Course Coordinator1
JF-Expert Member
- Mar 20, 2025
- 857
- 2,341
- Thread starter
-
- #21
Akafanye Maridhiano na Zambarau na CHAUMMA...Sisi wananchi hatutakiHiyo ni hadaa kama ile hadaa ya maridhiano uchwara alipoingia madarakani baada ya Magufuli kufariki. Kama kweli alikuwa na nia hiyo, kilio kilikuwa ni kikubwa cha kutaka uchaguzi usogezwe mbele yafanyike mabadiliko ya kweli ya uchaguzi. Lakini yote hayo aligoma akijua atafanya maridhiano mengine ya hadaa za bei rahisi. Watu wanaojitambua wasukubali hiyo hadaa ya kitoto. Aridhiane na hao wanaoona yuko serious.
Mimi yule manyonyo nikapata mganga ambaye siye kanjanja namroga apate stroke na upofu kwa wakati mmoja.Shikamoo shetani Samia,umetuvurugia amani ya Tanganyika
Exactly. Na sioni hayo yakifanikiwa bila machafuko makubwa na hawa wahuni wakatolewa madarakani ili wasipate nafasi ya kupanga hiyo idara kwa hila, na kwa lengo la kuficha uchafu uliowahi kufanyika.Siku tukiwa na Idara ya Usalama wa Taifa (neutral) ndo hawa viongozi watakua hawaongei utumbo na kufanya maamuzi ya hovyo kama haya.
Kwa sasa Usalama wa Taifa ni CCM na CCM ndo Usalama wa Taifa.
Tunatakiwa tuwe na strong institution na ambayo ni competent
Unamwamini zero brain?unasema hutaki maridhiano huku hatua za maridhiano zimekwisha anza tayari
Aachane na akina Esta Bulaya na Matiko na akina Kizigha ,aanze kwanza kuridhiana na mumewe, ampe nyapu aache kusagana,
Ataridhiana na mzee mmoja hivi MPUMBAVU anaitwa Pascal MayallaHeri ya Mwaka Mpya Wakuu
Huyu Bibi anatuona sisi wajinga na wapumbavu .
Siku anaongea na wazee walevi wa Dar Es Salaam alitunanga kuwa nguvu iliyotumika ilistahili, maana aliridhia na alitoa order ya kuua ndugu zetu mbaya zaidi akaenda kuwazika huko misitu ya kondo na ziwa Victoria.
Mbaya zaidi akawa anatuzodoa kuwa sisi wazazi tunalia lia kuwa watoto wetu wamekufa , ooh wamevunjwa miguu tulia wapi kuwazuia kuandamana , mimi nakaa Ruvuma mtoto yupo Arusha ameendamana kudai Haki yake kikatiba ,naanzaje kumzuia.
Mifano michache yule mama aliyekua anakimbia pale Arusha akapigwa risasi ya mgongoni ana lipi la kusema, yule mtoto pale Dar na wale watoto kule Kisesa je ana lipi la kutuambia ?
Kuridhiana na wauwaji na watekaji unawapa uhalali wa kutua tena ili siku nyingine waje tena tuliridhiana.
Kuridhiana na wauwaji na watekaji unawapa uhalali wa kuteka , kutesa na kufira na kulawiti.
Wauwaji wote wapelekwe kwenye vyombo vya kisheria vinavyoaminika wakapate haki zao.
Mapolisi, UVCCM, Maafisa Usalama wa Taifa walioshiriki zoezi la mauaji Oktoba 29 wapelekwe mahakamani wakanyongwe huko.
Wakuu wa vyombo vya Ulinzi na Usalama waondoke mamlakani. Huyu bibi naye ikipendekeza Mungu atuondoleee.
Kwa nini hakuna kuridhiana na wauwaji na watekaji Tanzania
Kama ambavyo alisema hawezi kusalimiana na wahalifu akatoa order ya kuua nasi pia hatuna mkono wa kusalimiana na wauwaji.
Kukuridhiana na watekaji au wauaji kunaipa tena Serikali ya CCM kiburi cha kufanya uhalifu wakitarajia mazungumzo kutoka kwa wananchi na kuhalalisha makubaliano.
Waathirika na familia zao wanastahili kupata HAKI sio Serikali kutaka nafasi ya kujadiliana. Tupeni ndugu zetu tuwazike. Kuridhiana kungeonekana kama kupuuzia maumivu ya waathirika.
Kama ulivyoiba kura na kujitangaza mshindi iba pia maridhiano na kutangaza maridhiano.
Bila aibu anasema Watanzania ndo wataamua Tume ya Maridhiano iweje.
Mara nyingi mmekua mnabeza maoni ya wananchi halafu mnataka muamue ninyi CCM mmesema ndo muundo watanzania wametaka.
Mchagueni nini na masheikh wenu aki a Kundecha na Mwaipopo.
Hakuna kuridhiana na watekaji
Mauaji hayakufanyika kisiasa
Mauaji yalifanyika kulinda usalama wa kiti chako na uroho wako wa madaraka. Hivyo kila kitu kifanyike kisheria.
SAMUYA Tukutane the ICC.
Shetani mwenyewe hataki kuridhiana maana shetani tunayemjua hawezi kufanya unyama wote , shetani original anahis huyu fake Samuya amemzidi madarakaAkaridhiane na shetan mwenzake
Asante.Ataridhiana na mzee mmoja hivi MPUMBAVU anaitwa Pascal Mayalla
Wewe mzee ni mpumbavu sana, bure kabisa. Ulikuwa na heshima kubwa hapa JF kumbe nyie ndio wahuni wenyewe.Asante.
