Hakuna mantiki kutoa ajira kwa usawa baina ya wanawake na wanaume ilihali mzigo wa kutunza familia unabaki kwa mwanaume

Hakuna mantiki kutoa ajira kwa usawa baina ya wanawake na wanaume ilihali mzigo wa kutunza familia unabaki kwa mwanaume

Saa 12 asubuhi upo ofisini wkt server ime log post yako 9:22 AM? Kila mwanamke yupo tofauti. Lkn kitu kimoja kinachowafanya wafanane ni kwamba hawapendi ku share income yao na waume zao. Ni wabahili sana hata kwa watoto waliyowazaa hawataki kutumia sentano if they can get away with it. Hii hoja yangu ya mwisho siwezi kusisitiza vya kutosha maana it’s a fact of life kwa wanandoa wengi sana. Wanawake wanapenda wapewe na wachukue tu. Ni one-way street . Ukimwacha mke utaona quality of life yake itaporomoka ghafla. Na ukimwachia watoto ukasepa zako hapo ndiyo utakuwa umemmaliza kabisa hadi kifo.
Yaani wao ni kupokea tu, za kwake yeye anataka abadilishe smartphone kila toleo jipya analo...
 
Yaani wao ni kupokea tu, za kwake yeye anataka abadilishe smartphone kila toleo jipya analo...
Shida tupu. Ngumu sana. Wanawake wamekuwa rabid beggars kupitia meseji na watakuelemea na shida zao zote za hela kuanzia hela ya bando, lunch, kusuka, kodi, biashara na ina progress from thereon kutegemea unavyo respond. Ni parasites wabaya mno watakuganda na hadi akili yako iikae vizuri utakuwa ushapoteza mamilioni. Kwa wanawake ni always a winning transaction ilhali kwako ni hasara tu
 
Sababu ya sisi kutotumia hayo mapato yetu kwenye ustawi wa familia ni kwa sababu kwanza tunaamini sisi tunachuma for the best interest of our children as opposed to men ambao wanachuma for the best interest of whatever means the most to them (inaweza kuwa mamaake, mchepuko n.k) so tunatunza pesa ili siku ikitokea interest yako imeshift, wanetu waendelee kuishi poa.

.

Mbona hizo saving hatuzioni

Zinaishia kwenye kucha, nywele, na ma shughuli.

Kwa hiyo nyinyi mkihudumia mama zenu ni sawa ila sisi tukihudumia mama zetu ni nongwa.

Wanawake ni wabinafsi sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pili hatuchangii kwa sababu tunaona it is unfair that mimi licha ya kwenda kazini lazima nihakikishe kila kitu kimeenda sawa nyumbani (hii mental load haizungumziwagi) na kuhakikisha mume na watoto wako comfortable hata ikimaanisha kuamka saa 9 usiku. So pesa yangu natumia mwenyewe nijuavyo kwa sababu nina mchango mwingine natoa hata kama sipo nyumbani physically.

Umepuyanga,

Inabidi hii 50/50 ianze na kwenye kutoa hela.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahah na wasioingia kwenye ndoa wasipewe ajira kisa majukumu ya wanaume?kwani kwenye kuomba kazi Kuna kigezo Cha ndoa?wengi wanaingia ndoani wana kazi zao tayari[emoji120]so man up,tafuta hela wewe[emoji848]na wanaume walioajiajiri kama deeppond nao wapate wateja wengi kuliko wanawake waliojiajiri kwakua Wana mzigo wa kutunza familia?[emoji1787][emoji1787][emoji1787]hoja yako imekaa kulialia, wanaume hamlii[emoji1787][emoji1787][emoji1787]nyinyi ndo ninyi,miamba,vichwa vya familia,waamuzi,watafutaji pesa,[emoji1787][emoji1787][emoji1787]so man up[emoji2506][emoji2506][emoji1733]
Naona unawajaza tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukimwacha mke utaona quality of life yake itaporomoka ghafla. Na ukimwachia watoto ukasepa zako hapo ndiyo utakuwa umemmaliza kabisa hadi kifo.

Halafu wanajimwambafy eti wanatafutia watoto.

Na ukimwacha quality of life la mwanaume linaongezeka.

Itoshe kusema mwanaume ndio industry inayotoa ajira nyingi kuliko serikali katika sekta zake zote.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Shida tupu. Ngumu sana. Wanawake wamekuwa rabid beggars kupitia meseji na watakuelemea na shida zao zote za hela kuanzia hela ya bando, lunch, kusuka, kodi, biashara na ina progress from thereon kutegemea unavyo respond. Ni parasites wabaya mno watakuganda na hadi akili yako iikae vizuri utakuwa ushapoteza mamilioni. Kwa wanawake ni always a winning transaction ilhali kwako ni hasara tu
Inabidi wanaume tushtuke tuachane huu unyonyaji.

Si wametaka 50/50 ...tuweke mzani sawa sasa, weka buku niweke buku, tuache ujambazi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mke wako na mabinti zako? Au watarajiwa unamaanisha, maana i doubt kwa haya maelezo uliyoyatoa.

Anyway, hapawezi kuwa na usawa wa aina yoyote ile katika utoaji wa ajira kwa makundi mawili yasiyo na mizigo sawa katika kuhudumia familia na katika jamii kiujumla, haiwezekani, ni kuzidi kumoa mwanume ugumu wa maisha ambao haupo.

Ajira na mishahara inatolewa Kwa mtu binafsi na kulingana na Makubaliano. Mambo ya Ndoa na matumizi ya wanandoa hayajadiliwi na waajiri. Hayo ni mambo binafsi ya Watu. Ingawaje sheria zipo wazi kuwa MKE amhudumie Mume, na Mume amhudumie MKE. Hiyo ni sheria.

