Hakuna maisha magumu Zama hizi; kilichopo ni watu kutaka usawa

Kuna mwaka nilienda Mkuranga tu Apo,

Tulikua tunatafta chumba Cha kupanga,
Kuna nyumba tulikuta chumba Ni elfu 3 kwa mwezi,

Na aliyekua anaishi hapo,
Alipewa notsi ya kuhama kwa kushindwa kulipa Kodi ya miezi 3 mfululizo, yaani shilling elfu 9 tu.

Aya maisha KILA MTU anaishi kwa LEVEL YAKE
Braza ulifika mkurnga kufanya nn we mzee wa totozi?? 😂😂
 
Kiukweli karne hii watu kama Maasai wa ngorongoro huenda wao wanaona maisha marahisi sana kuliko sisi tunavoona wanapata taabu..

Mtu ukiwa hauko exposed na vitu vingi Maisha huwa easy sana,,,kuridhika pia huja... na kujikuta unaishi Maisha ya Level zako
 
Ni kweli Mkuu
 
Back
Top Bottom