Course Coordinator1
JF-Expert Member
- Mar 20, 2025
- 857
- 2,341
Na Chama cha Zitto. .muda wa maridhiano ulishapita.Kwenye hayo maridhiano Kwa upande wa vyama vya siasa tutawakilishwa na chauma ubwabwa. Na upande wa dini watakuja mashehe ubwabwa.
Kilichofanya Samuya aibe kuraSamia anajidanganya sana, na pengine aliaminishwa kufanya aliyofanya ikiwemo kampeni za kiini macho, utekaji na mauaji, kuwa baadae watakaa meza moja na watanzania kuridhiana ili wasahau yote yalitokea, na yeye aendelee kuongoza kwa utulivu kabisa kama ulivyopokea kijiti baada ya msiba wa JPM…
Amevuka mstari mwekundu kwenye Tanganyika ya Nyerere, uchu wa madaraka unamtokea puani, hataijua amani ndani yake mpaka anaingia kaburini.
Yule mom huwa ana mihemko sanaNaona Hotuba Imesomwa Nukta kwa nukta hakuna Kupayuka na Vichambo!!
Kilicho tokea octoba Kime ibadilisha sana Tanzania
Yeah hao ndo akaridhiane nao.Kwenye hayo maridhiano Kwa upande wa vyama vya siasa tutawakilishwa na chauma ubwabwa. Na upande wa dini watakuja mashehe ubwabwa.
SAMIA NI MUUAJIHeri ya Mwaka Mpya Wakuu
Huyu Bibi anatuona sisi wajinga na wapumbavu .
Siku anaongea na wazee walevi wa Dar Es Salaam alitunanga kuwa nguvu iliyotumika ilistahili, maana aliridhia na alitoa order ya kuua ndugu zetu mbaya zaidi akaenda kuwazika huko misitu ya kondo na ziwa Victoria.
Mbaya zaidi akawa anatuzodoa kuwa sisi wazazi tunalia lia kuwa watoto wetu wamekufa , ooh wamevunjwa miguu tulia wapi kuwazuia kuandamana , mimi nakaa Ruvuma mtoto yupo Arusha ameendamana kudai Haki yake kikatiba ,naanzaje kumzuia.
Mifano michache yule mama aliyekua anakimbia pale Arusha akapigwa risasi ya mgongoni ana lipi la kusema, yule mtoto pale Dar na wale watoto kule Kisesa je ana lipi la kutuambia ?
Kuridhiana na wauwaji na watekaji unawapa uhalali wa kutua tena ili siku nyingine waje tena tuliridhiana.
Kuridhiana na wauwaji na watekaji unawapa uhalali wa kuteka , kutesa na kufira na kulawiti.
Wauwaji wote wapelekwe kwenye vyombo vya kisheria vinavyoaminika wakapate haki zao.
Mapolisi, UVCCM, Maafisa Usalama wa Taifa walioshiriki zoezi la mauaji Oktoba 29 wapelekwe mahakamani wakanyongwe huko.
Wakuu wa vyombo vya Ulinzi na Usalama waondoke mamlakani.Huyu bibi naye ikipendekeza Mungu atuondoleee.
Kwa nini hakuna kuridhiana na wauwaji na watekaji Tanzania
Kama ambavyo alisema hawezi kusalimiana na wahalifu akatoa order ya kuua nasi pia hatuna mkono wa kusalimiana na wauwaji.
Kukuridhiana na watekaji au wauaji kunaipa tena Serikali ya CCM kiburi cha kufanya uhalifu wakitarajia mazungumzo kutoka kwa wananchi na kuhalalisha makubaliano.
Waathirika na familia zao wanastahili kupata HAKI sio Serikali kutaka nafasi ya kujadiliana. Tupeni ndugu zetu tuwazike. Kuridhiana kungeonekana kama kupuuzia maumivu ya waathirika.
Kama ulivyoiba kura na kujitangaza mshindi iba pia maridhiano na kutangaza maridhiano.
Bila aibu anasema Watanzania ndo wataamua Tume ya Maridhiano iweje.
Mara nyingi mmekua mnabeza maoni ya wananchi halafu mnataka muamue ninyi CCM mmesema ndo muundo watanzania wametaka.
Mchagueni nini na masheikh wenu aki a Kundecha na Mwaipopo.
Hakuna kuridhiana na watekaji
Mauaji hayakufanyika kisiasa
Mauaji yalifanyika kulinda usalama wa kiti chako na uroho wako wa madaraka. Hivyo kila kitu kifanyike kisheria.
SAMUYA Tukutane the ICC.
Samia anatakiwa afungwe anyongwe na mwili wake utupwe majini kama wa Osama Bin LadenSAMIA NI MUUAJI
SAMIA NI MHAINI
SAMIA SIYO RAIS
Neno maridhiano limekuwa maarufu sana kipindi hikiHeri ya Mwaka Mpya Wakuu

Siku tukiwa na Idara ya Usalama wa Taifa (neutral) ndo hawa viongozi watakua hawaongei utumbo na kufanya maamuzi ya hovyo kama haya.Huyu Maza anatuonaje Sisi?
Hiyo ni hadaa kama ile hadaa ya maridhiano uchwara alipoingia madarakani baada ya Magufuli kufariki. Kama kweli alikuwa na nia hiyo, kilio kilikuwa ni kikubwa cha kutaka uchaguzi usogezwe mbele yafanyike mabadiliko ya kweli ya uchaguzi. Lakini yote hayo aligoma akijua atafanya maridhiano mengine ya hadaa za bei rahisi. Watu wanaojitambua wasukubali hiyo hadaa ya kitoto. Aridhiane na hao wanaoona yuko serious.unasema hutaki maridhiano huku hatua za maridhiano zimekwisha anza tayari
Kabisa KabisaTulishasema hayo maridhiano wajumbe wawe kina Mdude , PolePole ,Bensaanane ,Chaula ,Dayoniz,Soka maana walikuwa ni watu wanaotaka mabadiliko ,hivyo tungependa wawepo kwenye hiyo kamati.