FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
- Thread starter
-
- #21
Yaani wao ni kupokea tu, za kwake yeye anataka abadilishe smartphone kila toleo jipya analo...Saa 12 asubuhi upo ofisini wkt server ime log post yako 9:22 AM? Kila mwanamke yupo tofauti. Lkn kitu kimoja kinachowafanya wafanane ni kwamba hawapendi ku share income yao na waume zao. Ni wabahili sana hata kwa watoto waliyowazaa hawataki kutumia sentano if they can get away with it. Hii hoja yangu ya mwisho siwezi kusisitiza vya kutosha maana it’s a fact of life kwa wanandoa wengi sana. Wanawake wanapenda wapewe na wachukue tu. Ni one-way street . Ukimwacha mke utaona quality of life yake itaporomoka ghafla. Na ukimwachia watoto ukasepa zako hapo ndiyo utakuwa umemmaliza kabisa hadi kifo.
Shida tupu. Ngumu sana. Wanawake wamekuwa rabid beggars kupitia meseji na watakuelemea na shida zao zote za hela kuanzia hela ya bando, lunch, kusuka, kodi, biashara na ina progress from thereon kutegemea unavyo respond. Ni parasites wabaya mno watakuganda na hadi akili yako iikae vizuri utakuwa ushapoteza mamilioni. Kwa wanawake ni always a winning transaction ilhali kwako ni hasara tuYaani wao ni kupokea tu, za kwake yeye anataka abadilishe smartphone kila toleo jipya analo...
Sababu ya sisi kutotumia hayo mapato yetu kwenye ustawi wa familia ni kwa sababu kwanza tunaamini sisi tunachuma for the best interest of our children as opposed to men ambao wanachuma for the best interest of whatever means the most to them (inaweza kuwa mamaake, mchepuko n.k) so tunatunza pesa ili siku ikitokea interest yako imeshift, wanetu waendelee kuishi poa.
.
Pili hatuchangii kwa sababu tunaona it is unfair that mimi licha ya kwenda kazini lazima nihakikishe kila kitu kimeenda sawa nyumbani (hii mental load haizungumziwagi) na kuhakikisha mume na watoto wako comfortable hata ikimaanisha kuamka saa 9 usiku. So pesa yangu natumia mwenyewe nijuavyo kwa sababu nina mchango mwingine natoa hata kama sipo nyumbani physically.
Naona unawajaza tuHahah na wasioingia kwenye ndoa wasipewe ajira kisa majukumu ya wanaume?kwani kwenye kuomba kazi Kuna kigezo Cha ndoa?wengi wanaingia ndoani wana kazi zao tayari[emoji120]so man up,tafuta hela wewe[emoji848]na wanaume walioajiajiri kama deeppond nao wapate wateja wengi kuliko wanawake waliojiajiri kwakua Wana mzigo wa kutunza familia?[emoji1787][emoji1787][emoji1787]hoja yako imekaa kulialia, wanaume hamlii[emoji1787][emoji1787][emoji1787]nyinyi ndo ninyi,miamba,vichwa vya familia,waamuzi,watafutaji pesa,[emoji1787][emoji1787][emoji1787]so man up[emoji2506][emoji2506][emoji1733]
Ukimwacha mke utaona quality of life yake itaporomoka ghafla. Na ukimwachia watoto ukasepa zako hapo ndiyo utakuwa umemmaliza kabisa hadi kifo.
Inabidi wanaume tushtuke tuachane huu unyonyaji.Shida tupu. Ngumu sana. Wanawake wamekuwa rabid beggars kupitia meseji na watakuelemea na shida zao zote za hela kuanzia hela ya bando, lunch, kusuka, kodi, biashara na ina progress from thereon kutegemea unavyo respond. Ni parasites wabaya mno watakuganda na hadi akili yako iikae vizuri utakuwa ushapoteza mamilioni. Kwa wanawake ni always a winning transaction ilhali kwako ni hasara tu
Hiyo dhana au concept hawanaga mkuu. Siyo wanawake wote, lakini ni wachache sana wana fikra hizo.Inabidi wanaume tushtuke tuachane huu unyonyaji.
