Hakuna maisha magumu Zama hizi; kilichopo ni watu kutaka usawa

Hakuna maisha magumu Zama hizi; kilichopo ni watu kutaka usawa

https://jamii.app/JFUserGuide shida[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
 
Watu wamejua haki zao za msingi, na vijana wengi wasasa wamejitambua kwakudai haki. Bahatimbaya wakubwa hawataki kukubali kwamba zama zimebadilika na kizazi cha leo kimejitambua kwa msaada wa utandawazi.
Haki gani mkuu? [emoji23][emoji23]
 
Taikon wa fasihi nimeikubali kazi yako, fasihi unaijua vizuri sana, maana kupitia andiko lako watu tunajifunza, tunaonywa nk, ambayo ni kazi ya fasihi.
 
Acha tumezee na maziwa,,,, huenda tutapona
 
Keeping up with the Jones...

izi yasiyo ya lazima yanawaongeza watu ugumu wa maisha ..
 
Back
Top Bottom