aina hii ya uchizi hailetwi kwa kusoma sana....inaletwa Na njaa!Niliwahi kuambiwa kusoma sana muda mwingine husababisha uchizi
Hatimaye nimeelewa
unaweza kumshawishi mshua kuwa hata ile kupatikana kwako kuwa HAZIKUGUSANA!? ALIKUWA KAMA ANAPIGA NYETO YANI!? 😁Katika kiwango cha atomu, wazo la "kugusa" (touch) ni udanganyifu.
Atomu nyingi zina nafasi tupu, zikiwa na kiini kizito katikati na wingu la elektroni.
Unapojaribu kugusa kitu, elektroni katika atomu zako na atomu za kitu hicho zinakataa kukaribiana (repel each other)
kwa sababu ya nguvu ya sumakuumeme.(electromagnetic force)
Kwa kuwa zote zina chaji hasi, hazijawahi kugusana moja kwa moja.
Unachokihisi kama kugusa ni msukumo wa kielektroni kati ya atomu zako na atomu za kitu hicho.
Kwa uhalisia, "kugusa" ni mwingiliano wa nguvu zisizoonekana(invisible forces),
si chembechembe kukutana kimwili.
Tunadhani Tunashika, Lakini Kiuhalisia Hatugusi Chochote, hakuna kitu kinachogusana na kingine.
Fikiria hili: hata unapotembea, hukanyagi ardhi kimwili
Sawaaina hii ya uchizi hailetwi kwa kusoma sana....inaletwa Na njaa!
Sio lazima utype tu mkuu kitu usichoelewa mbona sisi tunawaachia mada zenu za ushoga mara single mother hatuwaingilii?Niliwahi kuambiwa kusoma sana muda mwingine husababisha uchizi
Hatimaye nimeelewa
Bora wewe unarekebisha mkuu! Lkn pia kuna molecule ambazo zina charge km proteins vipi hizo?Si kweli kuelewa wako ni mdogo sana kwenye Hilo jambo,vitu havijaundwa na pure atoms.kwa mfano mwili wangu umeundwa na molecules ama compounds ambazo hazina chaji yoyote
Dogo jiheshimu,Sio lazima utype tu mkuu kitu usichoelewa mbona sisi tunawaachia mada zenu za ushoga mara single mother hatuwaingilii?
He! vitisho tena? kaka wewe hii mada huiwezi hata ukiwa mkali kiasi gani! we zungumzia mashoga habari za kina Manara sijui Ali kamwe huko tamba Tu!Dogo jiheshimu,
Tena kuwa na heshima
Usiwe mjinga Uhuru uliotumia wewe kutype ndiyo niliotumia Mimi, tunareply sometimes kufurahisha jukwaa sasa wee kanyaga miwaya
Umeshasema kwenye kiwango cha atom (yaani at atomic level)Katika kiwango cha atomu, wazo la "kugusa" (touch) ni udanganyifu.
Sasa nikuulize je wewe ni atom au ni mkusanyiko wa billions of atoms ?Fikiria hili: hata unapotembea, hukanyagi ardhi kimwili
1. Katika ngazi ya kimwili; mguso wa unyayo na ardhi ni kitu halisiFikiria hili: hata unapotembea, hukanyagi ardhi kimwili
😂