‘Hakuna kufanya mapenzi mpaka ndoa!’ Wanawake wengi wanabugi kwa sharti hili

Ni kweli kabisa ,wakati huu kufikia ndoa ni kugumu maana ndoa zimekuwa zikipanga baada miaka miwili au mitatu ebu tuelezane nani anaweza kusubiri ndani ya miaka hiyo mitatu kama si kudanganyana huku
Why iwe miaka yote hiyo?
 
Mwanamke kukoma hadi ndoa ni njia rajisi zaidi yakuolewa kuliko kuruhusu chovya chovya kwa kila anaekuja
 
Je ni wanaume wangapi tutavumilia hadi ndoa?
mie babu huwa siwezi na mwanamke huwa akinianziaga sijui bikra sijui sikupi mashine mpaka ndoa ,huwa namwachaga pale pale ,..
Huwa siwezi kujihadaa nafsi yangu na stakigi niwe mnafki tena wa nafsi yangu
 
Sheria za MUNGU hazibadiliki jana, leo, hata milele.
Inabidi tu tukubali ukweli tu sio dunia ya sasa au ya zamani.
Ni kweli kabisa na hili wala sitokuwa mtovu wa adamu kuanza kulipinga ,ila nachoangalia kuna mahali tumekosea na huwa hizi sheria tunaziangalia upande mmoja na ndomana zinakuja kurudhuru mbeleni
 
mie babu huwa siwezi na mwanamke huwa akinianziaga sijui bikra sijui sikupi mashine mpaka ndoa ,huwa namwachaga pale pale ,..
Huwa siwezi kujihadaa nafsi yangu na stakigi niwe mnafki tena wa nafsi yangu
Hupendi mchezo² kabisa
 
Sio kweli wapo wanapewa na bado wasaliti.mi mmoja wapo nimesalitiwa Jana tu hpa bado na machungu nimetoka kumsemea kwa mama yake amkanye mwanae.mie hatuongei kimenuka.
 
Oyaa ni wewe ndo umejenga nini?
Hahaha hapana aiseee ,yaan mimi binafsi siwezi huwa nakumwaga hapo hapo stakagi maigizo ya kujiigiza mwenyewe ,huwa ni mkweli wa nafsi yangu ,maana nakula nashiba huwa siwezi kuvumilia
 
Why iwe miaka yote hiyo?
babu sasaivi bila M1 hupati mke hiyo mahari ya chini bado gharama za sherehe aisee ni balaaa unaweza kujikuta unanyanya walau hata vyumba viwili
 
Reactions: SDG
Ni kweli kabisa na hili wala sitokuwa mtovu wa adamu kuanza kulipinga ,ila nachoangalia kuna mahali tumekosea na huwa hizi sheria tunaziangalia upande mmoja na ndomana zinakuja kurudhuru mbeleni
Kweli kabisa mzee ila sema ndio tumeshajivuruga.
 
Kweli kabisa mzee ila sema ndio tumeshajivuruga.
Ni kweli maana wanawake wanalitumia hili la kutokukupa papuchi mpaka ndoa si kwa ajili ya dini imesema ,hapana ila kwa maslahi yao ,na utakuta anakunyima ww kuna bwege anajilia mzigo kiulaaani
 
Sio kweli wapo wanapewa na bado wasaliti.mi mmoja wapo nimesalitiwa Jana tu hpa bado na machungu nimetoka kumsemea kwa mama yake amkanye mwanae.mie hatuongei kimenuka.
Sijakataa kwamba haya mambo yapo tatizo huwa tunachanganya mambo ,yaani kwanza tunachobugi katika kuchagua au kuangalia huyu ana nia au hana ila mambo yanapoharibika mazi tunakuja kutia lawama wanaume wote na kuwaekea vikwazo hata wale ambao wanania kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…