Hakuna kuridhiana na wauaji, watekaji, na walawiti. Ulijitia kiburi leo unataka maridhiano ya nini?

Hiyo ni hadaa kama ile hadaa ya maridhiano uchwara alipoingia madarakani baada ya Magufuli kufariki. Kama kweli alikuwa na nia hiyo, kilio kilikuwa ni kikubwa cha kutaka uchaguzi usogezwe mbele yafanyike mabadiliko ya kweli ya uchaguzi. Lakini yote hayo aligoma akijua atafanya maridhiano mengine ya hadaa za bei rahisi. Watu wanaojitambua wasukubali hiyo hadaa ya kitoto. Aridhiane na hao wanaoona yuko serious.
Akafanye Maridhiano na Zambarau na CHAUMMA...Sisi wananchi hatutaki
Unajua CCM wanaonaga kama wanatutawala bongo zetu na ni wamiliki wa kila kitu chetu.
 
Siku tukiwa na Idara ya Usalama wa Taifa (neutral) ndo hawa viongozi watakua hawaongei utumbo na kufanya maamuzi ya hovyo kama haya.
Kwa sasa Usalama wa Taifa ni CCM na CCM ndo Usalama wa Taifa.
Tunatakiwa tuwe na strong institution na ambayo ni competent
Exactly. Na sioni hayo yakifanikiwa bila machafuko makubwa na hawa wahuni wakatolewa madarakani ili wasipate nafasi ya kupanga hiyo idara kwa hila, na kwa lengo la kuficha uchafu uliowahi kufanyika.
 
unasema hutaki maridhiano huku hatua za maridhiano zimekwisha anza tayari
Unamwamini zero brain?
Hujasikia anasema watanzania wataamua wajumbe wa Tume wawe akina nani?
Ndo yale yale ya kuunda Tume fake na wajumbe fake.
 
Heri ya Mwaka Mpya Wakuu

Huyu Bibi anatuona sisi wajinga na wapumbavu .

Siku anaongea na wazee walevi wa Dar Es Salaam alitunanga kuwa nguvu iliyotumika ilistahili, maana aliridhia na alitoa order ya kuua ndugu zetu mbaya zaidi akaenda kuwazika huko misitu ya kondo na ziwa Victoria.

Mbaya zaidi akawa anatuzodoa kuwa sisi wazazi tunalia lia kuwa watoto wetu wamekufa , ooh wamevunjwa miguu tulia wapi kuwazuia kuandamana , mimi nakaa Ruvuma mtoto yupo Arusha ameendamana kudai Haki yake kikatiba ,naanzaje kumzuia.

Mifano michache yule mama aliyekua anakimbia pale Arusha akapigwa risasi ya mgongoni ana lipi la kusema, yule mtoto pale Dar na wale watoto kule Kisesa je ana lipi la kutuambia ?

Kuridhiana na wauwaji na watekaji unawapa uhalali wa kutua tena ili siku nyingine waje tena tuliridhiana.

Kuridhiana na wauwaji na watekaji unawapa uhalali wa kuteka , kutesa na kufira na kulawiti.

Wauwaji wote wapelekwe kwenye vyombo vya kisheria vinavyoaminika wakapate haki zao.

Mapolisi, UVCCM, Maafisa Usalama wa Taifa walioshiriki zoezi la mauaji Oktoba 29 wapelekwe mahakamani wakanyongwe huko.

Wakuu wa vyombo vya Ulinzi na Usalama waondoke mamlakani. Huyu bibi naye ikipendekeza Mungu atuondoleee.

Kwa nini hakuna kuridhiana na wauwaji na watekaji Tanzania

Kama ambavyo alisema hawezi kusalimiana na wahalifu akatoa order ya kuua nasi pia hatuna mkono wa kusalimiana na wauwaji.

Kukuridhiana na watekaji au wauaji kunaipa tena Serikali ya CCM kiburi cha kufanya uhalifu wakitarajia mazungumzo kutoka kwa wananchi na kuhalalisha makubaliano.

Waathirika na familia zao wanastahili kupata HAKI sio Serikali kutaka nafasi ya kujadiliana. Tupeni ndugu zetu tuwazike. Kuridhiana kungeonekana kama kupuuzia maumivu ya waathirika.

Kama ulivyoiba kura na kujitangaza mshindi iba pia maridhiano na kutangaza maridhiano.

Bila aibu anasema Watanzania ndo wataamua Tume ya Maridhiano iweje.
Mara nyingi mmekua mnabeza maoni ya wananchi halafu mnataka muamue ninyi CCM mmesema ndo muundo watanzania wametaka.

Mchagueni nini na masheikh wenu aki a Kundecha na Mwaipopo.