Kiutamaduni Mwanamke anatakiwa kuhudumiwa na mumewe, lakini ni aibu Kwa mwanaume kuhudumiwa na Mkewe. Hiyo ni kiutamaduni. Lakini kisheria haipo hivyo.
 
Wewe unaeleza sheria zilivyo, wakati mimi nimekuambia jinsi zinavyotakiwa ziwe. Kwani nani kabisha kwamba sheria zipo hivyo?
 
Wewe unaeleza sheria zilivyo, wakati mimi nimekuambia jinsi zinavyotakiwa ziwe. Kwani nani kabisha kwamba sheria zipo hivyo?

Kaskazini Wanawake wanahudumia familia kama wanaume. Hivyo ishu uliyoieleza ni ishu inayotegemeana na jamii MTU aliyepotoka.ukioa Mwanamke tegemezi hata sheria iweje bayana hautabadili chochote.

Mbona kuna wanaume licha ya kulipwa mishahara lakini hawataki kuhudumia familia? Wengine wanatelekeza kabisa. Ilhali Sheria za dini, Mila na sheria za nchi zinawatakq kuhudumia MKE na Watoto
 
Nadhani hizo zitakuwa ni micro-deviations za baadhi ya jamii, lakini generally, as a principle of nature , masculinity in ana inherent trait ya kuwa provider, hayo mengine ni ukengemfu. Hiyo ni sawa na kusema wapo wanaume wanaolewa, ni sawa ila huo ni ukengemfu kwa baadhi ya jamii chache sana, ila si Tz hii.
 
50/50
Isiishie kwenye mishahara sasa. Bali mpaka majukumu yawe Sawa. Nafikiri unamaanisha hivyo.
 
Jamaa ana hoja ambayo inatakiwa isapotiwe na kila mwanaume mwenye uanaume lakini nashangaa Feminist wakiume wanakaza vichwa Dunia ilipofikia tatizo la ukosefu wa ajira na mitaji ni kubwa sana na mwanaume ndie provider kwenye familia you can imagine wanaume wanavyopata shida.

Kuna group la ajira za uwalimu tamisemi jana niliona post kapoti mwanamke anasema
“Na nisipopata ajira hii pia bora tu niamue kuolewa”

Unaona mwanamke kuingia kwenye ndoa ni suala la kuamua tu haangalii uchumi hata awe hana ajira hana mia ila kuna mwanaume ataamua hivyo inamuhitaji kwanza awe na kipato kwahio unaona wanaume hawa wanapambana wapate ajira japo waoe lakini katika mpambano wanapambana na wanawake wa aina hii ambao bila hata ajira wanauwezo wa kuingia kwenye ndoa tu YOU SEE kila mtu anataka pesa maisha magumu ila motive ya mwanaume kusaka na kupata ajira, mtaji nk ipo juu sana once yeye ni provider in nature.

Hii impact yake huwezi iona moja kwa moja ila nenda kwenye taasisi za ndoa ujue nowdays ndoa zinavyovunjia kisa ukata wa uchumi kwa mwanaume(provider), vijana hawaoi kabisa maana ni ufal**

Unawawekaje 50/50 kwenye ajira mwanaume na mwanamke aisee

Ninyi wanaume munaopinga wacheni kushiboka upande wa wanawake Wanawake hua aikuzoye wanasimama upande wao kwenye agenda kama hizi wanajari prosperity yao ila wanaume baadhi wamekuwa wajinga Sana kuahobokea feminism mwanaume simama na masculinity wanaume tunakula msoto Duniani kwaajiri ya kuyarinda haya maia ila mwanaume mjinga unasimama kupetipet agenda za kike

Technical hakuna mwanamke jobless mwanamke hata akiwa jobless anakuwa na maisha anahongwa, apewi kioaumbele kuhudia home ila mwanaume ukiwa jobless full of hell
 
50/50
Isiishie kwenye mishahara sasa. Bali mpaka majukumu yawe Sawa. Nafikiri unamaanisha hivyo.
Natural order of things imeweka barrier ya majukumu, shida ipo hapo, baba ndio mlezi na mlinzi wa familia, na hii ni God given natural instinct ya viumbe karibu wote wenye masculine identification, hatuwezi kulazimisha majukumu ya kiume yawe sawa na kwa mwanamke.., tufuate utaratibu wa asili ambao wote tunaujua ndani yetu. Mama alee watoto, baba atafute, familia imara na bora ni za namna hiyo.
 
mleta uzi ana hoja za msingi asipuuzwe maana kwa umri nilionao hadi sasa sijaona mwana beijing ambaye anahudumia familia kindakindaki kwa sababu ana kipato cha kueleweka, kimsingi wanawaza nywele mafuta ,lotion vipodozi etc. Hakuna hata mmoja ambaye anabeba majukumu ya msingi ya familia ni mauzauza tu, ndio maana hata maandiko yanasisitiza kwamba Baba ndio Kichwa cha familia sasa hawa wa haki sawa wanaharibu sana mambo.
 
Tatizo binadamu wa siku hizi ni wabishi sana...
 
Natural order of things imeweka barrier ya majukumu, shida ipo hapo, baba ndio mlezi na mlinzi wa familia, na hii ni God given natural instinct ya viumbe karibu wote wenye masculine identification, hatuwezi kulazimisha majukumu ya kiume yawe sawa na kwa mwanamke.., tufuate utaratibu wa asili ambao wote tunaujua ndani yetu. Mama alee watoto, baba atafute, familia imara na bora ni za namna hiyo.

Dunia Kwa sasa iko corrupted.
mungu wa dunia yeye mfumo wake haupo kama wa Mungu muweza wa yote.
Hivyo kila MTU apambane na hali yake
 
Back
Top Bottom