Si wametaka 50/50 ...tuweke mzani sawa sasa, weka buku niweke buku, tuache ujambazi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mke wako na mabinti zako? Au watarajiwa unamaanisha, maana i doubt kwa haya maelezo uliyoyatoa.
Anyway, hapawezi kuwa na usawa wa aina yoyote ile katika utoaji wa ajira kwa makundi mawili yasiyo na mizigo sawa katika kuhudumia familia na katika jamii kiujumla, haiwezekani, ni kuzidi kumoa mwanume ugumu wa maisha ambao haupo.
Wewe unaeleza sheria zilivyo, wakati mimi nimekuambia jinsi zinavyotakiwa ziwe. Kwani nani kabisha kwamba sheria zipo hivyo?Ajira na mishahara inatolewa Kwa mtu binafsi na kulingana na Makubaliano. Mambo ya Ndoa na matumizi ya wanandoa hayajadiliwi na waajiri. Hayo ni mambo binafsi ya Watu. Ingawaje sheria zipo wazi kuwa MKE amhudumie Mume, na Mume amhudumie MKE. Hiyo ni sheria.
Kiutamaduni Mwanamke anatakiwa kuhudumiwa na mumewe, lakini ni aibu Kwa mwanaume kuhudumiwa na Mkewe. Hiyo ni kiutamaduni. Lakini kisheria haipo hivyo.
Wewe unaeleza sheria zilivyo, wakati mimi nimekuambia jinsi zinavyotakiwa ziwe. Kwani nani kabisha kwamba sheria zipo hivyo?
Nadhani hizo zitakuwa ni micro-deviations za baadhi ya jamii, lakini generally, as a principle of nature , masculinity in ana inherent trait ya kuwa provider, hayo mengine ni ukengemfu. Hiyo ni sawa na kusema wapo wanaume wanaolewa, ni sawa ila huo ni ukengemfu kwa baadhi ya jamii chache sana, ila si Tz hii.Kaskazini Wanawake wanahudumia familia kama wanaume. Hivyo ishu uliyoieleza ni ishu inayotegemeana na jamii MTU aliyepotoka.ukioa Mwanamke tegemezi hata sheria iweje bayana hautabadili chochote.
Mbona kuna wanaume licha ya kulipwa mishahara lakini hawataki kuhudumia familia? Wengine wanatelekeza kabisa. Ilhali Sheria za dini, Mila na sheria za nchi zinawatakq kuhudumia MKE na Watoto
Nadhani hizo zitakuwa ni micro-deviations za baadhi ya jamii, lakini generally, as a principle of nature , masculinity in ana inherent trait ya kuwa provider, hayo mengine ni ukengemfu. Hiyo ni sawa na kusema wapo wanaume wanaolewa, ni sawa ila huo ni ukengemfu kwa baadhi ya jamii chache sana, ila si Tz hii.
Natural order of things imeweka barrier ya majukumu, shida ipo hapo, baba ndio mlezi na mlinzi wa familia, na hii ni God given natural instinct ya viumbe karibu wote wenye masculine identification, hatuwezi kulazimisha majukumu ya kiume yawe sawa na kwa mwanamke.., tufuate utaratibu wa asili ambao wote tunaujua ndani yetu. Mama alee watoto, baba atafute, familia imara na bora ni za namna hiyo.50/50
Isiishie kwenye mishahara sasa. Bali mpaka majukumu yawe Sawa. Nafikiri unamaanisha hivyo.
Aahhaaaaa
Natural order of things imeweka barrier ya majukumu, shida ipo hapo, baba ndio mlezi na mlinzi wa familia, na hii ni God given natural instinct ya viumbe karibu wote wenye masculine identification, hatuwezi kulazimisha majukumu ya kiume yawe sawa na kwa mwanamke.., tufuate utaratibu wa asili ambao wote tunaujua ndani yetu. Mama alee watoto, baba atafute, familia imara na bora ni za namna hiyo.