Hakuna kuridhiana na watekaji
Mauaji hayakufanyika kisiasa
Mauaji yalifanyika kulinda usalama wa kiti chako na uroho wako wa madaraka. Hivyo kila kitu kifanyike kisheria.
SAMUYA Tukutane the ICC.
Ataridhiana na mzee mmoja hivi MPUMBAVU anaitwa Pascal Mayalla
 
Asante.
Ubarikiwe sana, uwe na mwaka mpya mwema.
Happy New Year
P
CCM wote wangekomaa hivi kiakili kama ndani yake hauna kinyongo kama Taifa tungekua mbali.
Maana siku hizi hata kuchana picha ya Samia, au kutoboa tu macho ya Samia kwenye gazeti, unatekwa hapo umehatarisha usalama wa Taifa
 
CCM waovu wapo, na CCM wema tupo.
CCM mafisadi wapo, CCM wa Nyerere pia tupo.
CCM makatili madhalimu wapo, na CCM wema wapenda haki tupo Kumbe watu wa Nyerere bado wapo na wana misimamo kama Nyerere. Hongera MFA, Dr. Mahiga kwa msimamo, tusikubali kuyumbishwa
P
 
Heri ya Mwaka Mpya Wakuu

Huyu Bibi anatuona sisi wajinga na wapumbavu .

Siku anaongea na wazee walevi wa Dar Es Salaam alitunanga kuwa nguvu iliyotumika ilistahili, maana aliridhia na alitoa order ya kuua ndugu zetu mbaya zaidi akaenda kuwazika huko misitu ya kondo na ziwa Victoria.

Mbaya zaidi akawa anatuzodoa kuwa sisi wazazi tunalia lia kuwa watoto wetu wamekufa , ooh wamevunjwa miguu tulia wapi kuwazuia kuandamana , mimi nakaa Ruvuma mtoto yupo Arusha ameendamana kudai Haki yake kikatiba ,naanzaje kumzuia.

Mifano michache yule mama aliyekua anakimbia pale Arusha akapigwa risasi ya mgongoni ana lipi la kusema, yule mtoto pale Dar na wale watoto kule Kisesa je ana lipi la kutuambia ?

Kuridhiana na wauwaji na watekaji unawapa uhalali wa kutua tena ili siku nyingine waje tena tuliridhiana.

Kuridhiana na wauwaji na watekaji unawapa uhalali wa kuteka , kutesa na kufira na kulawiti.

Wauwaji wote wapelekwe kwenye vyombo vya kisheria vinavyoaminika wakapate haki zao.

Mapolisi, UVCCM, Maafisa Usalama wa Taifa walioshiriki zoezi la mauaji Oktoba 29 wapelekwe mahakamani wakanyongwe huko.

Wakuu wa vyombo vya Ulinzi na Usalama waondoke mamlakani. Huyu bibi naye ikipendekeza Mungu atuondoleee.

Kwa nini hakuna kuridhiana na wauwaji na watekaji Tanzania

Kama ambavyo alisema hawezi kusalimiana na wahalifu akatoa order ya kuua nasi pia hatuna mkono wa kusalimiana na wauwaji.

Kukuridhiana na watekaji au wauaji kunaipa tena Serikali ya CCM kiburi cha kufanya uhalifu wakitarajia mazungumzo kutoka kwa wananchi na kuhalalisha makubaliano.

Waathirika na familia zao wanastahili kupata HAKI sio Serikali kutaka nafasi ya kujadiliana. Tupeni ndugu zetu tuwazike. Kuridhiana kungeonekana kama kupuuzia maumivu ya waathirika.

Kama ulivyoiba kura na kujitangaza mshindi iba pia maridhiano na kutangaza maridhiano.

Bila aibu anasema Watanzania ndo wataamua Tume ya Maridhiano iweje.
Mara nyingi mmekua mnabeza maoni ya wananchi halafu mnataka muamue ninyi CCM mmesema ndo muundo watanzania wametaka.

Mchagueni nini na masheikh wenu aki a Kundecha na Mwaipopo.

Hakuna kuridhiana na watekaji
Mauaji hayakufanyika kisiasa
Mauaji yalifanyika kulinda usalama wa kiti chako na uroho wako wa madaraka. Hivyo kila kitu kifanyike kisheria.
SAMUYA Tukutane the ICC.
Hatutakubali kitu kinachoitwa maridhiano kitokee,nimeliona lipumbafu moja linaloitwa Zitto Kabwe ,hili jamaa linafiki kwelikweli linataka litumifursa hii lipige pesa,GenZ zitto Kabwe tumkatae kwa nguvu zote hafai na ni mamluki
 
Zitto anachojua ni yeye mkono uingie kinywani hata bila kujali wenzake wanaumia au raaa.
Zitto sio mpambanaji wa kweli, mkiwa jangwani atarudi nchi kavu mapema.
 
Back
Top Bottom