Roho ni nini?Ndiyo, kwa maana ya kina — we do not exist, Sisi ni viumbe wa kiroho tunaopitia uzoefu wa kibinadamu.
Kila kitu tunachokiona, kugusa, au kuhisi ni tafsiri ya akili yetu juu ya mitikisiko ya nishati (energy vibrations).
Katika kiwango cha atomiki, hakuna kitu kinachogusana na kingine.
Atomi zinaonekana kuwa na umbo imara, lakini kiukweli asilimia 99.999999% ya atomu ni tupu.
Kile tunachokiita 'Matter' au 'vitu' ni (electromagnetic fields) held together by fundamental forces of nature
Hii ndiyo maana physicists say: “matter is an illusion.
Siifahamu mkuu,nijuze tafadhaliUnaifahamu dhana ya "transhumanism"?
CHEMISTRY: Vinayeyuka kikemikali kwa sababu molekuli zao hushikana - zinaendana (like dissolve like)kwa maneno yako ni kama unataka kusema unavooga maji hayagusi mwili. au ukimwaga maji kwenye unga hauloi maana chembechembe hazigusani, si ndio?? sasa kwanini sukari na chumvi vunayeyuka kwenye maji? Ukinijibu hapo na kueleweka nitakua mwanafunzi wako kuanzia leo.
Simply ni nadharia pana kidogo - nadharia hii moja ya idea yake kubwa huichukulia "akili/nafsi" kama software ambayo inaweza kupakuliwa, kuhamishika, kuhifadhiwa kutoka kwenye jumba moja kwenda jingine au kifaa tech kimoja kwenda kingineSiifahamu mkuu,nijuze tafadhali
Eenhe alafuSimply ni nadharia pana kidogo - nadharia hii moja ya idea yake kubwa huichukulia "akili/nafsi" kama software ambayo inaweza kupakuliwa, kuhamishika, kuhifadhiwa kutoka kwenye jumba moja kwenda jingine au kifaa tech kimoja kwenda kingine
Kwamba uchukue magnet north pole na nyingine south pole itatokea repulsion at their surfaces
Hapana,Au wewe udumbukie kwenye concentrated sulfuric acid utahisi tu mgusano sababu ya repulsion ?
Kuhusu kuchubuka au friction:By the way if that is the case kwanini ukifunga break kwa kasi ngozi ya miguu inachubuka sababu ya friction kama hakuna mguso wowote ?
Kwa hiyo, hakuna contradiction — bali ni tofauti ya levels of understandingNadhani mkuu unachanganya concepts
Roho ni nini?
Thibitisha ipo.
Nakuunga mkono.Katika kiwango cha atomu, wazo la "kugusa" (touch) ni udanganyifu.
Atomu nyingi zina nafasi tupu, zikiwa na kiini kizito katikati na wingu la elektroni.
Unapojaribu kugusa kitu, elektroni katika atomu zako na atomu za kitu hicho zinakataa kukaribiana (repel each other)
kwa sababu ya nguvu ya sumakuumeme.(electromagnetic force)
Kwa kuwa zote zina chaji hasi, hazijawahi kugusana moja kwa moja.
Unachokihisi kama kugusa ni msukumo wa kielektroni kati ya atomu zako na atomu za kitu hicho.
Kwa uhalisia, "kugusa" ni mwingiliano wa nguvu zisizoonekana(invisible forces),
si chembechembe kukutana kimwili.
Tunadhani Tunashika, Lakini Kiuhalisia Hatugusi Chochote, hakuna kitu kinachogusana na kingine.
Fikiria hili: hata unapotembea, hukanyagi ardhi kimwili
kwa maneno yako ni kama unataka kusema unavooga maji hayagusi mwili. au ukimwaga maji kwenye unga hauloi maana chembechembe hazigusani, si ndio?? sasa kwanini sukari na chumvi vunayeyuka kwenye maji? Ukinijibu hapo na kueleweka nitakua mwanafunzi wako kuanzia leo.
Kugusana kwa atomu moja kwa moja hakutokei.
Kinachotokea ni mwingiliano wa nguvu, si kugusana kwa maana ya chembe kuingia ndani ya chembe nyingine.
Kwa mujibu wa mada nilivyoelewa, ukitumbukia kwenye sulfuric acid kitakachotokea ni kazi ya Ubongo lakini kwenye “reams of reality” bado WEWE haudhuriki.Kwamba uchukue magnet north pole na nyingine south pole itatokea repulsion at their surfaces
Au wewe udumbukie kwenye concentrated sulfuric acid utahisi tu mgusano sababu ya repulsion ?
By the way if that is the case kwanini ukifunga break kwa kasi ngozi ya miguu inachubuka sababu ya friction kama hakuna mguso wowote ?
Nadhani mkuu unachanganya concepts
Rudia kusoma message yangu ya mwanzo kabisa nimekuuliza wewe ni atom au ni mkusanyiko wa billions of atoms ?Mr Logikos
Tunapozungumzia "touch" au mguso, kuna viwango viwili tofauti vya kuelewa:
kimwili (macroscopic) na atomiki (atomic).
Kwahio wewe unafunction na dunia inafunction at an atomic level ?; are the rules the same ? Can you even know where an atom is at any given timeKuhusu sumaku:
Unapotumia sumaku mbili — moja ikiwa na North Pole na nyingine South Pole — na ukazisogeza karibu,
kinachotokea siyo kwamba nyuso zao zinagusana moja kwa moja,
bali kuna mwingiliano wa electromagnetic fields unaosababisha mvutano (attraction) au msukumo (repulsion).
