Lycaon pictus
JF-Expert Member
- Jan 31, 2021
- 9,189
- 16,128
Hayajakukuta wewe na yakikukuta huwezi kuja kusema huku kwa kuwa umeleta shit ngja leo usiku nije nikuchanje
ππ Ngoja aje aseme tu siwezi aone kama kesho asubuhi hajavunjiwa yaiπSio kumchanja tu bali ikibidi kula na "mzigo" pia.π
Habari za watu kuchanjwa na wachawi usiku zinaaminika sana nchi hii. Lakini ukweli ni kuwa hakuna wachawi wa kuchanja watu chale. Zile Inazoitwa chale za wachawi huwa ni matokeo ya kukwaruzwa na mchanga usiku baada ya kulalia kitanda kichafu.
Mchanga ni mgumu na una ncha kali kama za wembe, na pengine zaidi. Glasi zenyewe hutengenezwa kutokana na mchanga. Na hata kazi kubwa ya screwnprotectors za simu ni kuzuia kioo kisikwaruzwe na mchanga.
Sasa mtu akilalia kitanda kichafu, chenye mchanga. Katika kujigeuzageuza usiku lazima "umchale." Asubuhi akiamka bila kuelewa kilichotokea, anasingizia wachawi.
Naye anamwambia kuna roho chafu inamnyemelea, kisha anamtapeli kuku, mbuzi a pesa!!Ni kama vile mtu anasema anatafuta mganga au nabii ampe tafsiri ya ndoto eti usiku kaota anakabwa/anadumbukia kwenye Shimo.
Anasahau kwamba kalalia godoro limeshabakia kama mkate, usiku kala makande,magimbi,Mihogo saa nne ya usiku. Bado chumba alicholala madirisha hayaingizi Oxygen vizuri.
Mwisho Respiration inashindwa kufanya kazi vyema kifuatacho lazima uote wachawi wanakukaba.
Halafu watu wanaaminigi ni bibi tu ndiyo wachawi. Hata waua wachawi huua wanawake kwa zaidi ya 90% Haya ni mazao ya ujinga.Utakuwa ni mchawi au Bibi yako mchawi .........Una kinga wasizuilike.......... .haya kibogoyo
Kwenye huo ujinga na wewe pia ukiwemoHalafu watu wanaaminigi ni bibi tu ndiyo wachawi. Hata waua wachawi huua wanawake kwa zaidi ya 90% Haya ni mazao ya ujinga.
Safisha kitanda kabla ya kulala uone kama utapigwa chale. Mnalalia vitanda vichafu, yakiwapata mnasingizia wachawi.Hayajakukuta wewe na yakikukuta huwezi kuja kusema huku kwa kuwa umeleta shit ngja leo usiku nije nikuchanje
Nimetoka zamani kwenye ujinga wa hivyo.Kwenye huo ujinga na wewe pia ukiwemo
Umewahi liwa mzigo na wachawi?Sio kumchanja tu bali ikibidi kula na "mzigo" pia.π
Umewahi liwa mzigo na wachawi?
Umewahi kunjiwa yai na wachawi?Wewe subiri waje wakuchanje na wakunjie yai.
Wenzako huwa kwanza wanauliza ili kupata uhakika wa jambo baadaye ndipo wanaweza kupinga, sasa wewe moja kwa moja unaanzisha mada ya kupinga na kuweka sababu za uongo na kweli eti mchanga kitandani ndio unaosababisha "chale"?!!, ni mchanga gani, wa kiasi gani, katika mazingira gani unaweza kusababisha chale??!!
Hebu tufahamishe hizo chale ulizopigwa na huo mchanga ilikuaje??--- Godoro lako likoje??, mchanga wa aina gani??, huo mchanga ulifikaje kwenye kitanda/godoro na ni mchanga kiasi gani??.
Hapa tunataka tukushike Uongo leo.π
ACHA UCHAWI DOGO UTAKUFA DOMO WAZIUmewahi kunjiwa yai na wachawi?