Hakuna marefu yasiyo na mwisho, ila nitawakumbuka daima

Mkuu haupo peke yako kwenye hii situation. Binafsi nipo tayari kufa hata sasa kwa yale yanayoendelea kwenye maisha yangu.

Kama ni watu ndio wameyasababisha haya yote kwangu, ipo siku roho yangu itawalilia
 
Huyu jamaa hajafa tu? tangu aage ni muda sasa umepita.
 
Kijana,kumbe ulikufa na kufufuka ?
when that was happening, it was a bad moment katika MAISHA Yangu.
Ina hushisha mambo mengi, hakukuwa na WA kumwamini wakati huyo.

Thanks to some people Huku na baadhi nje, I sorted that shit out, especially Madame S, ni Mtu Alie nisaidia kwa kiasi Kikubwa.
 
Pole sana, pole sana...ahsante sana kwa Madame s kufanikisha hilo.

Inakupaswa umpatie shukrani kwa namna nyingine zaidi.
 
Pole sana, pole sana...ahsante sana kwa Madame s kufanikisha hilo.

Inakupaswa umpatie shukrani kwa namna nyingine zaidi.
Isha fikia you got anything' iliyo katika uwezo wako.
But huna furaha nacho, wanao faidika ni wengine(ila u just go along with it).

Una sema u don't feel alright, but no one gives a shit about it.
Zaidi ya kuambiwa lipia hizi bills tuli tumia
 
Isha fikiwa you got anything' iliyo katika uwezo wako.
But huna furahia nacho, wanao faidika ni wengine(ila u just go along with it).

Una sema una u don't feel alright, but no one gives a shit about it.
Zaidi ya kuambiwa lipia hizi bills tuli tumia
sitabishana nawewe tena mkuu.msalimie rafiki Yako mwachiluwi mwambie nimemmisi sana
 
unayo bhanaa.sema unamsongo wamawazo acha nisibishane sana nikasababisha mengine jamii ikanilaumu
hahaha, Sina Sina na sija wahi kuwa nayo, beside I managed to pass through that shit.

Na Mwaka Jana ndo mda Nili safiri humu tz, kuliko mda wote nilio wahi ishi.
Karibu sweet food tupate soup ya samaki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…