Hakuna marefu yasiyo na mwisho, ila nitawakumbuka daima

Kaka P hapo kwenye neno"Lijitu lijinga umeteleza kidogo""sio uungwana kutumia aina hiyo ya neno katika kutoa ushauri na usijipe excuse!!
Kuna kutaka kujiua kwa aina mbili.
1. Kujiua kwa psychological depression hivyo watu hao wanahitaji compassion upendo na kuhurumiwa.
2. Wale wanaotishia kujiua, hawa ni wajinga na huu ni ujinga!
Hawa hawahitaji kuhurumiwa wala compassion, uwagombeza na kuwaambia ukweli kuhusu ujinga wao, akili zinawarudia wanaacha ujinga!.
P
 
KKama
Kama umemkumbuka hadi GENTAMYCINE karismatic fella game chenja basi hauko serious.
 
Mkuu jikung'ute vumbi kamata viatu vyako vaa endelea na safari ya maisha. Hapo hamna kukata tamaa, kuna watu wanatamani wapate uhuru japo lisaa limoja na hawapati hiyo fursa. Haujachelewa mkuu, jua wapo watu wanakuthamini ila haujawajua, achana na huo uamuzi kaza moyo endelea na jaramba. Sali sana.
 
Mshikaji wangu jana tumeongea mengi sana ila na amini utanyanyuka na utakuwa hai utokufa na tutaendelea tulipo
Ishia kamwe usiruhusu huzuni ikutawale kichwani kiasi kwamba ujione una maana tena kumbuka maneno yangu

Usilie mbele ya adui kamwe see you letter
 
Jamani watu wa counselling hebu njooni huku tusije tukampoteza huyu kijana.
Mshana Jr, Pascal Mayalla Bujibuji Simba Nyamaume fanyeni hima kuokoa uhai wa huyu kijana kisha elemewa na roho ya mauti
Halafu wanasaikolojia wa maswala ya UHAI NA KIFO wana dhana yao moja kwamba, 'Binadamu awaye yoyote yule huwa anaanza kutambua dalili za kifo chake siku arobaini kabla ya kifo halisi kutokea'.

Mtoa mada anaweza akawa ni mmoja wapo. Tusifanye mzaha. Roho ya mauti inamuandama huyu mkuu. Kifanyike kitu kunusuru uhai wake.
 
nimeona comment za watu wengi humu inaonekana wengine hamna neno jema la kumpatia huyu jamaa. Sijui ndio kawaida yetu watanzania everything ni masihara tu.

Anyway nilishawahi kufika hatua ya kuanza kufikiria labda niki vuta bangi, sigara kunywa pombe na kutembea na mwanaume ambaye nitalala naye tu basi matatizo yangu yatakwisha.

lakini rohoni kitu kiliniambia nina wazazi kuwaangalia nina wadogo zangu kuwaangalia na Mungu nitakuwa namkosea nikijaribu kujiua. Halafu nikikumbuka naweza pitwa na umbea waduniani nani kafanya nini nikasema huu ni ujinga sana.

So kaa na watu ambao mutacheka nao sana na kusali nao. Au nenda kwenye semina za watumishi unaowafahamu wako vizuri sio matapeli. Because nilifanya hivyo. sasa mtumishi akisema omba omba usiangalie mwenzio najishutukia naomba. Au tafuta youtube channels weka nyimbo za Mungu download. Acha ziimbe tu basi.

Kiukweli shetani anatafuta vijana sana kuwaua maana anajua sisi tunataka kumtumikia Mungu na tuna nguvu.

So tuko hapa kwa ajili yako. kama inawezekana kama ulishawahi onana na jf member face to face then ni rahisi kushare na maumivu yako. hata ukiongea kila siku natumaini utapona tu.

Tutakuombea sana.
 
Ukijua thamani ya hii pumzi tunayovuta,utajifunza Jambo kuhusu kifo.

Unaonyesha umeshakuwa mifupa mikavu ila unaweza kujitabiria ukarudi kuwa imara.

Kwa msaada zaidi Soma Ezekiel 37:1-14.

Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
 
We jamaa Nenda pm!msaada UPO!

Kama ni uchawi TU utapona!

INAWEZEKANA wamefanya damu YAKO ikawa chungu kabisa kama shubiri wanataka wakuchukue ukatumike underworld!!

Piga ile Namba!

Usipiuze Man utapona!

Niliwahi ona hiyo kitu sehemu hutokea Baada ya kukuona una AKILI Sana au nyota ya kutusua Maisha ndio wanafanya hivyo!

Nakushauri ishu ninayoifaham siyo KWA bahati MBAYA!

KUNA WATU WANA SET PIN CODES FULANI KWENYE MAISHA YA WENGINE!

HADI WAPATIKANE WANAOWEZA KU DECODE NDIO MTU ANAISHI AU KUFUNGULIWA SIO KILA KITU KINATIBIWA KWA CHURCH MAZEE!!
 
Mkuu walichofanya ni kuchukua hazina YAKO au kipaji wengine husema nyota na kumpatia kiumbe mwingine aisha samaki,nyoka,mti na n.k!

Ikitokea yule kiumbe akakutwa na HATARI bas na wewe HATARI inakukuta kama ni mti ukikatwa na wewe unakatika KAMA n samaki akinasa ndoano na wewe the same!

Kifupi ni hivyo tu!! Ic
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…