Hata kama utaona zimegandana au kushikana, hiyo ni katika kiwango cha juu (macroscopic level),
yaani jinsi tunavyoona kwa macho.
Lakini katika kiwango cha atomi, hakuna mgusano wa moja kwa moja.
Again why bring atomic theories kwenye molecular reactions kama nilivyokwambia unachanganya concepts na rules at atomic level they are very very different....Hapana,
kinachotokea si mgusano wa moja kwa moja wa atomu zako na acid, bali ni reaction ya kemikali na mabadiliko ya nishati. (energy transformation)
Molekuli za acid huvunja molekuli za ngozi yako kupitia electron exchange and molecular breakdown, si kwa "touch" ya kawaida, bali ni kupitia electromagnetic interactions.
Hisia ya maumivu ni tafsiri ya ubongo baada ya kusoma Neural signal au Electrical signal
Mkuu narudia tena why talk at atomic level wakati wewe sio an atom and you do not behave like an atom; kwahio tyre la gari likiisha unahisi limekwisha na unakwenda kwa fundi lakini sio wear and tear ?; Sababu friction is friction and its real....; ukichubuka unahisi tu na unahisi kwa kusubiri ngozi iote tena wakati ipo pale all along ?Kuhusu kuchubuka au friction:
Unapofunga breki ghafla na ngozi ikachubuka, tunasema umehisi msuguano.
Lakini kimtazamo wa atomiki, hicho kinachoitwa "friction" ni interaction ya electromagnetic repulsion kutoka sehemu mbili zinazokaribiana sana — lakini bado hazigusani moja kwa moja.
Hii interaction inaishia kuharibu au kubadilisha hali ya mwili wa juu (kama ngozi),
na ndiyo tafsiri ya kuchubuka kwa lugha ya mwili.
At the atomic level, things behave differently due to the principles of quantum mechanics, which differ significantly from the classical physics that governs macroscopic objects. Instead of predictable paths, quantum particles exist in a state of probability, meaning they have a range of possible states and locations until measured. This leads to phenomena like wave-particle duality, where particles can exhibit both wave-like and particle-like behavior. Additionally, the act of observing a quantum system can influence its behavior, a concept known as the "observer effect".Kwa hiyo, hakuna contradiction — bali ni tofauti ya levels of understanding
- Ukweli wa kihisia (phenomenological truth): tunahisi tumechubuka au tumegusana.
- Ukweli wa kimsingi (fundamental reality): hakuna kugusana moja kwa moja, bali kuna mgeuko wa nguvu kati ya electromagnetic energy.
Huyu anachofanya ni kutumia concepts tofauti katika mambo tofauti kabisa ni kama anatumia kanuni za Grammar (as kwenye lugha) katika Hisabati (badala ya kutumia BODMAS / MAGAZIJUTO) kwahio kinachotokea huu mchanyato unakuwa sumu badala ya dawa....Kwa mujibu wa mada nilivyoelewa, ukitumbukia kwenye sulfuric acid kitakachotokea ni kazi ya Ubongo lakini kwenye “reams of reality” bado WEWE haudhuriki.
Same na kuchubuka nyayo.
Kwa haraka haraka nimemuelewa kwamba Life is just a dream/ an illusion. And whatever we perceive as reality, is just that; Perception (Illusion/Illustration of the mind?!)Huyu anachofanya ni kutumia concepts tofauti katika mambo tofauti kabisa ni kama anatumia kanuni za Grammar (as kwenye lugha) katika Hisabati (badala ya kutumia BODMAS / MAGAZIJUTO) kwahio kinachotokea huu mchanyato unakuwa sumu badala ya dawa....
Hapana huyu anaongelea concepts ambazo kweli zipo Quantum Mechanics lakini concepts hizi ni katika level ya atoms (basic particles of the chemical elements. An atom consists of a nucleus of protons and generally neutrons, surrounded by an electromagnetically bound swarm of electrons.)Kwa haraka haraka nimemuelewa kwamba Life is just a dream/ an illusion. And whatever we perceive as reality, is just that; Perception (Illusion/Illustration of the mind?!)
😂Eenhe alafu
Hii concept huo sikubaliani nayo. Reality ni reality, mfano nikikukata kidole nikakitoa haijalishi uta perceive kidole bado kipo au hakipo ila in reality kidole hakipoKwa haraka haraka nimemuelewa kwamba Life is just a dream/ an illusion. And whatever we perceive as reality, is just that; Perception (Illusion/Illustration of the mind?!)
Kwahio incase ya mtu kuungua na acid, let say yeye akili zake ndio zinamdanganya na hajaungua vipi daktari anayemtibu na yeye anadanganywa (je wanashare akili / brain); alafu kumbuka hapo kuna reaction imetokea what was there before sasa hivi haipo ni kama una kuni ukiichoma moto kinachobakia ni majivu na vingine mostly carbon dioxide na water vinapotea kwenye ether (other elements vinaondoka kama nishati) lakini kuni (wood) ambayo majority ni cellulose inakuwa sio cellulose tenaKwa haraka haraka nimemuelewa kwamba Life is just a dream/ an illusion. And whatever we perceive as reality, is just that; Perception (Illusion/Illustration of the mind?!)