Ubarikiwe sana, uwe na mwaka mpya mwema.
Happy New Year
P
Ike hotuna mbele kulikuwa na kitu anasoma maana alikuwa apepesi macho pemeniNaona Hotuba Imesomwa Nukta kwa nukta hakuna Kupayuka na Vichambo!!
Kilicho tokea octoba Kime ibadilisha sana Tanzania
CCM wote wangekomaa hivi kiakili kama ndani yake hauna kinyongo kama Taifa tungekua mbali.Asante.
Ubarikiwe sana, uwe na mwaka mpya mwema.
Happy New Year
P
Asante tena na Ubarikiwe pia kwa kunidhania na mimi ni mhuniWewe mzee ni mpumbavu sana, bure kabisa. Ulikuwa na heshima kubwa hapa JF kumbe nyie ndio wahuni wenyewe.
CCM waovu wapo, na CCM wema tupo.CCM wote wangekomaa hivi kiakili kama ndani yake hauna kinyongo kama Taifa tungekua mbali.
Maana siku hizi hata kuchana picha ya Samia, au kutoboa tu macho ya Samia kwenye gazeti, unatekwa hapo umehatarisha usalama wa Taifa
Hatutakubali kitu kinachoitwa maridhiano kitokee,nimeliona lipumbafu moja linaloitwa Zitto Kabwe ,hili jamaa linafiki kwelikweli linataka litumifursa hii lipige pesa,GenZ zitto Kabwe tumkatae kwa nguvu zote hafai na ni mamlukiHeri ya Mwaka Mpya Wakuu
Huyu Bibi anatuona sisi wajinga na wapumbavu .
Siku anaongea na wazee walevi wa Dar Es Salaam alitunanga kuwa nguvu iliyotumika ilistahili, maana aliridhia na alitoa order ya kuua ndugu zetu mbaya zaidi akaenda kuwazika huko misitu ya kondo na ziwa Victoria.
Mbaya zaidi akawa anatuzodoa kuwa sisi wazazi tunalia lia kuwa watoto wetu wamekufa , ooh wamevunjwa miguu tulia wapi kuwazuia kuandamana , mimi nakaa Ruvuma mtoto yupo Arusha ameendamana kudai Haki yake kikatiba ,naanzaje kumzuia.
Mifano michache yule mama aliyekua anakimbia pale Arusha akapigwa risasi ya mgongoni ana lipi la kusema, yule mtoto pale Dar na wale watoto kule Kisesa je ana lipi la kutuambia ?
Kuridhiana na wauwaji na watekaji unawapa uhalali wa kutua tena ili siku nyingine waje tena tuliridhiana.
Kuridhiana na wauwaji na watekaji unawapa uhalali wa kuteka , kutesa na kufira na kulawiti.
Wauwaji wote wapelekwe kwenye vyombo vya kisheria vinavyoaminika wakapate haki zao.
Mapolisi, UVCCM, Maafisa Usalama wa Taifa walioshiriki zoezi la mauaji Oktoba 29 wapelekwe mahakamani wakanyongwe huko.
Wakuu wa vyombo vya Ulinzi na Usalama waondoke mamlakani. Huyu bibi naye ikipendekeza Mungu atuondoleee.
Kwa nini hakuna kuridhiana na wauwaji na watekaji Tanzania
Kama ambavyo alisema hawezi kusalimiana na wahalifu akatoa order ya kuua nasi pia hatuna mkono wa kusalimiana na wauwaji.
Kukuridhiana na watekaji au wauaji kunaipa tena Serikali ya CCM kiburi cha kufanya uhalifu wakitarajia mazungumzo kutoka kwa wananchi na kuhalalisha makubaliano.
Waathirika na familia zao wanastahili kupata HAKI sio Serikali kutaka nafasi ya kujadiliana. Tupeni ndugu zetu tuwazike. Kuridhiana kungeonekana kama kupuuzia maumivu ya waathirika.
Kama ulivyoiba kura na kujitangaza mshindi iba pia maridhiano na kutangaza maridhiano.
Bila aibu anasema Watanzania ndo wataamua Tume ya Maridhiano iweje.
Mara nyingi mmekua mnabeza maoni ya wananchi halafu mnataka muamue ninyi CCM mmesema ndo muundo watanzania wametaka.
Mchagueni nini na masheikh wenu aki a Kundecha na Mwaipopo.
Hakuna kuridhiana na watekaji
Mauaji hayakufanyika kisiasa
Mauaji yalifanyika kulinda usalama wa kiti chako na uroho wako wa madaraka. Hivyo kila kitu kifanyike kisheria.
SAMUYA Tukutane the ICC.
Zitto anachojua ni yeye mkono uingie kinywani hata bila kujali wenzake wanaumia au raaa.Hatutakubali kitu kinachoitwa maridhiano kitokee,nimeliona lipumbafu moja linaloitwa Zitto Kabwe ,hili jamaa linafiki kwelikweli linataka litumifursa hii lipige pesa,GenZ zitto Kabwe tumkatae kwa nguvu zote hafai na ni mamluki
Alikua amewekea kitu kinaitwa Prompt cardIke hotuna mbele kulikuwa na kitu anasoma maana alikuwa apepesi macho pemeni
Na Wachungaji njaa na Askofu Malasusa wa KKKTKwenye hayo maridhiano Kwa upande wa vyama vya siasa tutawakilishwa na chauma ubwabwa. Na upande wa dini watakuja mashehe ubwabwa.