Blance93
Member
- Feb 24, 2022
- 47
- 49
Na mwamposa na yule nabii Musa pia watakuwepo upande wa viongozi wa dini.Kwenye hayo maridhiano Kwa upande wa vyama vya siasa tutawakilishwa na chauma ubwabwa. Na upande wa dini watakuja mashehe ubwabwa.

Matiko naye ana hizo tabia?Aachane na akina Esta Bulaya na Matiko na akina Kizigha ,
Teuzi enthusiast.Asante.
Ubarikiwe sana, uwe na mwaka mpya mwema.
Happy New Year
P
Kabendera akisoma hii comment anatamani kukurukia nakukurarua.CCM waovu wapo, na CCM wema tupo.
CCM mafisadi wapo, CCM wa Nyerere pia tupo.
CCM makatili madhalimu wapo, na CCM wema wapenda haki tupo Kumbe watu wa Nyerere bado wapo na wana misimamo kama Nyerere. Hongera MFA, Dr. Mahiga kwa msimamo, tusikubali kuyumbishwa
P
Pascal, wa CCM ya Nyerere yupo mmoja tu, Mzee Warioba. Hakuna mwingine, wengine wote ni wa CCM mpya, CCM ya machawa, waoga na wanafiki. CCM ya Nyerere ilikuwa ya kukubali kukosolewa, kukemea uovu bila hofu, siyo hii ya sasa ya kusifia kila jambo, hasa uovu wa watawala.CCM waovu wapo, na CCM wema tupo.
CCM mafisadi wapo, CCM wa Nyerere pia tupo.
CCM makatili madhalimu wapo, na CCM wema wapenda haki tupo Kumbe watu wa Nyerere bado wapo na wana misimamo kama Nyerere. Hongera MFA, Dr. Mahiga kwa msimamo, tusikubali kuyumbishwa
P
Baharini papa, kumbe na wengine wapo, CCM wa Nyerere unamjua Warioba tuu, kumbe na wengine tupo ila hatujulikani kama Jaji Warioba.Pascal, wa CCM ya Nyerere yupo mmoja tu, Mzee Warioba. Hakuna mwingine, wengine wote ni wa CCM mpya, CCM ya machawa, waoga na wanafiki. CCM ya Nyerere ilikuwa ya kukubali kukosolewa, kukemea uovu bila hofu, siyo hii ya sasa ya kusifia kila jambo, hasa uovu wa watawala.
Wewe ni muhuni mzee wa hovyo kabisa chawa aliyekataliwa.Asante tena na Ubarikiwe pia kwa kunidhania na mimi ni mhuni
P
Thanks,Wewe ni muhuni mzee wa hovyo kabisa chawa aliyekataliwa.
Baraka gani unanitakia mtetezi wa wauaji? Mtu wa hovyo kabisa.Thanks,
Ubarikiwe sana
P
Ule ubunge una malipo yake nduguMatiko naye ana hizo tabia?
Imefika wakati hata waliohukumiwa kufa kwa kuua mtu mmoja kama wanaonewa yaani mtu kaua watu maelfu anapumua tena anaongea vichambo inasikitisha🥴🥴Samia anatakiwa afungwe anyongwe na mwili wake utupwe majini kama wa Osama Bin Laden