Ramsy Dalai Lama
Senior Member
- Apr 5, 2021
- 156
- 554
ASANTEEKaribu Sana Mkuu
Haki gani mkuu? [emoji23][emoji23]Watu wamejua haki zao za msingi, na vijana wengi wasasa wamejitambua kwakudai haki. Bahatimbaya wakubwa hawataki kukubali kwamba zama zimebadilika na kizazi cha leo kimejitambua kwa msaada wa utandawazi.
Mkuu kuna kitu nilitaka niandike ila MFUMO hauniruhusu[emoji23]
Taikon wa fasihi nimeikubali kazi yako, fasihi unaijua vizuri sana, maana kupitia andiko lako watu tunajifunza, tunaonywa nk, ambayo ni kazi ya fasihi.
Mtoa mada afungulie kesi ya ugaidi, kwa kuikashifu haki sawa kwa watu wote..
Bitter truth
Mambo yao waachiwe wenyewe,.Tatizo binadamu wa siku hizi ni wabishi sana...
Hakika... Yasikuumize kichwa...Mambo yao waachiwe wenyewe,.
Acha tumezee na maziwa,,,, huenda tutapona