Aliyekwambia kugusana ni mpaka atom zigusane ni nani ?
Sijawahi kusema kwamba lazima atom ziguse moja kwa moja ndiyo pawe na mgusano.
Nimeeleza kwamba kile tunachokiita “mgusano” ni tafsiri ya macroscopic ya interaction za nguvu katika kiwango cha atomiki, hususan electron repulsion — na hii ni msingi wa “touch” katika physics ya kisasa.
Kwamba sharing of electrons sio mgusano
Sharing of electrons ni sehemu ya
chemical bonding, sio
physical touch.
Ni interaction ya interaction of energy and force kati ya atomi mbili zinazoshiriki electrons kuunda molekuli.
Hii ni tofauti na “touch” inayohusisha electron repulsion badala ya kuunganika kwa orbital kama inavyotokea kwenye covalent bonds.
alafu huwezi ukaleta rules at atomic level (quantum reality) kwenye molecular level; thing behave differently
Si kwamba naleta quantum rules moja kwa moja kwenye molecular level, ila ukweli ni kwamba molecular behavior
inatokana na atomic behavior, nayo inategemea quantum rules.
Mfano mzuri: molecular bonding kama covalent au ionic bonding zinategemea electronic structure — ambayo inafafanuliwa na quantum mechanics (k.m. electron orbitals na energy levels).
Kwahio wewe unafunction na dunia inafunction at an atomic level ?; are the rules the same ? Can you even know where an atom is at any given time
Tunachokiona na kukitenda kwa kiwango cha juu (macroscopic) ni matokeo ya interactions za kiwango cha chini zaidi (atomic).
Dunia haifanyi kazi kwa
kanuni zile zile kila level, lakini kila level inajengwa juu ya nyingine.
Sisi hatujui location sahihi ya atomu moja kwa moja (Heisenberg uncertainty principle),
lakini hatuhitaji kujua hivyo ili kuelewa behavior ya mfumo mzima (emergent properties).
Again why bring atomic theories kwenye molecular reactions kama nilivyokwambia unachanganya concepts na rules at atomic level they are very very different....
At the atomic level, things behave differently due to the principles of quantum mechanics, which differ significantly from the classical physics that governs macroscopic objects. Instead of predictable paths, quantum particles exist in a state of probability, meaning they have a range of possible states and locations until measured.
Sileti kwa kuchanganya — na wala siyo makosa kuhusisha.
Molecular reactions zinatokea kwa sababu ya electron exchange au redistribution, jambo linalotegemea
atomic structure.
Na atomic structure linategemea
quantum behavior ya electrons. Hivyo, kueleza mabadiliko ya molekuli bila kutambua msingi wa atomic na quantum ni kuacha maelezo nusu.