Hahah na wasioingia kwenye ndoa wasipewe ajira kisa majukumu ya wanaume?kwani kwenye kuomba kazi Kuna kigezo Cha ndoa?wengi wanaingia ndoani wana kazi zao tayari[emoji120]so man up,tafuta hela wewe[emoji848]na wanaume walioajiajiri kama deeppond nao wapate wateja wengi kuliko wanawake waliojiajiri kwakua Wana mzigo wa kutunza familia?[emoji1787][emoji1787][emoji1787]hoja yako imekaa kulialia, wanaume hamlii[emoji1787][emoji1787][emoji1787]nyinyi ndo ninyi,miamba,vichwa vya familia,waamuzi,watafutaji pesa,[emoji1787][emoji1787][emoji1787]so man up[emoji2506][emoji2506][emoji1733]