Hakuna kuridhiana na wauaji, watekaji, na walawiti. Ulijitia kiburi leo unataka maridhiano ya nini?

Pascal, wa CCM ya Nyerere yupo mmoja tu, Mzee Warioba. Hakuna mwingine, wengine wote ni wa CCM mpya, CCM ya machawa, waoga na wanafiki. CCM ya Nyerere ilikuwa ya kukubali kukosolewa, kukemea uovu bila hofu, siyo hii ya sasa ya kusifia kila jambo, hasa uovu wa watawala.
 
Baharini papa, kumbe na wengine wapo, CCM wa Nyerere unamjua Warioba tuu, kumbe na wengine tupo ila hatujulikani kama Jaji Warioba.
P
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…