ambayo ni compund hapo hakuna bond ? Aliyekwambia kugusana ni mpaka atom zigusane ni nani ? Kwamba sharing of electrons sio mgusano alafu huwezi ukaleta rules at atomic level (quantum reality) kwenye molecular level; thing behave differently

Kuhusu sumaku:​

Unapotumia sumaku mbili — moja ikiwa na North Pole na nyingine South Pole — na ukazisogeza karibu,
kinachotokea siyo kwamba nyuso zao zinagusana moja kwa moja,
bali kuna mwingiliano wa electromagnetic fields unaosababisha mvutano (attraction) au msukumo (repulsion).

Hata kama utaona zimegandana au kushikana, hiyo ni katika kiwango cha juu (macroscopic level),
yaani jinsi tunavyoona kwa macho.

Lakini katika kiwango cha atomi, hakuna mgusano wa moja kwa moja.
Kwahio wewe unafunction na dunia inafunction at an atomic level ?; are the rules the same ? Can you even know where an atom is at any given time
Hapana,
kinachotokea si mgusano wa moja kwa moja wa atomu zako na acid, bali ni reaction ya kemikali na mabadiliko ya nishati. (energy transformation)

Molekuli za acid huvunja molekuli za ngozi yako kupitia electron exchange and molecular breakdown, si kwa "touch" ya kawaida, bali ni kupitia electromagnetic interactions.

Hisia ya maumivu ni tafsiri ya ubongo baada ya kusoma Neural signal au Electrical signal
Again why bring atomic theories kwenye molecular reactions kama nilivyokwambia unachanganya concepts na rules at atomic level they are very very different....
Kuhusu kuchubuka au friction:

Unapofunga breki ghafla na ngozi ikachubuka, tunasema umehisi msuguano.

Lakini kimtazamo wa atomiki, hicho kinachoitwa "friction" ni interaction ya electromagnetic repulsion kutoka sehemu mbili zinazokaribiana sana — lakini bado hazigusani moja kwa moja.

Hii interaction inaishia kuharibu au kubadilisha hali ya mwili wa juu (kama ngozi),
na ndiyo tafsiri ya kuchubuka kwa lugha ya mwili.
Mkuu narudia tena why talk at atomic level wakati wewe sio an atom and you do not behave like an atom; kwahio tyre la gari likiisha unahisi limekwisha na unakwenda kwa fundi lakini sio wear and tear ?; Sababu friction is friction and its real....; ukichubuka unahisi tu na unahisi kwa kusubiri ngozi iote tena wakati ipo pale all along ?
Kwa hiyo, hakuna contradiction — bali ni tofauti ya levels of understanding
  • Ukweli wa kihisia (phenomenological truth): tunahisi tumechubuka au tumegusana.
  • Ukweli wa kimsingi (fundamental reality): hakuna kugusana moja kwa moja, bali kuna mgeuko wa nguvu kati ya electromagnetic energy.
At the atomic level, things behave differently due to the principles of quantum mechanics, which differ significantly from the classical physics that governs macroscopic objects. Instead of predictable paths, quantum particles exist in a state of probability, meaning they have a range of possible states and locations until measured. This leads to phenomena like wave-particle duality, where particles can exhibit both wave-like and particle-like behavior. Additionally, the act of observing a quantum system can influence its behavior, a concept known as the "observer effect".

Huo ndio ukweli sasa wewe unachofanya unachangaya concepts ni kama unaleta mishale kwenye vita vya nuclear
 
Kwa mujibu wa mada nilivyoelewa, ukitumbukia kwenye sulfuric acid kitakachotokea ni kazi ya Ubongo lakini kwenye “reams of reality” bado WEWE haudhuriki.

Same na kuchubuka nyayo.
Huyu anachofanya ni kutumia concepts tofauti katika mambo tofauti kabisa ni kama anatumia kanuni za Grammar (as kwenye lugha) katika Hisabati (badala ya kutumia BODMAS / MAGAZIJUTO) kwahio kinachotokea huu mchanyato unakuwa sumu badala ya dawa....
 
Kwa haraka haraka nimemuelewa kwamba Life is just a dream/ an illusion. And whatever we perceive as reality, is just that; Perception (Illusion/Illustration of the mind?!)
 
Kwa haraka haraka nimemuelewa kwamba Life is just a dream/ an illusion. And whatever we perceive as reality, is just that; Perception (Illusion/Illustration of the mind?!)
Hapana huyu anaongelea concepts ambazo kweli zipo Quantum Mechanics lakini concepts hizi ni katika level ya atoms (basic particles of the chemical elements. An atom consists of a nucleus of protons and generally neutrons, surrounded by an electromagnetically bound swarm of electrons.)

Sasa ukizingatia yeye sio kwamba sio atom per se wala sio element bali ni mkusanyiko wa elements (The human body is approximately 99% comprised of just six elements: Oxygen, hydrogen, nitrogen, carbon, calcium, and phosphorus. Another five elements make up about 0.85% of the remaining mass: sulfur, potassium, sodium, chlorine, and magnesium.)

Huwezi kusema kinachoendelea at basic level ndicho kitakachoendelea at secondary level. Reactions zinatokea..

Kupata hii concept vizuri ni kweli atom consists mainly of empty spaces yaani ukichukua a grain of sand "all atoms in the word 'would' not fill a grain of sand" Yaani atoms za ulimwengu mzima ukizikusanya ukubwa wake ni mdogo kuliko punje ya mchanga....

Hapo ndio utaona kwamba tunaingia kwenye a very interesting and mind boggling concepts...
 
Kwa haraka haraka nimemuelewa kwamba Life is just a dream/ an illusion. And whatever we perceive as reality, is just that; Perception (Illusion/Illustration of the mind?!)
Hii concept huo sikubaliani nayo. Reality ni reality, mfano nikikukata kidole nikakitoa haijalishi uta perceive kidole bado kipo au hakipo ila in reality kidole hakipo
 
Kwa haraka haraka nimemuelewa kwamba Life is just a dream/ an illusion. And whatever we perceive as reality, is just that; Perception (Illusion/Illustration of the mind?!)
Kwahio incase ya mtu kuungua na acid, let say yeye akili zake ndio zinamdanganya na hajaungua vipi daktari anayemtibu na yeye anadanganywa (je wanashare akili / brain); alafu kumbuka hapo kuna reaction imetokea what was there before sasa hivi haipo ni kama una kuni ukiichoma moto kinachobakia ni majivu na vingine mostly carbon dioxide na water vinapotea kwenye ether (other elements vinaondoka kama nishati) lakini kuni (wood) ambayo majority ni cellulose inakuwa sio cellulose tena
C6H10O5(s) + 6O2(g) → 6CO2(g) + 5H2O(l).​
 
Back
Top Bottom